QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Sherehekea siku ya Elimu duniani na qLearn
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Elimu > Sherehekea siku ya Elimu duniani na qLearn
BidhaaElimu

Sherehekea siku ya Elimu duniani na qLearn

Last updated: 2022/03/04 at 7:07 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
Siku ya elimu
Siku ya elimu
SHARE

Contents
QNET yatoa heshima kwa ElimuqLearnQNETPRORYTHM

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Elimu ya Umoja wa Mataifa, na ni njia gani bora zaidi ya kuiadhimisha kuliko kujiandikisha katika kozi ya qLearn au kutumia muda kwenye programu ya dijiti leo. Tena na tena, tafiti zimethibitisha jinsi elimu inavyosaidia kuboresha maisha. Kulingana na shirika la Afya nchini Uingereza, elimu bora hutoa msingi imara na uwezo wa kujifunza, maisha marefu na kutatua matatizo. Hebu leo iwe sherehe ya nguvu iliyopo kwenye elimu.

QNET yatoa heshima kwa Elimu

Kupitia qLearn na madarasa yetu ya QNET PRO, QNET inaweza kuwekeza katika elimu kwa njia inayoathiri maisha.

qLearn

Kozi za qLearn e-learning hutoa ujuzi wa biashara ili kufikia malengo yao katika kazi na maisha. Na hizi sio tu mipangilio ya madara ya kale, kwani qLearn ina rasilimali nyingi zinazovutia na shirikishi. Mpango wa Uuzaji wa Mtandao ulioidhinishwa haswa, ni fursa kwa wanamtandao wapya na waliobobea kujifunza na kuburudisha ujuzi wao katika uuzaji, mauzo na uongozi.

QNETPRO

Mpango wetu wa uidhinishaji wa QNETPRO huwawezesha  wajasiriliamali wa kimataifa wanaotaka na waliopo kuwa wataalamu wa kuigwa. Ni mfumo unaotekeleza maadili yetu ya msingi ya uongozi, uadilifu, utumishi na uendelevu. Mpango huu unafundisha tabia ya kitaalamu katika uuzaji wa moja kwa moja huku ukisisitiza utendakazi wa kimaadili wa biashara, kutoa mafunzo kwa wasambazaji wa QNET ili waweze kujiwakilisha vya kutosha sio tu kama watendaji wa uuzaji wa moja kwa moja, lakini kama viongozi wa tasnia wanaoweka viwango kwa vizazi vijavyo.

RYTHM

RYTHM International Day Of Education

Kupitia shughuli zetu nyingi za hisani chini ya mwavuli wa RYTHM au Raise Yourself To Help Mankind, tumesaidia watoto wengi kote ulimwenguni kupata elimu na mipango mingine inayowasaidia katika kujifunza kwao. Iwe kupitia Mpango wa Maharani ulioanzishwa na RYTHM Foundation, shule ya Taarana ya watoto wenye mahitaji maalum, programu yetu ya kusoma kidijitali nchini Ghana, au hata mpango wetu wa  QNET-City Football Language School, kujitolea kwa QNET kwa elimu hakuna kikomo!

Elimu ni mabadiliko ya maisha, na Siku ya Kimataifa ya Elimu inaadhimisha hilo. Mtu anapojifunza zaidi, ndivyo anavyoelekezwa zaidi kwenye jambo jema zaidi. Elimu ni njia ya uhakika na uthibitisho wa siku zijazo. Kwa hivyo, ungependa kujifunza nini leo?

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Lugha Nguvu ya lugha na jinsi inavyoweza kukufanikisha kwenye biashara yako
Next Article kijani endelevu Mazoea 3 Rahisi na Endelevu ya Biashara inayoleta Tofauti

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili