QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET yajinyakulia ushindi mara mbili katika Tuzo za 2021 Vega Digital
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > QNET yajinyakulia ushindi mara mbili katika Tuzo za 2021 Vega Digital
Habari

QNET yajinyakulia ushindi mara mbili katika Tuzo za 2021 Vega Digital

Last updated: 2021/09/14 at 12:48 PM
QNET Official
Share
2 Min Read
VegaTuzoQbuzz
VegaTuzoQbuzz 1
SHARE

QNET inaendeleza ushindi wake katika Tuzo za 2021 za Vega Digital. Tulibeba tuzo mbili kuu za matoleo yetu ya dijitali katika Mobile Applicatiion katika vipengele vya video, na kuleta orodha yetu ya mafanikio kufikia 25 mwaka huu!

Contents
Je! Tuzo za 2021 Vega Digital award ni zipi?Aplikesheni ya simu ya QNET kujenga mafanikio ya mtandaoniTofauti kati ya Kuuza Moja kwa Moja Na Mpango wa Piramidi

Je! Tuzo za 2021 Vega Digital award ni zipi?

Tuzo za 2021 za Vega Digital zinajulikana kwa kuheshimu ubora katika tasnia ya kidigitali. Sasa katika mwaka wake wa sita, wametoa ubunifu wa dijitali kwa kazi yao nzuri katika wavuti, programu za simu janja, video, podcast, uuzaji wa mitando ya kijamii. Washindi wa mwaka huu wamechaguliwa kwa njiaya kipekee bila kufahamika na jopo la kimataifa la wataalam ishirini na sita kutoka kwa tasnia za ubunifu wa kidigitali.

Aplikesheni ya simu ya QNET kujenga mafanikio ya mtandaoni

Tuzo za 2021 za Vega Digital zilitambua program za simu janja na apliksheni ya QNET   kwa ubora wake katika kitengo cha aplikesheni za Ununuzi. Huu ni ushindi wa tano kwa programu yetu ya QNET mwaka huu. Mapema, tumeshinda katika Tuzo za 2021 za Mashariki ya Kati Stevie®, Tuzo za Ubunifu za Hermes 2021, Tuzo za 2021 za Asia-Pacific Stevie®, na Tuzo za Daraja la Dhahabu la 2021.

Unaweza kupakua Programu ya QNET bure kutoka duka la kidijitali la App store , Google Play, na Huawei AppGallery.

Tofauti kati ya Kuuza Moja kwa Moja Na Mpango wa Piramidi

Ingizo lingine na mafanikio mengi katika hafla zingine, video yetu kuhusu uuzaji wa moja kwa moja ilitambuliwa kwa kutoa habari kwa undani juu ya tasnia hiyo katika muundo wa sauti na kuona. Kwa chini ya dakika sita tu, inajibu maswali muhimu juu ya uuzaji wa moja kwa moja na tofauti yake kutoka kwa miradi ya piramidi. Hapo awali, imeshinda katika Tuzo za dijitali za 2021 za AVA mnamo Januari, Tuzo za 2021 za Communicator mnamo Mei, na Tuzo za Video za 2021 NYX mnamo Julai.

Wacha tusherehekee ushindi huu wa hivi karibuni kwa QNET! Hakikisha kushiriki habari na mtandao wako!

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yaonya Umma Kuchukua Taadhari Dhidi ya Ulaghai wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu nchini Sierra Leone

Heri ya Miaka 26 ya Mafanikio, Familia ya QNET!

QNET Yatoa Ufafanuzi Wa Mfumo Wa Biashara: Biashara Halali Sio Mpango Wa Ponzi

QNET iliendesha maonesho ya Bidhaa huko Lagos, Ikionesha Kujitolea kwa Ubunifu na Uwezeshaji

TAGGED: Biashara ya direct selling, Direct Selling, Qnet, Tuzo ya NYX Marcom, Tuzo za Communicator, Tuzo za Stevie, Vega digital awards
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article EasyTipsToSaveLitresOfWaterADay Njia 10 Rahisi za Kuokoa Lita 100 za Maji kwa Siku
Next Article MafanikioQNET Hiki Ndicho Kinachokuzuia Kupata Mafanikio Ya Muda Mrefu QNET
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili