QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mwaka wa Chui: Inamaanisha Nini Kwa Wajasiriamali
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Uuzaji wa kitaalamu > Mwaka wa Chui: Inamaanisha Nini Kwa Wajasiriamali
MafanikioUuzaji wa kitaalamuVidokezo vya Mafanikio

Mwaka wa Chui: Inamaanisha Nini Kwa Wajasiriamali

Last updated: 2022/02/16 at 7:33 AM
QNET Official
Share
4 Min Read
Year Of The Tiger Business Tips
Year Of The Tiger Business Tips
SHARE

Contents
Mwaka wa Chui  ni nini?Vidokezo kwa Wajasiriamali Katika Mwaka wa ChuiKuwa mwangalifuKua na msukumoUwe Mwenye Kutamani na Mtu wa uthubutuJenga Timu Yako

Heri ya Mwaka wa Chui  2022 nyote!  Tunapoadhimisha Mwaka Mpya wa Lunar, hebu tuangalie kile mnyama Chui  anaashiria na nini maana yake kwa wauzaji wa moja kwa moja na wajasiriamali.

Mwaka wa Chui  ni nini?

Kulingana na usomaji nyota wa Kichina, kila mwaka mpya  huleta mwanzo mpya unaopewa jina la moja ya wanyama wa nyota hizo.  Mwaka huu, tunasherehekea Mwaka wa mnyama Chui , haswa wa majini.  Miaka ya awali ya Chui  ilikuwa 1974, 1986, 1998 na 2010. Chui  anachukuliwa kuwa mfalme wa msitu katika nchi za Asia, na watu waliozaliwa chini ya ishara hii wanasemekana kuwa wakali vile vile.  Ikiwa wewe ni Chui  katika nyota za Kichina, unajulikana kwa ujasiri wako, ustadi na kua na imani kali za haki ya kijamii.  Hata kama wewe sio Chui , kila mwaka wa Chui  ni ishara ya matukio muhimu yatakayo badilisha maisha.  Kwa hiyo, mwanzo wa mwaka mpya wa mwezi Februari 1, ni wakati wa kuwa waangalifu, lakini pia kufuata ndoto zako kubwa, na kuwa mthubutu.

Vidokezo kwa Wajasiriamali Katika Mwaka wa Chui

Iwe unaamini katika usomaji nyota au la, kuna masomo makubwa zaidi unayoweza kujifunza kutoka kwa Mwaka huu Mpya wa 2022. Haya ni baadhi ya viashirio vinavyohusiana na mwaka wa Chui  ambayo unaweza kufanya.

Kuwa mwangalifu

Unapozingatia uhusiano mpya wa kifedha au hata gharama kubwa, kuwa mwangalifu.  Mwaka huu, hakikisha unafanya utafiti wako kikamilifu na kuelewa athari zote za kifedha kabla ya kuchagua kujikita mzima mzima.  Usirukie mradi kwa kutamani, lakini fanya kwa sababu umetumia muda kuufikiria.  Zingatia afya yako, jitunze na ujiangalie.  Kula vizuri, fanya mazoezi na ulinde afya yako ya akili.  Na uwe #QNETPRO.

Kua na msukumo

Alama ya mwaka huu ni maji, ambayoo ni ishara ya ubunifu na msukumo.  Mkumbatie mtu wako wa ndani na usiogope kushughulikia matatizo kwa njia yako ya kipekee.  Fikiria nje ya boksi na uruhusu juisi za ubunifu zitirike.  Onyesha shauku yako ya kuuza moja kwa moja kupitia vitendo vyako, na wacha wengine wahamasishwe.  Kuwa mwenye kubadilika na kukumbatia/kupokea mabadiliko kama fursa ya kukuza mafanikio.

Uwe Mwenye Kutamani na Mtu wa uthubutu

Kuwa na malengo mwaka huu.  Tumia vyema fursa ulizo nazo na ujifanyie kazi kwelikweli. Chukua kozi hiyo ambayo umekuwa ukitaka kusoma kila wakati.  Badili taaluma na uanzishe biashara yako mwenyewe.  Ongea na wale watu ambao uliogopa kuwakaribia.  Huu ni mwaka wako wa kuwa na ujasiri. Weka malengo makubwa zaidi na ufanye mpango wa kuyafikia.  Na usisahau kubadilika na kuwa wazi kuokea mabadiliko.

Jenga Timu Yako

Mwaka huu, onyesha upendo wako kwa njia tofauti.  Tumia wakati mwingi na familia yako, waoigie simu time yako hila sababu, na ujihusishe katika shughuli zinazobadilisha na kuleta mabadiliko katika jumuiya kuifanya kuwa bora.  Acha matendo yako yazungumze zaidi kuliko maneno yako.  Tumia muda kuunda timu yako mwaka huu, na ufanye mazoezi ya RYTHM kila fursa unayopata.

 

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

TAGGED: chinese new year, direct selling faqs, direct selling lessons, Direct selling tips, Network marketing lessons, qnet banned, qnet faqs, year of the tiger
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Wapendanao Zawadi bora za Wapendanao
Next Article AVA awards QNET yanyakua tuzo 5 katika tuzo za AVA digital 2022
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili