QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mustakabali wa QNET na Sekta ya Uuzaji wa Moja kwa Moja
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Uuzaji wa kitaalamu > Mustakabali wa QNET na Sekta ya Uuzaji wa Moja kwa Moja
MafanikioUuzaji wa kitaalamu

Mustakabali wa QNET na Sekta ya Uuzaji wa Moja kwa Moja

Last updated: 2022/09/16 at 7:35 AM
QNET Official
Share
7 Min Read
qnetdirectsellingfuturex
qnet direct selling future 1068x601 1
SHARE

Contents
UjasiriamaliUchumi wa fursaUbunifuUwezeshaji wa wanawake

Hadithi ya kipindi cha kilele cha janga la 2020 na 2021 ilikuwa wakati wa mapambano na mashaka.

Kutoka tabiri za mabadiliko ya mali na biashara badala yake zililazimishwa kuvumilia sintofahamu na hasara zaidi, kufuatia kuanza kwa janga kubwa, machafuko ya kisiasa yaliyoenea, na mfumuko wa bei ambao umeathiri kila mtu ulimwenguni.

Inashangaza, licha ya masuala mengi, ushahidi unaonyesha kwamba uuzaji wa moja kwa moja uliweza kustahimilia dhoruba tofauti na hata kuonesha kukua kwa takwimu za kuvutia katika kipindi hicho.

Kihistoria, sifa ya kipekee ya uuzaji wa moja kwa moja kama njia mbadala ya kuongeza mapato imesaidia tasnia kuwa thabiti katika nyakati za misukosuko ya kifedha.

Mnamo 2021, hata hivyo, sababu hiyo pia iliungwa mkono na hisia chanya za wateja, na kusababisha miezi 12 ya kushangaza kwa tasnia, na QNET haswa.

Hakika, 2021 inaingia kwenye rekodi kwa QNET kama sio tu mwaka wa mafanikio makubwa katika kanda za Asia na MENA lakini pia mwaka ambao kampuni hiyo ilipata kutambuliwa kuwa sekta bora, na kuhitimishwa kwa tuzo 33 zisizo na kifani kutoka kwa majukwaa mengi ya kimataifa. Mwaka huu, orodha hii ya tuzo imeongezeka na nyingine 24 hadi sasa.

Kwa hivyo, ni nini cha kutarajiwa katika tasnia yetu kwa miaka 5 ijayo?

Naam, kutokana na upanuzi wa utaoji chanjo na wa marudio ya chanjo, mwaka huu unatabiriwa kuwa muhimu zaidi kwa uuzaji wa moja kwa moja.

Kwa hivyo, lengo letu kama QNET litakuwa kuendeleza mafanikio ya wajasiriamali wetu wanaotarajia na kuelekeza rasilimali na umakini katika maeneo kadhaa ya ukuaji. Hapa kuna baadhi yao:

Ujasiriamali

Ingawa karne hii ya sasa imeona watu wengi zaidi wakiacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri. COVID-19 bila shaka imewasha cheche za ujasiriamali. Na hiyo, kwa upande wake, imeona uuzaji wa moja kwa moja ukiibuka kama fursa inayofaa kwa mamilioni ya watu.

Kuanzisha biashara sio rahisi kamwe. Hata hivyo, sifa bainifu za uuzaji wa moja kwa moja zinahusu kuwa mwepese kubadilika, uwajibu mdogo wa mtaji, na gharama za uendeshaji zimewawezesha wengi kujiingiza katika biashara na kutimiza ndoto zao.

Zaidi ya hayo, kile ambacho kimesaidia kuwawezesha wamiliki wapya wa biashara, zaidi ni faafu na kukuza mfumo wa ikolojia ya ujasiriamali na mawazo ya kidijitali; mambo ambayo QNET imezingatia tangu mwanzo.

Utabiri ni kwamba ujasiriamali utaendelea kukua na kubadilika katika miaka mitano ijayo.

Hivyo, ili kuwawezesha vyema wamiliki wapya wa biashara, makampuni ya kuuza moja kwa moja pia yatahitaji kuwa na msimamo “tayari” siku za mbeleni kama Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza anavyosema. Hii itahusisha kuzingatia bidhaa endelevu, uzalishaji wa kimaadili, usambazaji na mazoea ya mauzo, na maendeleo ya jamii.

Uchumi wa fursa

Ujasiriamali pembeni, uuzaji wa moja kwa moja pia unatarajiwa kukuza uchumi wa fursa katika miaka ijayo.

Kazi za Fursa, bila shaka, zimekuwa maarufu sana na muhimu kwa nguvu kazi iliyoyumba ulimwenguni. Sekta hii imekua na jukumu muhimu katika kuzuia uchumi wa kitaifa kuzama.

lakini, licha ya mvuto wa kubadilika, fursa zimekuwa zikipingwa kati ya mambo mengine, ukosefu wa usaidizi wa wafanyikazi na matarajio ya ukuaji.

Hapa ndipo uuzaji wa moja kwa moja, unapozingatiwa kama mtangulizi wa kazi inayotegemea fursa, ili kuleta mabadiliko.

Tunaelewa kuwa wafanyikazi wa fursa hizi wanatafuta uwepesi, na mapato thabiti. Kwa hivyo, fursa kwa kampuni zinazofikiria mbele ni kuwasilisha jinsi uuzaji wa moja kwa moja unavyolingana na mahitaji hayo na bado hutoa faida za kipekee; hasa, ushauri, mafunzo lengwa, na fursa kubwa za ukuaji.

Ubunifu

Kuanzia utumiaji wa programu za huduma  binafsi hadi matoleo bora ya utiririshaji wa mitandao, ni rahisi kuona jinsi janga hili limechochea mahitaji ya ubinifu ya mtandaoni. Kwa hivyo, utabiri wa muongo ujao ni kwamba uvumbuzi utaendelea kuwa muhimu kwa ukuaji.

Hata hivyo, wakati bidhaa na huduma zinazoendeshwa kiteknolojia bila shaka zitakuwa eneo la kuzingatiwa kwa wengi, sehemu kubwa ya msisitizo wa ubunifu wa uuzaji wa moja kwa moja unatarajiwa kuongeza uzoefu wa uuzaji na ununuzi wa kidijitali – eneo ambalo QNET tayari imekuwa ikipiga hatua.

Kama mojawapo ya makampuni ya kwanza ya kuuza moja kwa moja barani Asia kukumbatia biashara ya mtandaoni, QNET daima imeweka mabadiliko ya kidijitali katika kilele cha majadiliano yetu. Lengo sasa ni kusonga mbele kwa kasi ili kufungua fursa mpya.

Kwa mfano, hivi majuzi tulifanya kazi na Microsoft kuunda mfumo thabiti na mwepesi ambao unahakikisha matumizi bora ya kidijitali kwa wasambazaji na wateja na kuhimili vitisho vya kisasa vya usalama wa mtandao.

Kwa bahati, ubunifu wa hivi karibuni wa QNET ulioshinda tuzo umesukumwa na vipaji vya vijana vilivyoenea katika eneo zima.

Uwezeshaji wa wanawake

Licha ya maendeleo thabiti kufanywa kabla ya janga hili, uwakilishi wa wanawake mahali pa kazi ulichukua nafasi kubwa wakati wa janga hilo.

Kwa bahati nzuri, licha ya ukweli wa kikatili wa kuachishwa kazi na upotezaji wa kazi, uuzaji wa moja kwa moja umetumika kama sio tu njia ya maisha kwa wanawake ambao wamekabiliwa na vikwazo, lakini njia ya kuongoza mbele.

QNET imeshuhudia hadithi nyingi za mafanikio katika kipindi hiki. Fursa sasa na katika miaka ijayo itakuwa kwa kampuni zinazouza moja kwa moja kupanua sera zao za fursa sawa na miundo ya usaidizi ili kuhakikisha ushiriki mkubwa zaidi na mafanikio ya wanawake wajasiriamali.

Yote juu ya Yote ni kwamba nusu ya muongo ujao inatoa fursa nyingi za mauzo ya moja kwa moja kukua. Na QNET, ambayo imethibitisha ustahimilivu kwa miaka miwili ya mabadiliko, itatafuta kupiga hatua kubwa zaidi.

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article africanfoods Vyakula Bora 6 vya Kiafrika vya Kuongeza Kinga Yako
Next Article nelson mandela qnet Masomo 7 kuhusu uongozi na kujiendeleza kutoka kwa Nelson Mandela
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili