QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Dondoo za kutunza macho yako
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Huduma Binafsi > Dondoo za kutunza macho yako
BidhaaHuduma Binafsi

Dondoo za kutunza macho yako

Last updated: 2022/09/27 at 11:48 AM
QNET Official
Share
5 Min Read
physio radiance qnet
physio radiance qnet
SHARE

Contents
Kula matunda na mboga mbogaLinda maeneo karibu na macho yakoVaa miwani ya juaAcha kuvuta sigara na kuacha tabia mbayaPumzisha macho mara kwa mara na muone daktari

Kugusa, kuona, kusikia, kunusa na kuonja. Hisia zetu  zote ni muhimu ili kutusaidia kuelewa na kuuelewa ulimwengu unaotuzunguka. Na vivyo hivyo, afya zetu ni muhimu katika kuendesha biashara yetu ya QNET vizuri.

Lakini, mabishano ni kuwa, kati ya hizo tano, kuona ndio tunayotegemea zaidi.

Kwa mfano, bila uwezo wa kuona, wanadamu hawataweza kutambua vitisho, kupata chakula, au kutambua watu wa kuingiliana au kufanya biashara nao. Zaidi ya hayo, 80-85% ya kile tunachoona kupitia hisi zingine huamuliwa na macho yetu.

Hata hivyo, cha kusikitisha ni kwamba wengi wetu hatuzingatii macho yetu. Lakini kwa kweli hatupaswi, hasa kwa vile kuna hatua rahisi zinazoweza kufanywa kwa muda mrefu katika kuhakikisha afya bora ya macho.

Hapa kuna njia tano rahisi kufanya macho yako yawe yenye afya.

Kula matunda na mboga mboga

image 38

Unakumbuka jinsi ulipokuwa mtoto, uliambiwa umalize karoti zako kwa sababu ni nzuri kwa macho yako? Naam, ni kweli! Karoti zimesheheni Vitamin A, kirutubisho ambacho ni kizuri kwa kuboresha kuona.

Lakini, kwa kweli, sio vitu pekee ambavyo unapaswa kula. Mboga za kijani kibichi na parachichi, ambazo zina Vitamini E kwa wingi, pamoja na matunda yaliyorutubishwa na Vitamini C, kama machungwa, kiwi, ni muhimu vile vile.

Lo, na upakie vyakula vilivyo na zeaxanthin na lutein, kama vile mchicha na sukuma wiki. Hizi zinaweza kusaidia kulinda dhidi ya matatizo ya macho yanayohusiana na umri.

Linda maeneo karibu na macho yako

Ndio, vipodozi sahihi vinaweza kuchochea mwonekano wa macho yako. Lakini kumbuka kuwa bidhaa zisizofaa au utaratibu mbovu hauwezi tu kuathiri vibaya ngozi karibu na macho yetu – – lakini pia husababisha maambukizi mabaya!

Kwa hivyo, zingatia matumizi ya vipodozi machoni. Jaribu kuweka kwa kiasi au uchague seramu/mafuta rahisi ambayo hufufua na kulinda eneo karibu na macho yako.

Physio Radiance Expert, kwa mfano, ni kamili kwa ajili ya kuboresha unyevu wa ngozi na rangi pamoja na muonekano ang’avu. Hata bora zaidi, 99% ya viungo vyake ni asili, ambayo ina maana ni salama kabisa!

Vaa miwani ya jua

Mwangaza wa jua ni muhimu kwa afya ya binadamu. Lakini kupita kiasi kwa miale ya jua ya ultraviolet – kunaweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata Cataract na kuzorota kwa macular. Kwa hivyo, unapotoka nje , kwa mfano kukutana na wateja, daima tafuta miwani zinazozuia kwa 99-100% ya mionzi ya UVA na UVB.

Kumbuka, macho yako ni dhaifu na yanaweza kujeruhiwa kwa urahisi. Kwa hivyo kila wakati hakikisha kuwa umelindwa vya kutosha.

Zingatia pia miwani iliyoimarishwa na polycarbonate, miwani za usalama au vilinda macho unaposhiriki katika shughuli kama vile ujenzi, au hata unapocheza michezo fulani.

Acha kuvuta sigara na kuacha tabia mbaya

Tunajua kwamba sigara zinaweza kusababisha madhara mengi kimwili, lakini je, unajua kwamba zinaweza kuwa hatari kwa macho yako?

Uchunguzi umegundua kuwa uvutaji sigara unaweza kusababisha mabadiliko kwenye macho, kuongeza hatari ya glaukoma na cataract, na hata kuharibu mishipa ya macho.

Vile vile, ingawa unywaji pombe wa wastani ni sawa, unywaji pombe kupita kiasi unaweza kusababisha masuala mengi yanayohusiana na maono, miongoni mwao kupungua kwa utendakazi wa kuona, athari ya kuona, na mara chache, hata kupofuka.

Kwa hiyo, ni kuacha tabia mbaya na kadiri inavyowezekana, kudumisha maisha yenye afya.

Pumzisha macho mara kwa mara na muone daktari

Macho yetu yanapitia changamoto nyingi kila siku, na ingawa sio lazima kusababisha matokeo mabaya ya muda mrefu, inashauriwa kuchukua mapumziko ya mara kwa mara ya maono na kuzingatia sheria ya 20-20-20.

Kimsingi, mafunzo yanasema hii inamaanisha kuchukua sekunde 20 kutazama kitu kilicho umbali wa futi 20 baada ya dakika 20 ya kusoma au kutazama skrini. Lakini usijali ikiwa huwezi kudumisha hii kabisa kwa sababu mapumziko yoyote ni ya manufaa.

Pia, usisahau kumuona daktari na kupima macho angalau mara moja kwa mwaka.

Masuala mengi ya macho yetu yanatibika. Lakini yanahitaji kukamatwa mapema, ndiyo sababu ziara za mara kwa mara kwa daktari na kushikamana na hatua zilizotajwa hapa ni muhimu ili kudumisha afya nzuri ya macho.

Zaidi ya hayo, afya bora ya macho huturuhusu kuamka tukiwa na macho angavu na tayari kukabiliana na kila siku mpya.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article qnet ds Njia 5 Za Kuanzisha Ndoto Yako Ya Kuuza Moja Kwa Moja
Next Article RYTHMsponsoredANOPAProjectGhanax QNET yahamasisha ushirikishwaji wa walemavu kupitia tuzo iliyoshindwa na mradi wa ANOPA unaodhaminiwa na RYTHM

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili