QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza Ameshinda Gold Globee® Katika Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Matukio > Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza Ameshinda Gold Globee® Katika Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021
Matukio

Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza Ameshinda Gold Globee® Katika Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021

Last updated: 2021/12/16 at 8:22 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
QNET Mkurugenzi
QNET Mkurugenzi
SHARE

Tuzo za World CEO za 2021 zilimtambua Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza kwa kumpatia tuzo ya Gold Globee®.  Bi Malou Alitalia kua Mkurugenzi Mtendaji Mwanamke wa Mwaka katika Kitengo cha Bidhaa za Watumiaji katika toleo la 9 la mwaka la shindano hili.  Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza sio tu mtetezi wazi wa wanawake katika biashara na uongozi, lakini pia ni mkongwe wa mauzo ya moja kwa moja ambaye amewahamasisha mamilioni.  Hii ni tuzo inahistahili sana kama mwanamke ambaye amejitolea maisha yake kwa huduma.

Contents
Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza
Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021

Katika mwaka wake wa 9, Tuzo za Dunia za wakurugenzj ziliundwa ili kuwaenzi Wakurugenzi Wakuu, wasimamizi, wajasiriamali na wabunifu kutoka kote ulimwenguni. Tuzo hizi zinatambua mafanikio na michango ya walio bora zaidi katika uongozi na uwajibikaji wa kijamii.  Tuzo hizo ni sehemu ya mashindano kumi na moja chini ya mwamvuli wa Tuzo za Globee, zikiwemo Tuzo za Kimataifa za Biashara Bora Zaidi na Tuzo za Golden Bridge ambazo QNET ilishinda mapema mwaka huu.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kike wa Mwaka hutunukiwa kwa watu ambao wameweka alama za juu katika tasnia kwa ubora.  Hatuwezi kufikiria mtu anayestahiki zaidi sifa hii kuliko Mkurugenzi Mtendaji wetu.

Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza

Bi Malou anaongeza Gold Globee® kwenye orodha yake ya mafanikio, ikiwa ni pamoja na ushindi wake dhidi ya saratani ya matiti.  Pia aliangaziwa katika chapisho la “Asia’s 15 Over 50” linaloadhimisha wanawake waliofanikiwa zaidi barani Asia.  Bi Malou ni msukumo kwa wajasiriamali wote, baada ya kunyanyuka hadi cheo cha Mkurugenzi Mtendaji baada ya kuanza kama Afisa wa Huduma kwa Wateja QNET.

“Ni heshima kutambuliwa na Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021 na Gold Globee – Ninashukuru sana timu yangu ya QNET kwa bidii yao isiyoyumba na bidii ambayo, kwa upande wake, imenisukuma kuwa kiongozi bora kila siku,” alisema Bi Malou.  “Tunaamini kuwa utambuzi huu kutoka kwa Tuzo za Globee zinathibitisha zaidi kujitolea kwetu kuwawezesha wajasiriamali wengi zaidi na bidii yetu ya kuendelea kuwazingatia wateja.”

Ungana nasi kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wetu wa QNET, Malou Caluza kwa mafanikio haya mazuri.  Shiriki habari na familia yako ya QNET au acha maoni yako hapa chini.

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yazindua Kampeni ya Kupambana na Ulaghai ili Kupambana na Ulaghai na Upotoshaji wa Chapa ya QNET nchini Ghana

Mpango wa QNET wa Bure wa Fingreen Umewafikia Zaidi Ya Wanawake na Vijana Elfu Moja Nchini Ghana

Nini Maana ya Kufikia Hatua ya Miaka 25 katika Biashara

Wiki ya Ustawi Ulimwenguni: Kujitunza na Athari Zake Ulimwenguni

TAGGED: Biashara ya direct selling, malou caluza, Mkurugenzi Mtendaji, Qnet, Tuzo za World Globee, Ujasirimali
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article kuwa mtendaji bora qnet Njia 4 Za Kuwa Mtendaji bora QNET
Next Article Urithi wa kijani Mahali Chakula Kinaanza: Sababu 5 za Kusherehekea Udongo Tunaotembelea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili