QNET, kinara wa kimataifa katika uuzaji wa moja kwa moja, inashiriki katika toleo la tisa la Jukwaa la Maji Duniani ambalo linafanyika nchini Senegal kuanzia Machi 21 hadi 26, 2022, kama sehemu ya juhudi zake za kuendelea kusaidia mazingira na maendeleo endelevu barani Afrika na duniani kote.
Hili ni toleo la kwanza la kongamano hilo Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na linaangazia usalama wa maji kwa ajili ya amani na maendeleo.
Uzito wa usalama wa Maji kwa nchi zinazoendelea katika suala la ufikiaji na ubora wa maji, hufanya kongamano la Kiafrika kuwa muhimu zaidi. Katika makala iliyochapishwa Julai 28, 2020, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ilifichua kwamba: “Watu bilioni 2.2 hawana huduma ya maji inayosimamiwa kwa usalama, na wengi wako katika maeneo maskini zaidi ya Afrika”.
QNET, chapa inayozingatia uendelevu haiachi fursa ya kushiriki na kuchangia katika juhudi zinazoendelea za kuhakikisha usalama wa maji barani Afrika na dunia kwa ujumla. Kwa miaka mingi, QNET imekuwa ikiwekeza katika utafiti ili kuwezesha upatikanaji wa maji bora kupitia chapa yake ya HomePure. Ni chini ya bendera ya chapa ya HomePure ambapo QNET inashiriki katika toleo la 9 la Kongamano la Maji Duniani.
Ushiriki wa QNET katika tukio hili kuu la maji inalenga kuchangia katika kutafakari usalama wa maji kwa wakazi wa Afrika. Kwa hivyo, QNET itakuwa na banda la bidhaa ya HomePure. Wageni wataweza kutumia bidhaa ya HomePure Complete Water, aina mbalimbali za bidhaa za kuchuja maji ambazo zitahakikisha kuwa maji ni salama, safi na yenye Pi-Water bora nyumbani kila siku. Watatambua jinsi ni rahisi kwa watumiaji, inayofaa na usalama ilivyo, ubora wa kiwango cha kimataifa, haina gharama kubwa rafiki kwa mazingira.
Pia itakuwa fursa kwa QNET kuwasilisha sekta ya uuzaji wa moja kwa moja kwa upande mmoja na kwa upande mwingine, hatua zake na masuluhisho ya suala muhimu la ubora wa maji kupitia chapa ya HomePure.
Bw. Biram Fall, Meneja Mkuu wa Kanda wa QNET Kusini mwa Jangwa la Sahara akithibitisha umuhimu wa kongamano hilo na masuala yanayohusiana na maji kwa QNET alisema: “Suala la maji ni sehemu ya mkakati wa kimataifa wa QNET unaozingatia haja ya kutoa ufumbuzi endelevu na njia bora za kupata maji safi”.
QNET imeshinda tuzo nyingi za kanda na za kimataifa kwa mtindo wake endelevu, bidhaa na uwajibikaji wa kijamii. Pamoja na Kampuni ya CSR e-Commerce (Ya mtandaoni) ya Mwaka iliyotunukiwa na Kituo cha CSR, Afrika Magharibi, Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Gold Stevie® Tuzo ya Dhahabu ya Aplikeshen (App) yake ya simu, QNET Mobile, Uongozi katika Huduma ya Jamii na Wajibu wa Shirika kwa Jamii katika Tuzo za Communitas na zingine nyingi.