QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kukumbatia Uendelevu katika Mkutano wa V-2023: Ahadi ya QNET kwa SDGs
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > RYTHM > Urithi wa Kijani > Kukumbatia Uendelevu katika Mkutano wa V-2023: Ahadi ya QNET kwa SDGs
Urithi wa Kijani

Kukumbatia Uendelevu katika Mkutano wa V-2023: Ahadi ya QNET kwa SDGs

Last updated: 2023/10/23 at 10:40 AM
QNET Official
Share
4 Min Read
qnet carnival opening day africa
SHARE

Contents
Mkutano wa V-2023: Sherehe Kubwa iliyogusia Uendelevu wa Kijani1. Kuanzisha Ubunifu Endelevu2. Mtazamo wa Kijani endelevu katika Kila Nyanja3. Kurekebisha Athari Yetu ya KaboniKuendeleza Ahadi Yetu kwa SDGsMustakabali Mzuri na wa Kijani endelevu

Hapa QNET, tunaamini katika kusherehekea matukio muhimu sio tu kwa heshima bali pia kwa dhamiria. Sherehe zetu za maadhimisho ya miaka 25 na Mkutano wa V-2023 haukuwa tu kuhusu kuonyesha mafanikio yetu bali pia kuhusu kupatana na maadili yetu ya msingi, uendelevu na uwajibikaji. Ahadi yetu inaenea katika kuunga mkono Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs). Kama shirika, tunatambua uwezo na wajibu wetu wa kusukuma mabadiliko ya kimfumo na tumejitolea kuleta matokeo chanya kwa kiwango cha kimataifa.

Tuangalie mipango ya kuvutia ya uendelevu ambayo iliashiria tukio hili muhimu.

Mkutano wa V-2023: Sherehe Kubwa iliyogusia Uendelevu wa Kijani

Jukwaa lilijengwa Penang kwenye mkutano wa #VMalaysia2023, ambapo zaidi ya wahudhuriaji 20,000 kutoka zaidi ya nchi 20 walikusanyika, kwa magongamano mawili mnamo Septemba. Katikati ya mazuri na shamra shamra, tulisherehekea miaka 25 katika biashara huku tukionyesha dhamira yetu thabiti ya kuishi maisha yenye afya na utunzaji wa mazingira.

1. Kuanzisha Ubunifu Endelevu

image 11

Tulizindua kwa fahari bidhaa mbili bora ambazo ni mfano wa ahadi yetu ya kijani. HomePure Nova yenye Pi-Plus Cartridge, toleo lililoboreshwa la mfumo wetu wa kuchuja maji, yenye kuahidi kuimarisha antioxidant katika maji yako ya kunywa. Mkusanyiko wa Saa wa Bernhard H. Mayer OMNI, ulioundwa kwa nyenzo rafiki kwa mazingira na kuthibitishwa na LEED (Uongozi katika Nishati na Usanifu wa Mazingira), hii inaonehsa kwamba fahari na uendelevu haswa vinaweza kwenda pamoja.

2. Mtazamo wa Kijani endelevu katika Kila Nyanja

Ahadi yetu ya uendelevu ilienda zaidi ya uzinduzi wa bidhaa. Kila kipengele cha tukio kilijumuisha uendelevu. Hapa kuna orodha ya haraka ya kila kitu tulichofanya ili kutimiza ahadi zetu za uendelevu:

image 12
  • Tulishirikiana na wachuuzi wanaowajibika kwa mazingira katika ujenzi wa vibanda.
  • Tuliondoa matumizi ya plastiki zenye matumizi ya mara moja.
  • Tulipunguza nyenzo zilizochapishwa kupitia njia mbadala za kidijitali kama vile Misimbo ya QR
  • Hata ukumbi tuliotumua, Kituo cha Mikutano cha Setia SPICE huko Penang, kilitimiza jukumu lake kama kituo cha kwanza cha mikusanyiko kinachotumia nishati ya jua ulimwenguni na Kielezo cha Majengo ya Kijani kuthibitishwa.
  • Kituo pia kimetekeleza mipango kama vile kiwanda kidogo cha kujaza maji ya kunywa kwenye chupa, kutenganisha taka, na uvunaji wa maji ya mvua ili kusaidia malengo yake ya sifuri.

3. Kurekebisha Athari Yetu ya Kaboni

Kuchukua hatua zaidi kuelekea utunzaji wa mazingira, tuliahidi kupanda miti 2,500 nchini Malaysia ili kukabiliana na matukio ya kaboni. Ni njia yetu ya kurudisha kwa ulimwengu ambao unantutunza.

Kuendeleza Ahadi Yetu kwa SDGs

image 13

Hapa QNET, safari yetu haiishii hapa. Tumejitolea kudumisha uendelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs). Afisa Mkuu wa Athari wa QNET Malou Caluza alisema vyema zaidi, “Kwa kujitolea kwetu katika uvumbuzi, uendelevu, na ujenzi wa jumuiya ya kimataifa, QNET iko tayari sio tu kubadilika bali kustawi katika mazingira ya ustawi na mtindo wa maisha, kutoa fursa zisizo na kifani za ujasiriamali na wakibinafsi. maendeleo kwa watu binafsi duniani kote.”

Mustakabali Mzuri na wa Kijani endelevu

Mkutano wa V-Convention 2023 ulikuwa kielelezo kikubwa na bora zaidi cha kujitolea kwetu kwa uendelevu. Kuanzia uzinduzi wa bidhaa hadi mipango ya kuzingatia mazingira, tumejitolea kukuza mtindo wa maisha bora huku tukipunguza athari zetu katika mazingira. Tumechukua hatua za kurekebisha kiwango chetu cha kaboni, na kujitolea kwetu kwa uendelevu hakuishii hapa. QNET imedhamiria kukumbatia na kutetea uendelevu, sambamba na SDGs wa Umoja wa Mataifa, katika harakati zetu za kuwa na mustakabali mzuri na wa kijani kibichi. Tunapotarajia siku zijazo za kuathiri maisha vyema na kukuza ustawi kamili, tunakualika ujiunge nasi kwenye safari hii ya ajabu. Kwa pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko kwa sayari yetu na vizazi vijavyo.

You Might Also Like

Bernhard H. Mayer Inatanguliza Saa ya OMNI: Uendelevu Hukutana na Fahari

Kuelewa Changamoto ya Kimataifa na Kuwawezesha Wajasiriamali kwa Uhifadhi wa Maji

Kupanda Urithi wa Kijani na QNET

Kwa nini watu wengi wanahamia kwenye Lishe ya mboga mboga

Hata Dunia Inahitaji ulinzi dhidi ya Jua! Kwanini Shimo katika Tabaka la Ozoni Ni Muhimu Kwetu Sote

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNET 25 year anniversary QNET Inaadhimisha Miaka 25 kwa Tukio la kipekee, Uzinduzi wa Bidhaa, na Ahadi ya Kijani
Next Article QNET yashinda katika Tuzo za IBA Ahadi ya QNET kwa Mabadiliko ya Tabianchi na Kuishi kikamilifu yaleta Tuzo Mbili za Kifahari katika IBA 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili