QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET Yashinda Tuzo Kubwa Katika Tuzo za 2022 za Vega Digital
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Tuzo > QNET Yashinda Tuzo Kubwa Katika Tuzo za 2022 za Vega Digital
HabariTuzo

QNET Yashinda Tuzo Kubwa Katika Tuzo za 2022 za Vega Digital

Last updated: 2022/08/08 at 12:24 PM
QNET Official
Share
2 Min Read
QNET Mama Vega Awards
QNET Mama Vega Awards
SHARE

Contents
Tuzo za Vega Digital za 2022Mama Alikuambia Nini?

QNET Africa kampeni kubwa ya  “Mama Alikuambia Nini?“, video hii ilishinda vikubwa katika Tuzo za Vega Digital za 2022. Ilitambuliwa na tuzo ya kiwango cha Canopus, kiwango cha juu zaidi katika Tuzo za Vega Digital za 2022. Ilisimama kama mojawapo ya huduma bora za umma na video za habari kati ya maingizo 1500 katika kategoria tofauti kutoka kote ulimwenguni. QNET pia ilinyakua tuzo kupitia video yetu ya QNET “I Promise”, Programu yetu ya Simu ya QNET na video yetu ya Tofauti Kati ya Uuzaji wa Moja kwa Moja na Mpango wa Pyramid.

Tuzo za Vega Digital za 2022

Tuzo za Vega Digital huandaliwa na Mshirika wa Tuzo za Kimataifa (IAA) ili kutambua ubora wa kitaaluma duniani kote. Kukiwa na jumla ya waamuz 21 kutoka nchi 10 tofauti, Tuzo za Vega Digital za 2022 zilitaka kutoa kazi ambazo zilionyesha viwango vya juu vya ubora katika uwanja wa dijiti. Uamuzi unafanywa bila kufahamu maaingizo, kuhakikisha kuwa ni bora tu kati ya bora ndio wanaoshinda. QNET ilishinda tuzo dhidi ya magwigi wa tasnia kama Givenchy, Harpies, Vexquiste, IBM na wengine wengi.

Mama Alikuambia Nini?

Ilizinduliwa rasmi Machi mwaka huu, Kampeni ya MAMA ya QNET Africa ilizinduliwa nchini Ghana ili kukabiliana na ulaghai katika tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja na kuongeza ufahamu kuhusu sera ya QNET ya kutovumilia kabisa ukiukaji wa kanuni zetu za maadili.

Kampeni yetu ya kwanza kabisa ya kupinga ulaghai ilianza rasmi kwa uzinduzi wa “Mama Alikuambia Nini?” video ambayo ilivuma sana miongoni mwa wasambazaji wetu wa QNET duniani kote. Video hii huondoa sintofahamu yoyote kuhusu jinsi sekta ya uuzaji wa moja kwa moja inavyofanya kazi, na inaangazia mazoea yasiyo ya kimaadili ambayo ni mwiko! Video tayari inaenda mbali katika kupambana na hisia hasi na kutoelewana kuhusu uuzaji wa moja kwa moja, na kuanzisha QNET kama shirika halali la kuuza moja kwa moja.

Ungana nasi katika kusherehekea mafanikio haya makubwa kwa kutazama video na kuishiriki na marafiki na familia yako.

Je, QNET ni Salama kwa Wajasiriamali wa Mara ya Kwanza (Ndiyo!)

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yaonya Umma Kuchukua Taadhari Dhidi ya Ulaghai wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu nchini Sierra Leone

Heri ya Miaka 26 ya Mafanikio, Familia ya QNET!

QNET Yatoa Ufafanuzi Wa Mfumo Wa Biashara: Biashara Halali Sio Mpango Wa Ponzi

QNET iliendesha maonesho ya Bidhaa huko Lagos, Ikionesha Kujitolea kwa Ubunifu na Uwezeshaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article infox Njia 6 Za Kufikia Malengo Yako Yakiafya Bila Kuruka Mlo
Next Article Travel Bucket List Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili