QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Matukio > Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz
HabariMatukio

Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz

Last updated: 2022/10/11 at 11:18 AM
QNET Official
Share
2 Min Read
qbuzz rearrange
qbuzz rearrange
SHARE

Contents
Kucheza Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzzHatua ya Kwanza: JiandikisheHatua ya Pili: Chagua vipengele vyakoHatua ya Tatu: Panga UpyaHatua ya Nne: Shiriki Alama Yako

Ikiwa bado haujacheza mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz, unakosa mengi. Iwe wewe ni shabiki wa muda mrefu wa QBuzz au shabiki mpya kabisa kwenye Blogu yetu Rasmi ya QNET, mchezo huu umeundwa kwa ajili yako. Tazama jinsi unavyoweza kupata alama zaa juu kwa kucheza mchezo wetu au pia shiriki na marafiki zako uwone kama watapiku rekodi yako. Vyovyote iwavyo, mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz ni njia ya kufurahisha ya kupima ujuzi wako wa QNET.

Kucheza Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz

Hatua ya Kwanza: Jiandikishe

Usajili Qbuzz

Kabla ya kucheza, hakikisha kuwa umejiandikisha QBuzz ili kujisajili kwa mchezo. Unaweza pia kujisajili kupata taarifa muhimu kutoka QNET zinazohusiana na QNETPRO, QNET news, Success Stories na mengine mengi. Unapojiandikisha, ukurasa utafunguliwa kiotomatiki kwa kitufe cha Cheza Mchezo Sasa. Bofya ili kucheza.

Hatua ya Pili: Chagua vipengele vyako

Mchezo wa Qbuzz 2

Kuna aina nne ya vipengele katika Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz. Vipengele vyako ni Otea Nini, Nukuu za QNET, Mimi ni Nani? na Eleza Mimi ni nani. Bofya kwenye ile unayotaka kucheza kwanza. Mara tu unapomaliza kipengele chako cha kwanza, bofya kitufe cha  “nyuma” ili kupata nafasi ya kucheza vipengele vingine pia.

Hatua ya Tatu: Panga Upya

Mchezo wa Qbuzz

Ili kushinda alama, lazima upange tena herufi au maneno kwa mpangilio sahihi. Usijali, kuna vidokezo vingi vya kukusaidia kupata alama za juu zaidi. Ikiwa unajitahidi, jibu linaweza kufunuliwa kwako.

Hatua ya Nne: Shiriki Alama Yako

Lenga kupata alama za juu katika vipengele vyote vinne vya Mchezo wa Kupanga Upya wa QBuzz. Michezo imewekewa muda kwa hivyo unapocheza, unaweza kujaribu kujiwekea wakati ili kuona kama unaweza kucheza haraka zaidi. Mara tu unapomaliza kucheza michezo yote, shiriki alama zako na marafiki na familia yako. Bora zaidi, shiriki nao ili washinde alama zako.

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yaonya Umma Kuchukua Taadhari Dhidi ya Ulaghai wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu nchini Sierra Leone

Heri ya Miaka 26 ya Mafanikio, Familia ya QNET!

QNET Yatoa Ufafanuzi Wa Mfumo Wa Biashara: Biashara Halali Sio Mpango Wa Ponzi

QNET iliendesha maonesho ya Bidhaa huko Lagos, Ikionesha Kujitolea kwa Ubunifu na Uwezeshaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article VMalaysiaLogoBannerx Je, Uko Tayari Kwa V-Malaysia 2022?
Next Article PostPandemicEconomyQNETTrevorx Namna ya Kumudu Uchumi kama muuzaaji wa moja kwa moja wa Baada ya Janga la Uviko

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili