QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Njia 4 Za Kuwa Mtendaji bora QNET
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Vidokezo vya Mafanikio > Njia 4 Za Kuwa Mtendaji bora QNET
MafanikioVidokezo vya Mafanikio

Njia 4 Za Kuwa Mtendaji bora QNET

Last updated: 2021/12/14 at 8:28 AM
QNET Official
Share
2 Min Read
kuwa mtendaji bora qnet
kuwa mtendaji bora qnet
SHARE


Kuwa bora katika QNET haihusu kujuana au hata talanta. Ni  kukuza tabia fulani zinazokutofautisha na wenzako. Katika nakala hii, tumechagua sifa nne ambazo hutenga muuzaji wa moja kwa moja na mjasiriamali aliyefanikiwa kutoka kwa kila mtu mwingine. Boresha ujuzi huu na utakuwa kwenye njia nzuri ya kuwa mtendaji wa juu katika QNET.

Contents
Kuwa na ShaukuGeuza Maoni Yako Kuwa VitendoOngeza Hamu Yako Ya KujifunzaJitegemee na Ushirikiane

Hapa kuna sifa nne ambazo zitakufanya kuwa muuzaji wa moja kwa moja wa kutajika.

Kuwa na Shauku

Ikiwa una tabia ya kujua Zaidi, tumia ujuzi huo ili kuwa bora katika QNET. Angalia zaidi ya majukumu na wajibu wako tu, na ufikirie jinsi unavyoweza kupata masuluhisho ya ubunifu kwa ajili yako na timu yako. Iwe juu yako kujifunza kuhusu kila kitu unachotaka kujifunza, hasa katika uuzaji wa moja kwa moja, na utumie kwa manufaa yako.

Geuza Maoni Yako Kuwa Vitendo

Maoni ni sehemu ya uhusiano wowote wa kibiashara ili uweze kurekebisha shughuli zako ili kukuweka kwenye mafanikio. Kuwa huru kuwa na mazungumzo mazito na timu yako na viongozi wako, ulizia maoni na mirejesho kwa bidii, na tumia ulichojifunza kwa mafanikio. Itakufanya kuwa na nguvu na ufanisi zaidi.

Ongeza Hamu Yako Ya Kujifunza

Haja ya kuendelea kuboresha ujuzi na maarifa yako inaendana na kuongeza asili yako ya kudadisi. Ili kuwa mtendaji wa juu katika QNET, huhitaji shahada kutoka chuo kikuu. Unachohitaji ni uwezo wa kujifunza mambo mapya kwa haraka, pamoja na kuwa na shauku ya kuendelea kukua. Usijiruhusu kudumaa, endelea kujifunza na endelea kukua.

Jitegemee na Ushirikiane

Hakuna sababu ya kutoweza kufanya kazi kwa kujitegemea na kufanya kazi kama timu. Kufanya kazi bila usimamizi mdogo au bila ni bora, lakini pia kustawi katika kikundi ni jambo la jema vilevile. Ukiweza kufanya yote mawili, utajiibuka kua QNETPRO. Ubora katika mipangilio miwili tofauti ni muhimu sana, si tu katika uuzaji wa moja kwa moja, bali pia katika maisha.

Je, una sifa gani kati ya hizi? Ni sifa gani kati ya hizi ungependa kukuza zaidi? Tujulishe kwenye maoni.

 

 

 

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

TAGGED: Biashara ya Uuzaji wa Moja kwa moja, Mafunzo ya uuzaji moja kwa moja, Uuzaji moja kwa moja, Uuzaji wa mtandao, Vidokezo vya QNET
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article dunex Masomo muhimu ya Uongozi Kutoka Dune Kwa Wauzaji wa Moja kwa Moja
Next Article QNET Mkurugenzi Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza Ameshinda Gold Globee® Katika Tuzo za Dunia za Wakurugenzi Watendaji wa 2021

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili