QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kupata usawa: Vidokezo Kamili vya Kufanikiwa katika Biashara na Maisha
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Afya > Kupata usawa: Vidokezo Kamili vya Kufanikiwa katika Biashara na Maisha
AfyaBidhaa

Kupata usawa: Vidokezo Kamili vya Kufanikiwa katika Biashara na Maisha

Last updated: 2022/11/03 at 12:00 PM
QNET Official
Share
5 Min Read
amezcua bio light health
amezcua bio light health
SHARE

Contents
Kumbuka kusudi lakoAngazaMaadili madhubuti humjenga mjasiriamaliJifunze kuachiliaKubali nyakati ngumu, na songa mbele

Usifanye kazi sana. Chukua mapumziko. Usijali. Tulia.

Kila mjasiriamali amepokea ushauri kama ulio hapo juu kutoka kwa marafiki na wanafamilia wenye nia njema, na ukweli ni kwamba, wengi wetu tunakubali kwamba usawa wa maisha na kazi ni muhimu kwa afya na furaha.

Hapo hapo, kile ambacho wamiliki wengi wa biashara na wapendwa wanashindwa kutambua ni kwamba kupata usawa ni zaidi ya kufanya kazi kwa masaa machache au kukabidhi majukumu kwa washiriki wa timu. Badala yake, ni juu ya kufikia usawa kwa kuchukua hatua za kufahamu chanya kuelekea maelewano ya ndani.

Hapa kuna njia tano za kufanya hivyo tu:

Kumbuka kusudi lako

Ingawa kwa ujumla ni rahisi kubadilika, kujiajiri wakati mwingine kunaweza kumaanisha kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi na kushughulikia mambo zaidi kuliko vile ungekua umeajiriwa. Na mbali na kuwa chanzo cha mafadhaiko, hii inaweza kukushusha na kupunguza tija.

Lakini unakumbuka kwanini uliamua kuwa mjasiriamali? Unakumbuka malengo yako ya mapema? Mpango wako? Maono yako? Wataalamu wanasema kukumbuka kwa nini unafanya kile unachofanya, hasa katika siku ngumu, kunaweza kuwasaidia wafanyabiashara kuwa watulivu na makini.

Kwa hivyo andika malengo hayo na malengo uliyokuwa nayo mwanzoni, na kumbuka kuyaangalia kila mara.

Angaza

Kila kiumbe hai kina mwanga wa ndani. Hata hivyo wengi wetu huipuuza, na hivyo basi, hufungua mlango kwa magonjwa mengi ya kimwili, na hasa ya kiakili na kiroho.

Kwa bahati nzuri, hata hivyo, kuoanisha biophotoni za mwili na kuhakikisha usawa bora unapatikana kwa urahisi.

Njia moja ya kufanya hivi ni kutenga wakati kila siku kutafakari, kufanya mazoezi ya kuzingatia na kutathmini mazingira yetu.

Lakini kinachoweza pia kusaidia ni Amezcua Bio Light 3; aina isiyo ya kuingilia ya tiba ya biophotonic ambayo inakuza uponyaji wa jumla. Inatumika sanjari na Amezcua Bio Disc 3, kifaa bora dunaiani kilichoundwa kisayansi kinacho shughulikia hali ya kimwili kupitia mwanga huku kikiboresha afya ya kiroho na kiakili.

Maadili madhubuti humjenga mjasiriamali

Sehemu kubwa ya mafanikio ya QNET daima ni kubaki mwaminifu kwa maadili yetu, na hivyo ndivyo wajasiriamali binafsi wanaitwa kuweka kipaumbele.

Ndio, inawezekana kupata pesa – nyingi! – kwa njia fupi, kupotea kutoka kwenye njia ya kanuni na kutokuwa na maadili. Lakini, kumbuka kila wakati kuwa uuzaji wa moja kwa moja ni, juu ya yote, juu ya kuwawezesha watu. Na tafiti zinathibitisha kwamba kutanguliza haki kwa watu hutufanya tujisikie wenye furaha na kuridhika zaidi.

Zaidi ya yote, imegundulika kuwa kujitolea kwa kiongozi kwa maadili  hufanya timu zao kuwa na furaha pia!

Jifunze kuachilia

Hakuna shaka kuwa wafanyabiashara ndio viongo muhimu wa biashara zao. Lakini, mafanikio, haswa katika uuzaji wa moja kwa moja, haitegemei mtu mmoja tu bali kikundi kinachofanya kazi pamoja kwa lengo moja.

Kwa hivyo, ni muhimu kuacha usimamizi mdogo na ujifunze kuamini timu yako.

Uongozi wako na maono yako daima yatakuwa muhimu kwa ukuaji endelevu. Lakini utimilifu unaokuja na mafanikio pia unamaanisha kujifunza jinsi ya kurudi nyuma na kuwawezesha wengine kupata sauti zao. Kumbuka, kama wewe ni kiongozi leo, ni kwa sababu mtu mwingine alikuamini.

Kubali nyakati ngumu, na songa mbele

image 1

Kuinka baada ya kukatishwa tamaa si rahisi. Kwa kweli, kushikilia vikwazo, wakati mwingine tunaweza hata kukataa kukiri kushindwa.

Ukweli, hata hivyo, ni kwamba nyakati ngumu ni sehemu ya maisha na biashara. Na ni muhimu kutambua kwamba kila kizuizi na changamoto ni fursa ya kujifunza na kukua.

Hii haimaanishi kwamba tunapaswa kutarajia kushindwa kila wakati. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba baadhi ya mambo yako nje ya uwezo wetu, na makosa hutokea. Kwa hiyo, hata unapochukua wakati kutafakari juu ya mambo yaliyokatishwa tamaa, azimia kuwa na maoni yanayofaa na kusonga mbele.

Wajasiriamali, zaidi ya wengi, wanatambua kwamba maisha sio marahisi. Hata hivyo inawezekana kabisa kuwa na mafanikio, furaha na afya; tukizingatia kwa umakini.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Mvua Njia rahisi za kuwa na afya bora wakati wa msimu wa mvua
Next Article qnet empowers rythm Sisi ni Ulimwengu: Jinsi QNET Inavyowezesha Jamii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Français (French)
  • Swahili