QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Fuata Kalenda ya Kujipenda ya QNET kwa Ukuaji
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Uncategorized @sw > Fuata Kalenda ya Kujipenda ya QNET kwa Ukuaji
Uncategorized @sw

Fuata Kalenda ya Kujipenda ya QNET kwa Ukuaji

Last updated: 2022/02/21 at 2:05 PM
QNET Official
Share
2 Min Read
Kujitunza
Kujitunza
SHARE

Tumekuandalia Kalenda ya Kujipenda ya  mwezi huu wa Februari mwezi wa upendo ili ufatilie. Hivi ndiyo njia yetu ya kukuonyesha kwamba bidii yako na uaminifu wako haujapita bure bila kutambuliwa. Tunakuthamini na kila kitu unachofanya.  Unatokea kila siku bila kujali ugumu wa maisha , haswa baada ya miaka miwili  katika janga la kimataifa.  Kalenda hii ya Kujipenda ina orodha ya mambo unayoweza kufanya ili kujionyesha upendo kwa niaba yetu.

Contents
Kujipenda Ni Nini?Kalenda ya Kujipenda ya QNET“Naahidi Kujipenda” Challenge
Kujipenda Ni Nini?

Wakati mwingine, upo na bize sana kutunza wengine na biashara yako kiasi kwamba unasahau kutenga muda kwaajili yako.  Kuonyesha kujipenda ni wakati unapoweka kando wakati fulani katika siku yako ili kujipenda, kujitunza na kuzingatia uzima wako, kusikiliza kile ambacho mwili na akili yako inataka, na kujikubali kikamilifu – bila kujali kasoro zako zinazoonekana.  Ni kuweka juhudi na upendo uleule kwaajili yako kama unavyo fanya kwa ajili ya familia yako ya QNET na timu yako.

Kalenda ya Kujipenda ya QNET

QNET imeunda kalenda ya shughuli za kuchochea kujipenda.  Tunataka iwe zaidi ya vidokezo vya kujitunza ili kukupa baadhi ya vidokezo unavyoweza kufuata ili kutunza afya yako ya akili na kimwili.  Unaweza kupakua kalenda hapa, utufuate kwenye akaunti Rasmi za mitandao ya kijamii za QNET au upakue QNET Mobile App ili kupokea taarifa za hapo kwa papo.

“Naahidi Kujipenda” Challenge

Kwa siku 14 zijazo, fuata mawaidha yetu yatakayokusaidia kuepukana na mambo hasi, tenga muda kujithamini, na kuangazia zaidi ukuaji wako binafsi.  Je, uko tayari kwa challenge?

Self Love Calendar.jpg?compress=true&quality=80&w=1024&dpr=0
Tumia Kalenda hii ya Kujipenda kukuongoza katika safari yako ya kujipenda zaidi! Chagua shughuli yako ya kujipenda siku za wikendi ili kuzi fanya ziwe ya kusisimua zaidi!

Usisahau kushiriki nasi picha na video zako ukitumia moja ya vidokezo vyetu vya Kalenda ya Kujipenda.  Mwishoni mwa mwezi huu, QNET itachagua mambo muhimu na kuyashiriki/kusambaza kwenye chaneli zetu rasmi za mitandao ya kijamii. Tunashauku ya kuona unajipenda jinsi tunavyokupenda.  Je, uko tayari kufanya ahadi?

You Might Also Like

Je, QNET ni ulaghai? Swali ambalo umefanyia utafiti. Pata jibu na majibu zaidi kuhusu uvumi na utata wa QNET.

Maadili ya QNET

TAGGED: QNET Challenge, Self care, Self love
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article AVA awards QNET yanyakua tuzo 5 katika tuzo za AVA digital 2022
Next Article Kenta bidhaa Vidokezo vitano vya Maisha Marefu na yenye Afya

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili