QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Likizo > Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata
BidhaaLikizo

Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata

Last updated: 2022/08/10 at 2:52 PM
QNET Official
Share
4 Min Read
Travel Bucket List
Travel Bucket List
SHARE

Contents
1. Tazama mawio na machweo ya jua siku hiyo hiyo2. Jifunze kupika chakula kutoka nchi geni3. Nenda kwenye matukio ya jumuiya4. Jaribu kitu kipya kitachokuogopesha5. Jipe vitu vyenye thamani6. Jitafutie Zawadi ya ukumbusho7. Jitolea katika shirika la usaidizi la ndani

Orodha hii ni kwa ajili yako wewe uliye weka mipango ya safari mwaka huu lakini kutokana na vizuizi vya Covid-19. Ulimwengu unapoendelea kuimarika, unaweza kujikuta unaweza tu kusafiri ndani ya nchi. Bado unaweza kuendelea kufurahia safari zako kwa kuunda orodha ya vitu vinavyoweza kutekelezeka ili kuifanya likizo yako kuwa ya kipekee na ya kukumbukwa zaidi. Haya hapa ni mawazo machache ya safari yako ijayo.

1. Tazama mawio na machweo ya jua siku hiyo hiyo

Tunakumbuka sikukuu kwa furaha kwa sababu ni wakati katika maisha yetu tunapopunguza mwendo na kufurahia maisha kikweli. Ili kufanya likizo yako ijayo ikumbukwe, amka mapema ili ushuhudie mawio na utazame machweo ya jua siku hiyo hiyo. Piga picha ukitaka, lakini furahiya kwa kutazama tu anga ikibadilisha rangi.

2. Jifunze kupika chakula kutoka nchi geni

Njia bora ya kujishughulisha na likizo ni kujaribu na kujifunza kitu kuhusu eneo unalotembelea. Na njia bora ya kujifunza kuhusu watu ni kujifunza kuhusu chakula wanachopenda. Jiandikishe katika kozi ili ujifunze jinsi ya kupika chakula chao. Ikiwa hupendi kupika, tafuta mama au kisoki kidogo na kula huko badala ya mgahawa mkubwa.

3. Nenda kwenye matukio ya jumuiya

image 2

Mojawapo matarajio/ndoto zinazoweza kufikiwa ni kuhudhuria kitu cha jumuiya – soko ndogo, onyesho dogo la bendi ya mtaani, tamasha la jumuiya. Kuelewa mahali unapotembelea kupitia macho ya matukio ya kila siku kama hayo kutakufanya uthamini likizo yako zaidi.

4. Jaribu kitu kipya kitachokuogopesha

image 3

Ikiwa kukaa kimya na kuwepo katika uhalisia kunakuogopesha, basi simama na unuse maua/waridi. Ikiwa kuwa mbali na simu yako kunakuogopesha, basi fanya mapumziko mafupi ya mitandao ya kijamii kwa saa kadhaa. Ongea na mgeni na ufanye marafiki. Chochote kinachokuogopesha, jiwekee changamoto na ukikamilishe.

5. Jipe vitu vyenye thamani

Miaka miwili iliyopita imekua migumu na unastahili angalau usiku kadhaa katika mapumziko ya likizo iliyoratibiwa haswa kwa ajili yako. Jivinjari  kwa kuchagua likizo kwenye QVI, iwe unatafuta mapumziko mafupi au ya muda mrefu zaidi, utapata kitu cha kujifurahisha nacho.

6. Jitafutie Zawadi ya ukumbusho

Hili ni jambo zuri unaloweza kufanikisha – Jinunulie  zawadi ambayo itakukumbusha likizo yako. Utachangia uchumi wa ndani na kuchukua kitu kinachoonekana kukukumbusha likizo yako. Sio lazima kuwa mapambo ya jokofu,unaweza kuchagua kito kinyume na kile unachochagua mara kwa mara kama ukumbusho wako. Rudi na kikombe cha kahawa ili ujikumbushie likizo yako au labda kipande kidogo cha vito. Chaguo ni lako.

7. Jitolea katika shirika la usaidizi la ndani

image 4

Kama balozi wa RYTHM popote unapoenda, ni vizuri kufanya mabadiliko katika maeneo unayotembelea. Jitolee kwenye makazi ya wanyama au jikoni. Tumia muda wako na watu wasiojiweza na kuleta tabasamu kwenye nyuso zao. Sio tu kwamba hiki ni sehemu ya orodha ya vitu vya kufnaikisha, pia inamaanisha unaacha athari kubwa bila juhudi nyingi kutoka kwako. Nafasi yoyote ya Kujiinua Kusaidia Wanadamu ni nafasi ambayo tunapaswa kuchukua.

Matamanio ya vitu vya kufanya kablda ya kuondoka duniani, ni orodha inakusudiwa kuwa orodha ya mambo unayotaka kufikia kabla ya kufariki. Kawaida hujazwa mara moja katika maisha. Lakini kwa kuwa ulimwengu na likizo ndivyo zilivyo, tumeipunguza kwa vitu hivi vinavyoweza kufikiwa na bado vya kusisimua. Je, ni kipi kati ya vitu hivi utajaribu kwenye likizo yako ijayo? Tujulishe kwenye maoni.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNET Mama Vega Awards QNET Yashinda Tuzo Kubwa Katika Tuzo za 2022 za Vega Digital
Next Article Fx Mbio Kuelekea Kwenye Afya Njema: Masomo Kutoka Formula 1

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili