QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET yashiriki katika Kongamano la 9 la Maji Duniani Jijini Dakar
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > QNET yashiriki katika Kongamano la 9 la Maji Duniani Jijini Dakar
Bidhaa

QNET yashiriki katika Kongamano la 9 la Maji Duniani Jijini Dakar

Last updated: 2022/03/16 at 5:01 PM
QNET Official
Share
2 Min Read
HPN SWA
HPN SWA
SHARE

Kama sehemu ya juhudi zake zinazoendelea za kusaidia mazingira na maendeleo endelevu, QNET, kampuni inayoongoza kwa uuzaji wa moja kwa moja duniani, itahudhuria Kongamano la Maji Duniani litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 26 Machi 2022 nchini Senegal. QNET itashiriki kupitia chapa yake ya HomePure.

Contents
Kongamano la Maji Duniani ni nini?Kwa nini Kongamano la Maji Duniani ni muhimu?Kwa nini QNET inashiriki katika kongamano hili kuu la maji?
Kongamano la Maji Duniani ni nini?

Kongamano la Maji Duniani ndio tukio kubwa zaidi la maji duniani. Ni mahali pa kujadili changamoto kuu za maji. Kongamano la 9 litafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 26 Machi mjini Dakar, Senegal likiwa na mada “Usalama wa Maji kwa Amani na Maendeleo”. Hili ni toleo la kwanza katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Kwa nini Kongamano la Maji Duniani ni muhimu?

Kongamano la Maji Duniani huwaleta pamoja wawakilishi kutoka serikalini, taasisi za kimataifa, vyuo vikuu, mashirika ya kiraia na sekta binafsi. Inatoa jukwaa kwa jumuiya ya kimataifa ya maji na watoa maamuzi muhimu kushirikiana na kufanya maendeleo ya muda mrefu kuhusu masuala ya maji duniani. Takriban wachangiaji 5,000 na washiriki 30,000 wanatarajiwa!

Kongamano la 9 litazingatia:

  • Usalama wa maji na usafi wa mazingira,
  • Maji kwa maendeleo vijijini,
  • Ushirikiano,
  • Zana na njia ikijumuisha masuala muhimu ya ufadhili, utawala, usimamizi wa maarifa na uvumbuzi
Kwa nini QNET inashiriki katika kongamano hili kuu la maji?

Ushiriki wa QNET katika kongamano hili kuu la maji unalenga kuchangia katika kutafakari usalama wa maji kwa wakazi wa Afrika; suala la maji ni sehemu ya mkakati wa kimataifa wa QNET ambao unatilia maanani hasa haja ya kutoa suluhisho endelevu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa ufahamu wa jinsi bora ya kupata maji safi ya kunywa, ambayo inazingatiwa na QNET kama haki iliyohakikishwa kwa binadamu wote.

QNET itakuwa ikionyesha bidhaa za HomePure. Wageni wataweza kupata kutazama teknolojia ya uchujaji wa HomePure, kujadili sekta ya uuzaji wa moja kwa moja, hatua za QNET na mapendekezo kuhusu suala muhimu la ubora wa maji kwa wakazi duniani na hasa zaidi kwa Afrika.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

TAGGED: Direct Selling, homepure nova, World Water Forum
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Manchester City Line up before a match Jua kikosi chako cha Man City na QNET
Next Article WorldWaterDayQNETHomePurex Sherehekea Siku ya Maji Duniani 2022 kwa kufanya #WaterSourceChallenge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili