QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Jinsi Yoga Inaweza Kukufanya Uwe na Furaha, Afya Bora, na Uzalishaji Zaidi
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Vidokezo vya Mafanikio > Jinsi Yoga Inaweza Kukufanya Uwe na Furaha, Afya Bora, na Uzalishaji Zaidi
MafanikioVidokezo vya Mafanikio

Jinsi Yoga Inaweza Kukufanya Uwe na Furaha, Afya Bora, na Uzalishaji Zaidi

Last updated: 2022/08/18 at 10:05 AM
QNET Official
Share
5 Min Read
yoga
yoga 1
SHARE

Contents
1. Tiba ya kupunguza msongo wa mawazo2. Inakuinua3. Hukupa nidhamu na subira4. Hukufanya kuwa kiongozi bora5. Hukuza ufahamu

Ingawa ni ya kuridhisha sana, ujasiriamali unaweza kuwa wenye uhitaji. Hata hivyo, kujitolea kwa biashara ya mtu, ni muhimu kwa wajasiriamali kuchukua muda mara kwa mara ili kufufua akili na miili yao.

Kuna njia nyingi za kufanya hivyo, bila shaka. Na hata suluhisho rahisi zinaweza kutoa matokeo muhimu.

Japo kuna zoezi moja la zamani ambalo hufahamika kuwa linafaa zaidi kuliko mengine- yoga.

Linalotokana na mzizi wake kutoka na mil ana tamaduni za Kihindi kwa zaidi ya miaka 5,000, yoga sio tu mazoezi yanayofanya na mamilioni duniani kote. Zaidi ni mfumo wa kimwili, kiakili na kiroho ambao, sayansi sasa inathibitisha, huleta manufaa mengi.

1. Tiba ya kupunguza msongo wa mawazo

Kumiliki biashara yako na kujiajiri kunamaanisha kuwa na maamuzi ya kufanya kazi wakati gani, wapi na jinsi unavyotaka. Hata hivyo, maisha ya mjasiriamali hayakosi changamoto zake.

Yoga inaweza kusaidia kuondoa wasiwasi kazini kwa kutusaidia kuzingatia zaidi utu wetu wa ndani. Mtindo unaojulikana kama hatha yoga, ambao ni bora kwa wanaoanza, ni wa manufaa hasa kutokana na msisitizo wake juu ya namna ya kupumua na kutafakari.

Kupumua kunaweza kuwa kitendo kisicho cha hiari. Lakini, hata sayansi ya kisasa imegundua kuwa kupumua kwa kina kunaweza kusaidia kupunguza wasiwasi.

2. Inakuinua

Karibu aina zote za mazoezi ya kimwili zinaweza kutufanya tuwe na furaha zaidi. Lakini kulingana na uchunguzi mmoja, yoga ni bora zaidi katika kuweza kupunguza wasiwasi na kuboresha hali ya jumla ya mtu.

Kimsingi, hii ni kutokana na nyurotransmita inayohusiana na hali ya ubongo inayoitwa gamma-aminobutyric (GABA).

Viwango vya chini vya GABA vinahusishwa na hisia za huzuni na wasiwasi. Hata hivyo, mara tu mtu anapoanza kuzingatia kufanya yoga viwango vya GABA hupanda na kuongezeka.

Na hii ndiyo sehemu bora zaidi – unahitaji kipindi kimoja tu ili kuanza kujisikia vizuri!

3. Hukupa nidhamu na subira

Ndio, kipindi kimoja tu cha yoga kinaweza kuongeza hisia zako. lakini, ili kupata matokeo bora na kuhakikisha kuwa mtu anapata manufaa kamili, ni muhimu kuwa na bidii na kufanya mazoezi.

Sheria hii, bila shaka, haifanani na ujasiriamali, ambayo ni juu ya nidhamu binafsi, uvumilivu na kutambua kwamba mafanikio hayawezi kuharakishwa kamwe.

Ni kweli, huenda kukawa na nyakati ambapo unahisi kuchanganyikiwa na kutozingatia na kutaka kuepuka kazi. Bado kama vile yoga, ni muhimu kukumbuka kuwa ni katika kuwa polepole, thabiti na mvumilivu tu ndipo mtu anapata ushindi wa kweli.

4. Hukufanya kuwa kiongozi bora

Mtazamo wa mafunzo ya zamani kuhusu uongozi ni kwamba viongozi wanapaswa kuwa wakali na watawala. Hata hivyo, imegundulika kuwa viongozi bora wa siku hizi ni wale ambao ni watulivu, wenye kujiamini, na kuinua timu zao katika nyakati ngumu.

Kwa hivyo mtu anapataje na kuboresha sifa hizi nzuri za usimamizi kupitia yoga? Kweli, kwa wanaoanza, mienendo fulani inaelekezwa haswa kuelekea uongozi.

Maarufu zaidi kati ya haya ni shujaa, msururu wa misimamo ambayo hujenga uimara wa misuli na uwezo huku ikikusaidia kujisikia mwenye nguvu na mwenye kujiamini pamoja na utulivu na kukusanywa.

Ni kweli, pozi zote si rahisi. Lakini pia, si hivyo kwenye uongozi.

5. Hukuza ufahamu

Mjasiriamali wa kisasa mara nyingi anatakiwa kuwa mwepesi na anayeweza kubadilika – bila shaka sifa ambazo mtu anaweza kuziboresha kupitia yoga.

Mojawapo ya malengo ya mwisho ya yoga ni kukuza wepesi wa mawazo na uwazi. Kwa hivyo, inafaa kuzingatia kwamba mtu anayetumia nidhamu atazoea zaidi kusikiliza, kujifunza na kurekebisha akili na mwili kwa hali mpya katika biashara na maisha.

Kwa bahati nzuri, mawazo wazi pia inaonekana kama tiketi ya kuwa na umakini zaidi kwa wateja.

Ndiyo, yoga ni jitihada ya mtu binafsi. Lakini, mwisho wa siku, masomo yanayotolewa yatakusaidia sio wewe tu bali wateja wako na timu pia.

Masomo 5 Kutoka kwenye mazoezi ya Yoga Kutumia katika uuzaji Moja kwa Moja

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article qnetanswersftx Jinsi ya Kuwasaidia Marafiki na Familia Kuelewa Kwamba QNET Sio Ulaghai
Next Article introducingqnetfingreenfinancialliteracyprogrammex Tunakuletea QNET FinGreen – Programu ya Kuwezesha Wanawake na Vijana kupitia elimu ya kifedha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili