Yakushangaza! Hiyo ni jumla ya ushindi wa Man City katika siku za hivi karibuni.
Kutoka kwa upande wa kusisimua lakini ambao kwa kiasi kikubwa haukuwa na vikombe katika miaka ya 1990, sasa Man Citu si klabu iliyo na sifa nyingi tu bali ni klabu inayoongoza zaidi katika soka la Uingereza.
Bado hata kama wafuasi kote ulimwenguni wakishangilia utawala wa klabu, ukweli ni kwamba kupanda kileleni hakukutokea mara moja.
Unajua jinsi hakuna faida ya haraka katika uuzaji wa moja kwa moja? Kweli, QNET , kama mshirika rasmi wa uuzaji wa moja kwa moja wa Man City tangu mwaka 2014, inaweza kuthibitisha kuwa ni kweli hata kwa mafanikio ya Sky Blues.
Hakika, ni matokeo ya miaka ya kazi ngumu na maono ya uendelevu ambayo inajivunia kujiendeleza kwa siku zijazo.
Na sehemu nzuri zaidi ni kwamba Cityzens hawajakamilika! Ndiyo, hata kama City inapata ushindi baada ya ushindi , klabu inaendelea kujijenga kuelekea mustakabli mzuri zaidi.
Hapa kuna muhtasari wa njia tatu ambazo Man City inajenga kuelekea siku zijazo na jinsi hizi zinavyobeba mfanano mwingi katika kuelekeza kanuni zinazozingatia siku za usoni na uuzaji:
1. Kuwezesha jamii – kutoka Manchester hadi ulimwengu!
Mtazamo wa Manchester City katika maendeleo ya jamii ulianza wakati wa kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1880. Ahadi hiyo sasa inatafsiriwa katika miradi mingi katika miji kote ulimwenguni.
Kuanzia kutumia mpira wa miguu kukuza elimu ya afya, na ujumuishi hadi kuwapa watoto wenye talanta ndoto zao kupitia mipango kama vile Mpango wa Kukuza Wachezaji Chipukizi, Klabu haiangalii tu mafanikio ya uwanjani, bali pia katika kuwajenga watu.
Falsafa hii, kwa njia nyingi, inaonyesha jinsi tunavyozingatia uuzaji wa moja kwa moja kweny QNET. Ndiyo, yetu ni biashara, na lengo la watu binafsi wanaojiunga ni uhuru wa kifedha. walakini , kama vile biashara ya mpira wa miguu, uuzaji wa moja kwa moja pia ni juu ya kuwezesha maisha.
Kwa kifupi, mafanikio ya kesho yasiwe ya mtu binafsi. Badala yak, ni kuhakikisha hakuna mtu anayeachwa nyuma.
2. Kulea na kukuza vipaji
Sky blues kwa sasa wana jenerali wa bora uwanjani, Mbrazil Fernandinho na safu nzuri ya nyota wengine uwanjani.
Lakini mafanikio ya siku za usoni yanahitaji vipaji vya vijana pia, ndiyo maana City wamejikita katika kuendeleza wachezaji wa nyumbani na kuwawezesha vijana hawa ‘ kuonyeshwa zaidi’.
Kwa furaha, mbinu hii tayari inazaa matunda. Na moja ya mastaa wanaotarajiwa wa City – Phil Foden, 21 , tayari anatajwa kuwa mkubwa.
Katika uuzaji wa moja kwa moja, maisha yajayo yenye mafanikio yanahitaji viongozi kushauriwalio chini yao na kukuza ukuaji wao. Na njia ya kufanya hivyo ni kwa kufuata mtindo wa City kuwapa fursa ya kung’aa.
Kumbuka , timu zilizofanikiwa hujengwa ili kudumu. Na njia pekee ya kuhakikisha hii ni kuimarisha na kujiandaa sasa.
3. Kituo kinachofuata —metaverse!
Umechaguliwa kuwa uwanja bora zaidi duniani. Lakini hivi karibuni Man City watachukua uzoefu wa kimwili wa kutazama mechi huko Etihad hadi kwenye ulimwengu mpya wa mtandaoni – meta verse!
Ni mapema bado. Lakini tunachojua ni kwamba “Metaverse” ni ya kutarajiwa siku zijazo, na City imejaribu kwenda mahali ambapo hakuna klabu ya soka imepita hapo awali.
Hii ni sawa na katika uuzaji wa moja kwa moja, ambayo ni juu ya kukumbatia fursa mpya na mitindo.
Zaidi ya hayo, hatua hiyo inaonyesha jinsi City ilivyowwapa mashabiki wake kipaumbele kwa lengo la kuwatengenezea uzoefu wa kipekee. Kimsingi, kwa hivyo, ni juu ya kutarajia na kukidhi mahitaji ya wateja.
Wakati ujao unaanza sasa
Uwiano kati ya michezo na ujasiriamali umekuwa wazi kwetu sisi QNET kuona.
Na kinachoangaza zaidi kuhusu mtazamo wa Man City kwenye soka ni kwamba kesho yenye mafanikio inamaanisha kujituma leo.
Ni kanuni na imani tunayoelekeza wauzaji wanaweza kuhusiana nayo.