Lexicon

Mpya QNET? Tuko hapa kukusaidia. Hii hapa njia rahisi unahitaji kufahamu kuhusu kila kitu unahitaji kujua, katika ukurasa mmoja.

a

Afya: Virutubisho mbali mbali vya afya na lishe ya QNET iliyoandaliwa ili kuimarisha mfumo wa kinga, kudhibiti uzito, kutoa nguvu zaidi na hatimaye, kusaidia kuishi maisha yenye afya zaidi.

Alkali: Kuwa na sifa za alkali, au iliyo na alkali; kuwa na pH zaidi ya 7.

Amilishwa: Mwakilishi wa Kujitegemea ni yule aliefanikiwa kupata na kutenga angalau BV 500 kila upande wa Kituo chake cha Ufuatiliaji kupitia ununuzi wa kibinafsi, kutoa rufaa za Moja kwa Moja, Mauzo ya Rejareja au mchanganyiko wa chaguzi hizo tatu.

Anayehitimu: Mwalilishi wa Kujitegemea ambaye ana angalau BV 500 katika Kituo chake cha Ufuatiliaji kutoka kwa Mauzo ya Rejareja au ununuzi wa bidhaa kwa matumizi ya kibinafsi.

Amezcua: Aina ya bidhaa za afya zilizoundwa ili kukuza ustawi kamili kwa kutumia sayansi ya asili. Zilizoundwa kwa ajili ya kuboresha mtindo wako wa maisha ulio na shughuli nyingi, bidhaa za ubunifu za Amezcua zina kuongeza nguvu na utulivu, zinalinda mwili, na kurejesha usawa—kukuunganisha na midundo ya asili.

Asidi: Kuwa na viashiria vya asidi, au iliyo na asidi; kuwa na pH chini ya 7.

b

Bernhard H. Mayer : Bidhaa katika kategoria za Saa na Vito vya mapambo ambazo hutoa saa zinazotengenezwa nchini Uswisi zenye ubora usio na kifani na vito vya mapambo ya kuvutia, kila kimoja kikiwa na mtindo na ubinafsi wa kipekee.

Belite 123: Mfumo kamili wa kudhibiti uzito, ambao unajumuisha njia 3 tofauti za kuboresha metaboliki yetu, kuchoma na kuzuia mafuta, kukabiliana na ulaji kupita kiasi, kuondoa sumu mwilini, kudhibiti kiwango cha mafuta na sukari, hivyo kukusaidia kuondoa uvimbe usiopendeza na uzito usiotakikana.

Bidhaa Zinazohitimu: Bidhaa ambazo hutoa pointi za BV kwa Wawakilishi wa Kujitegemea.

Bio Disc 3: Bio Disc 3 ya Amezcua Bio huzalisha mawimbi madogo ya kuwezesha upya muundo wa maji kwa kutumia nguvu ya nishati ya quantum pamoja na jiometri na mifumo ya mawimbi asili. Iliyothibitishwa na taasisi kadhaa za kisayansi, Bio Disc 3 imepata kutambuliwa kama njia iliyothibitishwa na salama ya kuoanisha nishati yako na kuimarisha ubora wa maisha yako.

Biofield: Biofield, ni uwanja wa nishati ulio na muundo wa kina unaohusika katika kuzalisha, kudumisha, na kudhibiti homeodynamics ya kibaolojia. Ni dhana muhimu katika tiba ya nishati, ikichangia katika kuelewa wa jinsi mwili unadhibiti mtiririko wake wa nishati na homeostasis. Kidanio cha Chi 4 cha Amezcua kimetengenezwa ili kuoanisha na kusawazisha uwanja wa kibiolojia ya mtumiaji kupitia teknolojia yake ya kipekee, ambayo inadumisha masafa maalum.

Bio Light 3:  Amezcua Bio Light 3 inawakilisha uvumbuzi katika tiba ya nuru ya biophoton. Sasa, popote ulipo, unaweza kunufaika na tiba ya nuru katika mazingira salama. Bidhaa hii ya kipekee imeundwa kutumika pamoja na Bio Disc 3 na husaidia kudhibiti kazi za mwili, kurejesha hisia ya utulivu na ustawi.

Biophotons: Ni chembe za mwanga zenye nishati ndogo ambazo hutolewa na mfumo wa kibaolojia wakati elektroni inahamia kutoka hali moja ya nishati kwenda nyingine. Zinawakilisha kipimo cha kiasi cha nishati ya mwanga au mionzi ya sumakuumeme inapotolewa na chanzo cha kibaolojia. Amezcua Bio Light 3 hutumia dhana ya biophotons katika muundo wake, ikiwakilisha uvumbuzi katika tiba ya nuru ya biophoton.

Biosilver: Bidhaa katika kitengo cha Huduma ya Kibinafsi ambayo hutoa ulinzi wa kila siku kwa kutumia sifa dhabiti za antimicrobial ili kukusaidia kutunza ngozi na kuweka nyumba yako salama na bila vijidudu.

Blue Diamond Star: Cheo cha saba kati ya cheo 7 cha Klabu ya Waliofanikiwa wa QNET. Hiki ni cheo cha juu zaidi QNET.

Bronze Rank: Cheo cha kwanza kati ya vyeo 7 vya Klabu ya Waliofanikiwa wa QNET.

c

Chembe chembe za Plastiki: Chembechembe za plastiki, kama jina linavyodokeza, ni chembe ndogo za plastiki. Rasmi, zinatambuliwa kama plastiki zenye kipenyo cha chini ya milimita tano (0.2 inchi) – ndogo zaidi kuliko kipenyo cha lulu ya kawaida inayotumika katika vito vya mapambo.

Cheo cha Malipo: Cheo ambacho Mwakilishi wa Kujitegemea anafikia kila mwezi na ni msingi wa jinsi tume za hatua zinavyohesabiwa.

Cheo cha Juu: Cheo cha juu kabisa ambacho Mwakilishi wa Kujitegemea anawezafikia katika QNET. Hii haimaanishi malipo ya hatua (angalia Pay Rank).

Cimier: Safu ya bidhaa katika jamii ya Saa ambayo inawakilisha asili ya mila na umaridadi wa Uswisi wa kutengeneza saa. Tangu kuanzishwa kwake mnamo 1924, chapa hiyo imechangiwa na maendeleo katika teknolojia ya utengenezaji wa saa na mtindo.

Chi Pendant 4: Katika muundo wenye mvuto wa kidani cha Chi Pendant 4 unaotumiwa kwa wanaume na wanawake na unaosimikwa kwenye jiometri takatifu ya muundo wa ua la Maisha, kuna teknolojia yenye nguvu ya kipekee ya Amezcua. Teknolojia hii inadumisha masafa maalum, inapatanisha na kusawazisha uwanja wa kibiolojia ya mtumiaji (uwanja wa nishati), kukuza afya ya mwili mzima na utendaji bora kwa mtindo wa maisha ya kisasa yenye shughuli nyingi.

d

Dashibodi ya Kupanda Cheo: Ina maelezo ambayo Mwakilishi wa Kujitegemea anahitaji ili kuendeleza au kupanda daraja la juu zaidi katika Klabu ya Mafanikio.

Dashibodi ya Kudumisha Cheo: Inaonyesha maelezo katika Ofisi ya mtandaoni na Programu ya Simu ya QNET ambayo Mwakilishi wa Kujitegemea anahitaji kushika au kudumisha Viwango vya Malipo.

Dashibodi ya Cheo: Ni chombo muhimu cha biashara kilichoundwa ili kusaidia Mwakilishi wa Kujitegemea kuongeza cheo au kudumisha cheo katika Klabu ya Mafanikio, na kupata mapato zaidi kupitia usimamizi wa mahitaji ya kuendelea na kudumisha cheo kwa njia yenye mabadiliko.

Direct BV (DBV): Pointi hizi hupatikana na Wawakilishi wa Kujitegemea (IRs) wanapouza bidhaa za QNET kwa IRs na Wateja wa Rejareja ambao wamefadhiliwa binafsi au wameelekezwa QNET.

Direct Referral: Mtu ambaye ameelekezwa kibinafsi kuwa Mwakilishi wa Kujitegemea wa QNET na Mwakilishi wa Kujitegemea mwingine wa QNET aliyepo (Mwelekezaji).

Downlines: Hawa ni Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET ambao wamefadhiliwa na kuwekwa chini ya Mwakilishi wa Kujitegemea fulani, wakijenga muundo wa nasaba, ambapo kila Mwakilishi wa Kujitegemea anaweza kujenga na kuongeza timu yao ya mauzo ya bidhaa.

e

EDG3: Nyongeza yenye uvumbuzi ambayo ina mchanganyiko wa amino asidi ilyo na hati miliki ambayo huongeza kiwango cha glutathione mwilini, ni yenye ufanisi zaidi kuliko vyanzo vingine kwa asilimia 68 na inazidi vioksidishaji vingine kwa ulinzi kamili wa viungo.

EDG3 Plus: Kiboresha afya kinachofanya kazi kwa njia mbalimbali, kilichotengenezwa na viungo vilivyo na hati miliki ya kisayansi, ili kusaidia kinga yako, usagaji wa chakula, afya ya viungo na moyo.

eKYC: Jukwaa la kielektroniki la ‘Tambua Mteja Wako’ (angalia KYC kwa maelezo zaidi).

Elimu: Aina ya kozi za elimu za QNET zinazopatikana mtandaoni.

f

FinGreen: Kupitia FinGreen, tunalenga kukabiliana na changamoto za ujuzi wa kifedha zinazowakabili vijana na hasa wanawake, kupitia elimu na mafunzo.

g

Green Legacy: Katika QNET, tunatambua mabadiliko ya hali ya hewa kuwa ni tishio kubwa kwa mustakabali wa sayari yetu. Ndio sababu QNET imejitolea kujenga Urithi wa Kijani (Green Legacy).

h

Hadithi za Mafanikio: Makala yaliyochapishwa katika blogu rasmi ya QNET QBuzz ambapo Wawakilishi wa Kujitegemea waliofaulu hushiriki hadithi zao za mafanikio.

HomePure: Safu ya bidhaa za vifaa vya nyumbani ambazo zinachangia uwezo wa nyumba kuwawezesha watu wanaoishi ndani yake kwa mtazamo wa ‘afya+furaha’, rafiki kwa mtumiaji, rahisi kutumia, na bora kwa mazingira

Huduma ya ndani: Wazo la Huduma ya Ndani kama kipengele muhimu cha uongozi kilichofungwa na kanuni za ukweli, unyenyekevu, na huduma ya dhati, vinginevyo vinajulikana kama sifa muhimu za kiongozi, mtumishi wa kweli.

i

Hakuna ufafanuzi kwa sasa!

j

Hakuna ufafanuzi kwa sasa!

k

Kanuni za Utendaji: QNET inaweka kipaumbele katika Uaminifu, inatekeleza viwango vya maadili kupitia Msimamo wake wa Utendaji, na kuwahimiza washirika wake kuvuka viwango hivi.

Kalenda ya Mauzo: Mwonekano wa kipindi cha mauzo cha kila wiki au muda uliowekwa ambao unafuatwa kwa ajili ya kuhesabu za tume za hatua za kila wiki.

Kanuni za Maadili: Inabainisha njia sahihi ya kufanya biashara na ni sehemu ya Sera na Taratibu za QNET. Ni seti muhimu ya sheria ambazo IR zote lazima zifuate.

Kenta: Mchanganyiko wa asili wa kupambana na kuzeeka iliyohamasishwa na lishe ya Okinawa, imeonyeshwa kisayansi kuongeza uzalishaji wa homoni asili ya ujana mwilini kwa 120% ndani ya siku 30.

Kiasi cha Biashara (BV): Thamani ya uhakika ya bidhaa inayotumika kuhitimu kituo cha ufuatiliaji na kukokotoa Tume za Hatua.

Kikundi RSP: Hawa ni RSP ambao Mwakilishi wa Kujitegemea anapata kutokana na Mauzo ya Kurudia na Ununuzi Binafsi uliofanywa na wafadhiliwa chini ya safu yake ya ufadhili.

Kituo cha Ufuatiliaji : Neno linalotumiwa kufafanua akaunti yako ya biashara.

Kisafishaji hewa: QNET inaweka kipaumbele katika Uaminifu, inatekeleza viwango vya maadili kupitia Msimamo wake wa Utendaji, na kuwahimiza washirika wake kuvuka viwango hivi.

Klabu ya Achievers: Mpango wa utambuzi kwa Wawakilishi wa Kujitegemea wenye mafanikio zaidi wa QNET, ambao wameonyesha utendaji na uongozi wa kipekee katika biashara zao. Wanachama wa Klabu ya Mafanikio hupokea manufaa ya kipekee, mafunzo na fursa za kukutana na washiriki wengine bora katika kampuni.

Klabu ya QVI: Bidhaa maalum ya uanachama ambayo inayokuwezesha kuweka bei ya leo kwa ajili ya uhifadhi wa siku zijazo bila kuwa na wasiwasi kuhusu kupanda kwa bei. Wanachama wa QVI Club wanapata fursa ya kufikia zaidi ya hoteli na kumbi za mapumziko 1000 katika maeneo ya kuvutia ulimwenguni, zikiwakaribisha watu 2 hadi 4, kufanya likizo yako kuwa ya kusisimua, ya kufurahisha, na ya gharama nafuu zaidi.

Kubanwa: IR hubanwa ikiwa itashindwa kufikia kiwango cha chini cha RSP 50 kutokana na mauzo ya rejareja au ununuzi wa kibinafsi ndani ya mwezi wa mauzo. IR hawakusanyi RSP zinazozalishwa zikiwa kwenye hali iliyobanwa. 

Kudumisha Cheo: Mahitaji ya chini kutoka kwa Wawakilishi wa Kujitegemea ili kufikia au kudumisha Cheo walicho nacho.

Kupanda Cheo: Kupandishwa cheo kwa Mwakilishi wa Kujitegmea hadi cheo kipya wanapokidhi mahitaji yote ya cheo kipya katika Klabu ya Mafanikio.

l

LifeQode: Aina ya bidhaa katika kitengo cha Afya kilicho na chaguo maalum la virutubisho vya asili vya chakula ambavyo vinakubalika katika mtindo wa maisha na vinakupa msaada wa lishe unaohitaji kuishi maisha yenye afya, yenye shughuli nyingi na nguvu tele.

Leya: Kuwa na motisha ya kusafiri ulimwenguni kwa ujasiri na bila wasiwasi, Leya inaonyesha anuwai kubwa ya bidhaa za vito vinavyong’aa na utamaduni na darasa la kipekee. Popote ulipo, kuna Leya hapo nje atakayetembea na wewe katika safari yako.

Likizo: Aina ya kifurushi cha bidhaa za safiri za QNET ambazo husaidia kufikia ndoto za kusafiri za kila mtu.

m

Maabara ya Kujifunza: Huduma maalum ya Programu ya Simu QNET yenye seti ya teknolojia ya mafunzo na zana za mauzo ili kuwezesha Wawakilishi wa Kujitegemea kuendeleza ujuzi wenye ufanisi kwa kasi yao na wakati wao wenyewe. Ni kipengele cha programu ya simu ambapo utapata anuwai ya huduma mpya za kuchunguza mara kwa mara, ikiwa ni pamoja na maudhui ya mafunzo ya hivi karibuni ya QNET katika maktaba ya kidijitali au upatikanaji wa mafunzo ya bure na ya moja kwa moja mtandaoni na programu za mafunzo na uthibitisho kwa anayehitaji.

Mafunzo ya Mtandaoni: Mafunzo ya bure yanayotolewa mtandaoni na walimu wa QNET juu ya mada mbalimbali zinazohusiana na biashara na bidhaa.

Maji Yaliyorekebishwa: Maji yaliyorekebishwa, au maji yaliyoboreshwa kimuundo, yanarejea molekuli za maji ambayo zinazounda kundi la hexagoni. Imethibitika kuwa maji yaliyorekebishwa kimuundo ni sawa sana, ikiwa sio sawa kabisa, na maji safi, ambayo hayajaguswa, na yasiyochafuliwa yanayopatikana katika barafu na chemchemi za asili. Kifaa cha Amezcua Bio Disc 3 huunda mitikisiko ya hila ili kurekebisha maji kwa kutumia nguvu ya nishati ya kiasi kando ya jiometri ya asili na mifumo ya mawimbi. Kusudi ni kutia nguvu na kurekebisha maji kurudi kwenye hali ya uzima.

Mauzo ya Rejareja: Haya ni mauzo yanyofanywa kwa mtu yeyote ambaye si Mwakilishi wa Kujitegemea wa QNET aliyesajiliwa.

Mistari Myekundu: Seti ya sheria za msingi za QNET ambazo tunazichukulia kwa uzito sana kwa ajili ya usalama wa biashara yetu. Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET lazima wahakikishe kwamba wanafanya biashara zao kwa njia ifaayo na KAMWE wasivuke mipaka yoyote ya Mistari Myekundu. 

Mjue Mteja Wako (KYC): Mchakato unaotumika kuhakikisha kuwa kila mtu anayejiunga na kampuni kama Mwakilishi Huru (IR) ni mtu halisi na si bandia au mlaghai. Mchakato wa KYC (Know Your Customer) unahusisha kutoa maelezo binafsi na nyaraka kama kitambulisho kilichotolewa na serikali na uthibitisho wa anwani. Kupitia KYC, QNET inapunguza hatari za shughuli za udanganyifu kama utakatishaji fedha na wizi wa utambulisho.

Mwezi wa Mauzo: Mwezi wa uuzaji katika QNET unafanana kwa karibu na mwezi wa kalenda na una wiki za uuzaji 4 au 5. Kuna jumla ya miezi 12 ya uuzaji katika mwaka wa uuzaji wa QNET.

n

Nasaba: Muundo wa shirika la Waawakilishi wa Kujitegemea. Inatoa uwakilishi wa kimaono wa Wawakilishi wa Kujitegemea na wafadhiliwa wao husika. Inaonyesha uhusiano kati ya Wawakilishi wa Kujitegemea na wafadhiliwa wao wa safu ya ufadhili kwa muundo unaofanana na mti.

Nyumbani na Kuishi: Aina ya bidhaa za QNET zilizoundwa kukusaidia kuunda mazingira safi, salama, na yenye afya kwa ajili yako na familia yako.

o

Ofisi ya Mtandaoni: Jukwaa la mtandaoni ambalo hutumika kama kitovu cha Wawakilishi Wanaojitegemea ili kudhibiti na kufuatilia shughuli zao za biashara, kufikia rasilimali mbalimbali na kuwasiliana na kampuni. Ofisi ya QNET ya mtandaoni inatoa anuwai ya vipengele na zana ambazo husaidia Mwakilishi wa Kujitegemea katika kuendesha biashara zao kwa ufanisi.

Ole: Dondoo la jani la mzeituni lenye nguvu nyingi ambalo linaimarisha mfumo wa kinga, kupambana na mafua, homa, na kikohozi, wakati pia kikisaidia afya ya moyo.

p

Pembe ya Uwiano:  Aloi ya shaba yenye umbo la oktagoni ya kidani cha Chi 4 hutumia kanuni za fizikia ya quantum kuongeza athari ya usawa ambayo inadumisha usawa wa uga wa kibiologia asili ya mwili.

Physio Radiance:  Aina ya bidhaa katika kitengo cha Huduma ya Kibinafsi na Urembo ambayo inaongoza katika Utunzaji wa Ngozi wenye Afya na Kuzeeka vizuri, iliyotengenezwa nchini Uswisi. Safu yetu ya utunzaji wa ngozi ya Physio Radiance inatumia fomula ya kisasa ambayo inajumuisha mchanganyiko wenye nguvu wa prebiotics na probiotics, na kuiboresha na teknolojia ya utunzaji wa ngozi ya juu, ili kusaidia ngozi yako kuzeeka kwa utaratibu.

Pi-Water:  Pi-Water iligunduliwa mwaka 1964 na Dk. Akihiro Yamashita, na inafanana sana na maji ambayo yanajumuisha viumbe hai vyote, inayojulikana kama “Maji ya Kiumbe Hai” (Living Body Water).

Platinium Star: Nafasi ya sita kati ya 7 ya Klabu ya Waliofanikiwa ya QNET.

Programu ya Simu ya QNET: Programu ya Simu ya QNET ni programu ya rununu iliyoendelezwa na QNET ambayo inaruhusu Wawakilishi wa Kujitegemea kusimamia biashara zao popote walipo, kwa kutumia simu zao za mkononi. Programu hiyo inatoa aina mbalimbali ya huduma na vipengele ili kusaidia Wawakilishi wa Kujitegemea kununua bidhaa za kipekee, kufuatilia mauzo yao, kusimamia timu zao za mauzo, na kupata rasilimali za mafunzo na msaada. Kupitia Programu ya Simu ya QNET, Wawakilishi wa Kujitehemea wanaweza kuwa na mawasiliano na kushiriki katika biashara zao wakati wote, popote walipo duniani. Programu hiyo inapatikana kwa kupakuliwa kwenye vifaa vya iOS na Android.

ProSpark: Aina ya bidhaa katika kategoria ya Huduma ya Kibinafsi na Urembo ambayo ina viungo viwili vya nguvu vinavyosaidia kupambana na ugonjwa wa kuoza meno, kuvimba mdomoni, huku ikikusaidia kuwa na ufizi wenye afya, meno yenye nguvu, na tabasamu ya kupendeza.

q

Qafe: Kahawa ya kijani kibichi yenye kiwango cha juu cha CGA ambacho kinazuia mafuta, kuzuia wanga, kudhibiti sukari kwenye damu, inakuza usagaji chakula, na kupunguza hamu ya kula.

QBuzz: Blogu rasmi ya QNET, ambayo hutoa habari, masasisho na maarifa kuhusu kampuni na bidhaa zake. Blogu inashughulikia mada mbalimbali, ikiwa ni pamoja na afya na ustawi, ujasiriamali, maendeleo ya kibinafsi, na mtindo wa maisha. QBuzz pia inaangazia hadithi na mahojiano na Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET kote ulimwenguni, ikionyesha mafanikio yao. Kwa ujumla, QBuzz ni rasilimali muhimu kwa yeyote anayetaka kujifunza zaidi kuhusu QNET na tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja.

Qalive: Kiongeza nguvu za testosterone ya mboga ya majani kilicho na hati miliki ya Tongkat Ali Physta®, imethibitishwa kimatibabu kuongeza testosterone kwa 47%, kuboresha misuli na nguvu kwa 77% ndani ya mwezi 1.

qLearn: Msururu wa kozi za kujifunza mtandaoni katika kitengo cha Elimu ambazo zitawezesha wanafunzi kupata ujuzi wa kujenga biashara na kuwa viongozi.

QNETPRO: QNETPRO ni programu ya kitaalamu ya uuzaji iliyotengenezwa na QNET ili kukuza kanuni za maadili za biashara na kuongeza ufahamu kuhusu tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja. Mpango huu unatoa mafunzo na rasilimali kwa Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET, kuwasaidia kujenga biashara zao kwa njia inayowajibika na endelevu. QNETPRO pia inalenga kuelimisha umma kuhusu sekta ya uuzaji wa moja kwa moja na faida zake, na kukuza utamaduni wa uwazi na uadilifu katika ulimwengu wa biashara.

QVI Break: Hivi ni vifurushi vilivyoundwa kwa ajili ya mapumziko mafupi na haraka katika zaidi ya hoteli na vituo vya mapumziko 1000 katika maeneo maarufu ya kusafiri ulimwenguni

QVI Go:  Jukwaa la usafiri ambalo hukupa chaguo na urahisi unaohitaji ili kuendana na mipango yako ya usafiri. 

r

Repeat Sales Points (RSP): Pointi zilizopewa bidhaa za QNET zilizochaguliwa ambazo Mwakilishi wa Kujitegemea anapata baada ya kununua bidhaa za QNET kwa matumizi yake binafsi au kuuza bidhaa za QNET kwa wafadhiliwa wake ambao wako chini hadi kwa kiwango cha 10.

RSP Binafsi: Hizi ni Pointi za Mauzo za kurudia ambazo Wawakililishi wa Kujitegemea hupata wanaponunua bidhaa kwa matumizi yao binafsi au wanapouza bidhaa za QNET moja kwa moja kwa Wateja wa Rejareja waliotumwa.

RYTHM: Jiinue Ili Kuwasaidia Wanadamu (Raise Yourself to Help Mankind). Wazo la kuwawezesha wengine kufanikiwa ili kufanikiwa liko katika msingi wa biashara yetu.

RYTHM Foundation: Mpango wa athari chanya ya kijamii wa Kundi la QI ambao unawekeza katika jamii zinazotuzunguka kupitia ushirikiano mkakati, huduma kwa jamii, na kujitolea kwa wafanyakazi, na lengo la kuwezesha maisha na kubadilisha jamii kupitia tuzo za ruzuku, uwekezaji katika programu za maendeleo ya binadamu, na kuhamasisha ushiriki wa kujitolea.

s

Saa: Aina ya saa za QNET na Kronografia. 

Sapphire Star: Nafasi ya nne kati ya 7 ya Klabu ya Mafanikio ya QNET

Silver Star: Ya pili kati ya nafasi 7 za Klabu ya Mafanikio ya QNET.

t

Teknolojia ya ART: Teknolojia ya Amezcua Resonance ( ART ™ ) iliyoamilishwa kurejesha usawa katika mwili, hufanya kazi na kanuni za msukumo wa kurudisha biofield ya binadamu na mdundo asili na kukuza ‘chi’, nishati muhimu ya maisha yetu.

Timu ya Kiwango Cha Chini: Hii ni timu yako ya mauzo iliyo na idadi ya chini ya alama za mauzo au BV iliyokusanywa.

Tume za Hatua: Hii ni kile ambacho Wawakilishi wa Kujitegemea hupata wanapofikia 3,000 BV kwenye Timu yao ya Uuzaji wa Kiasi Kidogo.

u

Uandikishaji: Hatua ya kwanza ya kuwa Mwakilishi wa Kujitegemea baada ya kujisajili kwenye tovuti rasmi ya QNET.

Ua la Uhai: Muundo wa jiometri ya ‘Maua ya Maisha’ kwenye kidani cha Chi 4 wenye safu inayoshirikiana na masafa maalum, ikisambaza nishati yenye manufaa kwa mwili wa mtumiaji, kuongeza utendaji wa kila siku, na kuongeza nguvu ya kujitahidi na kinga kwa njia ya asili.

Udumishaji wa Cheo Cha Malipo: Kuna aina 2 za vyeo: Cheo cha Jina, ambacho ni cheo cha juu zaidi ambacho umefikia kwenye biashara, na Cheo cha Malipo, ambacho ni cheo ambacho umefikia kwa sasa na ni msingi wa jinsi Tume za Hatua zinavyohesabiwa. Unahitaji kufikia mafungu 2 mfululizo ya cheo cha malipo cha Platinum au Diamond Star ili ufikie cheo cha malipo cha Platinum na Diamond Star. Kumbuka kuwa mahitaji yote ya Kukuza na Kutunza Cheo LAZIMA yafikiwe kwa msingi wa Robo mwaka.

Ununuzi wa Kibinafsi: Haya ni manunuzi yako ya bidhaa kwa matumizi yako binafsi. Unaweza pia kununua bidhaa na kuwapa wapendwa wako kama zawadi!

Utendaji wa Kikundi: Mara nyingi utaona istilahi hii katika orodha ya mahitaji ya Kuendeleza na Kudumisha cheo kwa Platinum na Diamond Stars. Utendaji wa Kikundi ni idadi ya Wawakilishi wa Kujitegemea ambao wamepanda au kudumisha vyeo vyao vya malipo ndani ya timu yako kwa robo fulani.

Utunzaji na Urembo Binafsi: Kategoria ya bidhaa za QNET ambazo zinakusaidia kupendeza, kuonekana mzuri, na kujisikia vizuri.

Uuzaji wa moja kwa moja: Uuzaji wa Moja kwa Moja ni njia ya masoko ya kuuza bidhaa na huduma moja kwa moja kwa wateja.

v

Vito: Bidhaa za vito vya mapambo vya QNET.

Viumbe Vidogo: Kiumbe ambacho kinaweza kuonekana tu kwa kutumia darubini. Viumbe vidogo ni kama vile bakteria, protozoa, mwani, na kuvu. Ingawa virusi havichukuliwi kama viumbe hai, mara nyingi vinatambuliwa kama viumbe vidogo.

Vtube: vtube ni jumuiya ya video mtandaoni kwa ajili ya watu waliojitolea kwa uuzaji wa mtandao.

V Partner: Mshirika wa V ni mmoja kati ya waanzilishi waheshimiwa wa kundi la QI na waanzilishi wa kampuni na mtandao.

V Ambassador (VA): V Ambassador ni kundi la viongozi kutoka asili mbalimbali, mataifa, tamaduni, na imani, ambao wameungana katika kujenga mtandao imara wa viongozi waliothaminiwa katika kampuni na wamejitolea kubadilisha dunia kupitia kanuni ya “Raise Yourself to Help Mankind” (RYTHM).

V Convention (V-con):  Ni tukio la kila mwaka linaloandaliwa na QNET. Ni mkusanyiko mkubwa unaowakutanisha Wawakilishi wa Kujitegemea kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa mfululizo wa hotuba za motisha, mafunzo, uzinduzi wa bidhaa, na sherehe za kutambua mafanikio.

V Council (VC) : Wanachama wa V Council hufanya kazi mashinani na wana utaalam katika nchi fulani, na pia wanahuhudumu kama viongozi wa nchi.

Vya Hewani: Neno hili hutumiwa kufafanua chembe au vitu vyovyote ambavyo hupeperuka angani. Chembe chembe zinazopeperuka hewani ndio sababu vichujio vya hewa hutumiwa kusafisha hewa katika eneo fulani.

Vyeo: Seti ya viwango vya utambuzi katika Klabu ya Mafanikio ya QNET ambayo inatambua utendaji na mafanikio ya Wawakilishi wa Kujitegemea. Kuna vyeo saba kwa jumla, (1) Nyota ya Shaba, (2) Nyota ya Fedha (3) Nyota ya Dhahabu (4) Nyota ya Sapphire (5) Nyota ya Platinamu (6) Nyota ya Almasi, na (7) Nyota ya Almasi ya Bluu. Ili kuendelea kupitia viwango ya Nyota, ni lazima wawakilishi watimize vigezo maalum vya utendakazi, kama vile kuzalisha idadi fulani ya pointi za mauzo ya bidhaa na kuwa na Marejeleo ya Moja kwa Moja katika timu zao za mauzo. Kila cheo huja na seti yake ya manufaa na zawadi, ikiwa ni pamoja na ufikiaji wa matukio ya kipekee, mafunzo na motisha.

w

Wateja wa Rejareja: Watu ambao HAWAJASAJILIWA kama Wawakilishi wa Kujitegemea wa QNET ambao hununua bidhaa za QNET kwa matumizi yao ya kibinafsi.

Webinar: Mafunzo ya bure yanayotolewa na QNET kwa njia ya mtandao kwa wawakilishi wa kujitegemea.

Wiki ya Mauzo: QNET inatoa malipo ya tume kila wiki na inagawanya mwaka katika wiki za uuzaji. Wiki ya uuzaji ya kawaida huanza Jumamosi saa 12:00 jioni HKST na hufikia mwisho Ijumaa saa 11:59 jioni HKST.

x

Hakuna ufafanuzi kwa sasa!

y

Hakuna ufafanuzi kwa sasa!

z

Hakuna ufafanuzi kwa sasa!