QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET Yashinda Tena katika Tuzo za Biashara za Titan
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > News > QNET Yashinda Tena katika Tuzo za Biashara za Titan
News

QNET Yashinda Tena katika Tuzo za Biashara za Titan

Last updated: 2022/05/09 at 9:11 AM
QNET Official
Share
2 Min Read
qnetwinstitanbusinessawards
qnet wins 2021 titan business awards
SHARE

QNET yashinda kwa kishindo mara ya pili kwa mwaka katika tuzo za Titan Business!

Mwaka 2021, tulishinda tuzo ya kampuni endelevu ya mwaka. Sasa wakati huu tumeshinda mara mbili Platinum na Gold kwa kampeni mbili za mitandaoni ambazo tuliianzisha mwaka jana. Angalia hapo chini:

DHAHABU – #BottleSelfieChallenge, sababu bora ya kampeni ya masoko

Kampeni iliyofanikiwa sana QNET-HOMEPURE #BottleSelfieChallenge tiyari imeshinda mioyo ya watu duniani,kama ilivyo onekeana majibu iliyopata kwenye mitandao kutoka kwa wapiganaji wenzake duniani. Wakati huu, imetambulika pia kwa ubora wake kama kampeni ya masoko ambayo inachangia sera muhimu ya mazingira.

PLATINAMU – VCC2021, kampeni bora ya masoko mitandaoni

Kampeni yetu ya #VCC2021 imeshinda tuzo ya juu kabisa ya masoko ya mitandaoni, baada ya sisi kwa mara nyingine tena kuleta mshangao wa V-Convection manyumbani kwenu duniani kote kupitia kuzama na kuvutia uzoefu wa pepe. Sherehe tulioleta kwenye mitandao kupitia michapisho ulio shiriki wakati wa tukio la siku tatu, ilifanya matokeo ya kampeni hii hayawezi kupingwa.

Tuzo za Titan Business ni nini?

Tuzo za Titan Business inatambua biashara na wataalamu kutoka viwanda mbalimbali kwa mapenzi yao ya kazi ,kujitolea, na uaminifu katika kazi zao. Shindano hili limelenga kutambua wale ambao wanafunikwa na viwanda vikubwa na wenye viwanda wenyewe, ambapo wanasherekea ukuaji endelevu wa ujasiriamali na juhudi za kuboresha utamaduni wa kazi na mazingira.

Mwaka huu, tuzo za Titan Business imepokea zaidi ya uteuzi mia nane( 800) kutoka katika nchi hamsini (50). Kila moja imehukumiwa kwa upofu na jopo la jury la TITAN linalojumuisha wataalamu mashuhuri kutoka eneo la biashara ya kimataifa, kutathminiwa kwa vigezo vilivyoamuliwa kwa sifa za Titan Business Awards.

Tusingeweza kufanya vyote hivi bila wewe, Familia ya QNET. tuendelee kung’aa na kushinda kwa pamoja!

 

 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article worldwaterforumsenegalx QNET Inaonyesha Mshikamano Kwenye Ubora Wa Maji, Muendelezo Wa Maji Na Maji Masafi Kwa Wote
Next Article lifeqodeedgx Pata majibu ya maswali yote yanayohusu LifeQode EDG3

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili