QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kongamano la 9 la Maji Duniani nchini Senegal: QNET yawasilisha bidhaa yake ya Maji Safi ya Nyumbani HomePure
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Kongamano la 9 la Maji Duniani nchini Senegal: QNET yawasilisha bidhaa yake ya Maji Safi ya Nyumbani HomePure
Bidhaa

Kongamano la 9 la Maji Duniani nchini Senegal: QNET yawasilisha bidhaa yake ya Maji Safi ya Nyumbani HomePure

Last updated: 2022/03/23 at 9:31 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
HomePure
HomePure
SHARE

QNET, kinara wa kimataifa katika uuzaji wa moja kwa moja, inashiriki katika toleo la tisa la Jukwaa la Maji Duniani ambalo linafanyika nchini Senegal kuanzia Machi 21 hadi 26, 2022, kama sehemu ya juhudi zake za kuendelea kusaidia mazingira na maendeleo endelevu barani Afrika na duniani kote.

Hili ni toleo la kwanza la kongamano hilo Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na linaangazia usalama wa maji kwa ajili ya amani na maendeleo.

Uzito wa usalama wa Maji kwa nchi zinazoendelea katika suala la ufikiaji na ubora wa maji, hufanya kongamano la Kiafrika kuwa muhimu zaidi. Katika makala iliyochapishwa Julai 28, 2020, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ilifichua kwamba: “Watu bilioni 2.2 hawana huduma ya maji inayosimamiwa kwa usalama, na wengi wako katika maeneo maskini zaidi ya Afrika”.

QNET, chapa inayozingatia uendelevu haiachi fursa ya kushiriki na kuchangia katika juhudi zinazoendelea za kuhakikisha usalama wa maji barani Afrika na dunia kwa ujumla. Kwa miaka mingi, QNET imekuwa ikiwekeza katika utafiti ili kuwezesha upatikanaji wa maji bora kupitia chapa yake ya HomePure. Ni chini ya bendera ya chapa ya HomePure ambapo QNET inashiriki katika toleo la 9 la Kongamano la Maji Duniani.

Ushiriki wa QNET katika tukio hili kuu la maji inalenga kuchangia katika kutafakari usalama wa maji kwa wakazi wa Afrika. Kwa hivyo, QNET itakuwa na banda la bidhaa ya HomePure. Wageni wataweza kutumia bidhaa ya HomePure Complete Water, aina mbalimbali za bidhaa za kuchuja maji ambazo zitahakikisha kuwa  maji ni salama, safi na yenye Pi-Water bora nyumbani kila siku. Watatambua jinsi ni rahisi kwa watumiaji, inayofaa na usalama ilivyo, ubora wa kiwango cha kimataifa, haina gharama kubwa rafiki kwa mazingira.

Pia itakuwa fursa kwa QNET kuwasilisha sekta ya uuzaji wa moja kwa moja kwa upande mmoja na kwa upande mwingine, hatua zake na masuluhisho ya suala muhimu la ubora wa maji kupitia chapa ya HomePure.

Bw. Biram Fall, Meneja Mkuu wa Kanda wa QNET Kusini mwa Jangwa la Sahara akithibitisha umuhimu wa kongamano hilo na masuala yanayohusiana na maji kwa QNET alisema: “Suala la maji ni sehemu ya mkakati wa kimataifa wa QNET unaozingatia haja ya kutoa ufumbuzi endelevu na njia bora za kupata maji safi”.

QNET imeshinda tuzo nyingi za kanda na za kimataifa kwa mtindo wake endelevu, bidhaa na uwajibikaji wa kijamii. Pamoja na Kampuni ya CSR e-Commerce (Ya mtandaoni) ya Mwaka iliyotunukiwa na Kituo cha CSR, Afrika Magharibi, Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini Gold Stevie® Tuzo ya Dhahabu ya Aplikeshen (App) yake ya simu, QNET Mobile, Uongozi katika Huduma ya Jamii na Wajibu wa Shirika kwa Jamii katika Tuzo za Communitas na zingine nyingi.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article WorldWaterDayQNETHomePurex Sherehekea Siku ya Maji Duniani 2022 kwa kufanya #WaterSourceChallenge
Next Article VConventionConnectx Je, Uko Tayari Kwa V-Convention Connect 2022?
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili