Kama mwaka uliopita, 2021 ulikuwa mgumu na hali ya kiafya. Na ngozi, madaktari wanasema,ngozi zetu zimechukua kipigo kikali.
Kwa kweli, inaonekana kutokana kuosha mikono mara kwa mara, kuvaa barakoa na kukaa ndani, si tu kuwa na chunusi, ukurutu na matatizo ya ngozi yamekuwa ya kawaida, wengi wameonekana hata kuongezeka muonekano wa umri kwa haraka.
Sasa tunafanyaje kurudisha vyote hivi mwaka 2022?
Na covid-19 kuwepo bado,hatuwezi bado kuondokana na matatizo hili janga yalikumbana na ngozi zetu kabisa. Lakini, uwezakano upo kabisa wa kurudisha ngozi katika mngao mwaka huu kabla ya janga lilipotokea. Sehemu bora ni kwamba sio ngumu.
Osha uso wako kila siku na Cleanser Nyepesi
Ngozi bora huanza na usafi. Hivyo safisha uso wako mara mbili kwa siku na maji ya vuguvugu kutoa mafuta na uchafu. Kumbuka kufanya kwa utaratibu.
Pamoja, ngozi ya kwenye uso wako ni nyeti na ina mafuta halisi. Kwa hiyo epuka kusugua kwa zaidi na kutumia sabuni za mwili.
Badala yake, chagua kutumia visafishio kama DEFY DIRT FIGHTER na Physio Radiance Gentle Foaming Cleanser ambazo ni nyepesi na zina ufanisi.
Toni na tia unyevu
Kama ilivyokuwa muhimu kusafisha uso wako na kuhakikisha kuwa ina maji ya kutosha.
Ni kweli, ngozi iliokavu yenyewe isio na madhara. Walakini upotezaji wa unyevu kote katika siku inaweza sababisha ukavu wa muda mrefu, ambayo huongeza hatari ya chunusi na magonjwa mengine ya ngozi na inaweza sababisha hata mikunjo.
Kama vile,kutumia toner na moisturizer angalau mara mbili kwa siku – kulainisha na kufanya ngozi iwe nyororo – ingesaidia sana.
Na usisite katika wazo la kutumia bidhaa mbili tofauti kawasababu huhitaji kusita.
Kuna suluhisho nyingi tafauti ambazo ni yote kwa moja, kama DEFY Youth Tonic, ambayo huweka ngozi kuwa na rangi moja na inaipa maji ngozi yako.
Ongeza afya ya umri na seramu
Kusafisha, kuweka ngozi iwe na unyevunyevu na kuwa na rangi moja zote zitaweka ngozi yako kuwa katika muelekeo mmoja.
Hata hivyo, kwa athari bora,fikiria kuongeza seramu katika huduma yako ya ngozi.
Seramu inakuwa kama chanjo nyongeza. Na bora ya haya yana kioksidishaji, vitamini, na virutubisho ambavyo vinaenda kina ya chini ya ngozi yako na kuweka ulinzi wa ziada.
Imekubaliwa, kuna chaguzi nyingi kuchagua katika idara hii. Na bila kushangaza, kuchagua bora zaidi inaweza kuwa ngumu.
Kuweka vitu rahisi, chagua suluhisho rahisi kama Physio Radiance Firming & Lifting Serum. Ina viungo vya asili una saidia seli kugeuza na kupigana na athari za kuzeeka.
Usisahau kupaka kizuia jua kwenye ngozi
Wakati ni kweli kwamba jua inaweza saidia mwili kutengeneza vitamini D amabyo ni muhimu katika mifupa, seli za damu, na mfumo wa kinga, mfudio uliopanuliwa na mionzi ya UV inaweza kuharibu sana ngozi na kuchangia mikunjiko na kupoteza uimara.
Suluhisho, basi , ni kutotoka tena nje ya nyumba bila kuwa nayo kupaka mafuta ya jua ambayo yana SPF isio zidi au isio chini ya 30.
Kwa ufupi, SPF ni mafuta yanayo saidia katika ulinzi wa jua – huongeza ngozi na ulinzi wake wa asili. Na nambari zinazoandikwa ni kuonesha wingi wa ulinzi mafuta hayo yanakupa.
Hivyo, SPF 30, Kwa mfano, itasaidia mara 30 zaidi ulinzi wa jua katika ngozi yako kama usingelikuwa umepaka haya mafuta.
Kula, kunywa na lala salama
Ukiweka kando utunzaji rahisi wa ngozi, ngozi nzuri inachukua na kuhitaji mabadiliko fulani ya mtindo maisha.
Je mwaka 2021 umekuwa wa tabia wa kula vibaya? Je umekuwa ukilala masaa machache?
Vizuri, baadhia ya vitu hivyo vinabidi vibadilike mwaka huu 2022 kama utakuwa makini na kutakuwa kuwa na ngozi nzuri.
Anza kwa kutokuruka chakula, kwa ujumla kula kwa afya, kunywa maji yakutosha na kupata masaa 7 saba ya kulala kwa siku.
Mazoezi ya mara kwa mara pia itakusaidia kuweka rangi vizuri.
Na usihofu na huweiz kwenda sehemu za mazoezi.
Matembezi kidogo mara moja kwa siku yanafanya maajabu sana kufanya msukumo wa damu na kutoa stressi – ambayo ni moja wapo ya tatizo linalo sababisha matatizo ya ngozi.
Kwa kifupi, kumbuka hizi ni baadhia ya kanuni za msingi, azimia kushikamana na utaratibu rahisi na utakuwa katika njia yako ya ngozi inayo nga’aa mwaka huu.