QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Real Talk na #QNET25: Kusherehekea Maadhimisho Maalum!
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > PODCAST > Real Talk na #QNET25: Kusherehekea Maadhimisho Maalum!
PODCAST

Real Talk na #QNET25: Kusherehekea Maadhimisho Maalum!

Last updated: 2023/09/26 at 8:38 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
Real Talk na QNET
SHARE

Contents
Kwa Nini Tuko HapaKumbukumbu za QNET zisizosahaulikaUrithi, Athari, na mengine yoteTutarajie nini wakati ujaoFainali Kuu: Waanzilishi wa QNETHongera kwa Miaka 25!Sikiliza Kipindi Maalum cha Maadhimisho ya Miaka 25 cha Real Talk na QNET Podcast sasa!

Jiandae kwa sababu tunakaribia kuianza safari ya kufurahisha ya miaka 25 ya QNET, na itakuwa ya kusisimua! Katika kipindi hiki maalum cha Real Talk katika podcast ya QNET, sote tunafuraha kumbukumbu nzuri na tunasherehekea miaka 25 kwa upekee!

Kwa Nini Tuko Hapa

Mwenyeji wetu, Trevor Kuna, yuko hapa ili kuanzisha sherehe, na ni njia gani bora zaidi ya mahojiano ya moja kwa moja na Mkurugenzi Mkuu wa QI Group na V Partner Kuna Senathirajah! Kwa pamoja, wanazungumza kuhusu umuhimu wa kusherehekea hatua muhimu, haswa ukiwa kama QNET.

Kumbukumbu za QNET zisizosahaulika

Wafwatao, Wakurugenzi wetu wa QI na Mabalozi wa V kuchukua kipaza sauti ili kushiriki kumbukumbu zao za QNET, hakika hadithi hizi ni za kusisimua! Kuanzia hadithi za kutia moyo hadi za kuchekesha sana, jitayarishe kurejea matukio fulani yasiyoweza kusahaulika katika historia ya QNET. Tunakuibia siri: kuna vicheko, machozi, na hadithi zenye msukumo mwingi.

Urithi, Athari, na mengine yote

Sasa, wacha tuingie kwenye mambo muhimu zaidi! Tunaketi pamoja na washirika wa V, David Sharma, Sathi Senathirajah, Arun George, na Adly Hassan ili kuongelea zaidi nini maanake kuwa sehemu ya familia ya QNET. Wanaongelea urithi na athari za QNET na tuamine tukisema, sio maongezi ya kawaida. Jitayarishe kwa mambo mengi Zaidi.

Tutarajie nini wakati ujao

Kaa vizuri kwa sababu Bi Malou Caluza, Afisa Mkuu wa Athari wa QNET na gwiji wa hadithi ambaye amekuwa hapo tangu siku za awali, anatupa habari za ndani kuhusu nini cha kutarajia katika safari ya kusisimua ya QNET. Hakuna mazingaumbwe, ni maarifa ya kupendeza ya moja kwa moja tu!

Fainali Kuu: Waanzilishi wa QNET

Na kuhitimisha yote, Chief Pathman Senathirajah anachukua nafasi,Hakika ilikua bonge la pati. Aketi chini kwa mazungumzo na Waanzilishi wa QNET Dato Sri Vijay Eswaran na Joseph Bismark. Tunazungumza mambo ya kufurahisha ya kustaajabisha, burudani pekee, na mambo yote mazuri ambayo wanaweza kushiriki kuhusu kila mmoja wao. Zaidi ya hayo, waongelea matumaini yao kwa QNET na kizazi kijacho cha wajasiriamali!

Hongera kwa Miaka 25!

Kwa maongezi haya ya ziada ya kusisimua ya Maongezi ya Wazi kupitia podikasti maalum ya QNET, tuchangamkie maadhimisho ya miaka 25 ya QNET. Imekuwa safari iliyojaa kumbukumbu, watu wa ajabu na furaha tele. Kifutacho Miaka 25 ijayo ya matukio yaliyojazwa na QNET, ubunifu, na msisimko usio na kikomo! Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii ya ajabu.

Sikiliza Kipindi Maalum cha Maadhimisho ya Miaka 25 cha Real Talk na QNET Podcast sasa!

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Maadhimisho ya miaka 25 na zawadi za QNET Umuhimu wa Zawadi za Maadhimisho ya mwaka: Ishara za upendo zisizo pitwa na wakati
Next Article Namba Mpya ya Umma ya NID QNET Yazindua Namba Mpya ya WhatsApp kwa Masoko Kusini mwa Jangwa la Sahara Ili Kuhakikisha Uwazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili