QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Hadithi Potofu Kuhusu Virutubisho vya Lishe: Kutenganisha Ukweli dhidi ya Uwongo
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Afya > Hadithi Potofu Kuhusu Virutubisho vya Lishe: Kutenganisha Ukweli dhidi ya Uwongo
BidhaaAfya

Hadithi Potofu Kuhusu Virutubisho vya Lishe: Kutenganisha Ukweli dhidi ya Uwongo

Last updated: 2023/09/29 at 11:21 AM
QNET Official
Share
4 Min Read
Virutubisho vya Afya vya QNET
SHARE

Contents
Dhana Tatu zisizo za kweliUwongo: Zaidi ni BoraUwongo: Virutubisho lishe ni kwaajili ya Wanariadha PekeeUwongo: Virutubisho lishe kuleta mabadiliko ya HarakaJinsi Bidhaa za Afya za QNET Husaidia katika Mahitaji ya LisheEDG3 Plus: Imarisha Afya Yako, Kila SikuBelite 123: Kula vizuri ili kuwa hatika afya bora zaidi

Virutubisho vya lishe mbadala vimekuwa mada ya moto kwa muda mrefu sasa. Kwa ahadi ya kutoa afya bora, utendakazi bora, na viwango vya nishati vya juu, haishangazi kwa nini watu wengi wanageukia virutubisho hivi ili kuboresha ustawi wao kwa ujumla.

Pamoja na taarifa nyingi, kutofautisha taarifa za kweli na za uwongo kuhusu virutubisho vya lishe imekuwa changamoto. Ndiyo maana tuko hapa kusaidia.

Hebu tuanze kwa kuonesha baadhi ya dhana potofu zinazojulikana kuhusu virutubisho vya lishe na kuchunguza jinsi bidhaa za afya za QNET zinaweza kuboresha ustawi wako kwa ujumla.

Dhana Tatu zisizo za kweli

Uwongo: Zaidi ni Bora

Baadhi ya watu wanaamini kuchukua dozi kubwa ya virutubisho lishe inaweza kuongeza faida zao za afya. Hata hivyo, ulaji mwingi wa virutubisho lishe fulani kunaweza kuwa na madhara kwa afya yako. Kwa mfano, utumiaji wa Vitamini A kupita kiasi unaweza kusababisha uharibifu wa ini, wakati kiwango kikubwa cha Vitamini C kinaweza kusababisha shida za tumbo kama vile kichefuchefu, kuhara, na maumivu ya tumbo.

Ni muhimu kuzingatia kipimo kilichopendekezwa na kuzungumza na mtaalamu wa afya ikiwa huna uhakika kuhusu kiasi kinachofaa.

Uwongo: Virutubisho lishe ni kwaajili ya Wanariadha Pekee

Ingawa virutubisho vya lishe vya michezo kama vile poda ya protini na creatine ni maarufu miongoni mwa wanariadha, virutubisho vya lishe vinaa manufaa kwa kila mtu. Mlo wa kisasa mara nyingi hauna vitamini muhimu, madini, na virutubisho vingine vinaweza kuongezea. Kwa hivyo, hata kama wewe si mwanariadha, unaweza kufaidika kwa kutumia virutubisho vya lishe.

Uwongo: Virutubisho lishe kuleta mabadiliko ya Haraka

Wengi wanaamini kwamba virutubisho pekee vinaweza kutatua matatizo yao ya afya, lakini hii si kweli. Ingawa virutubisho hutoa virutubisho vya ziada, haviwezi kuchukua nafasi ya lishe bora na mtindo bora wa maisha. Kudumisha mlo kamili, kufanya mazoezi mara kwa mara, na kupata usingizi wa kutosha ni muhimu ili kupata afya bora. Virutubisho vya lishe vinapaswa kukamilisha tabia hizi za afya, sio kuzibadilisha.

Unaweza kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako na ustawi wako kwa kufahamu hadithi hizi potofu na kuelewa ukweli kuhusu virutubisho vya lishe.

Jinsi Bidhaa za Afya za QNET Husaidia katika Mahitaji ya Lishe

EDG3 Plus: Imarisha Afya Yako, Kila Siku

EDG3 Plus ni kinywaji chenye kazi nyingi ambacho hushibishiza, kurutubisha, na kuimarisha mwili wako kutoka ndani. Inatumia fomula ya kisasa inayojumuisha mchanganyiko wa dondoo la manjano, vitamini D3 na vitangulizi vya glutathione, kukupa njia rahisi na nzuri ya kuongeza viwango vyako vya antioxidant. Ongeza EDG3 Plus katika utaratibu wako wa kila siku ili kuupa mwili wako usaidizi unaohitaji ili kupambana na mkazo wa kioksidishaji, kudumisha afya bora, na kuboresha ustawi wako kwa ujumla.

Belite 123: Kula vizuri ili kuwa hatika afya bora zaidi

image

Je, uko tayari kuboresha afya yako? Belite 123 yuko hapa kusaidia. Suluhisho letu la kudhibiti uzito iliyochanganya virutubisho vya asili na za sayansi ili kusaidia malengo yako. Belite 123 imeundwa ili kuboresha metaboliki yako, kupunguza hamu ya kula, na kuondoa sumu mwilini mwako, hurahisisha kula vizuri na kufanya kazi bila kutegemea lishe ngumu au ratiba nyingi. Chukua udhibiti wa ustawi wako na ufurahie maisha yenye afya!

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio

Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024

Amezcua E-Guard X: Ufunguo wa Kuishi kwa Afya Bora katika karne ya Kidijitali ya Afrika

Njia Tano za Kuboresha Uwezo wako wa Kuuza moja kwa moja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Man city and QNET partnership Nyakati za ushindi Kupitia Ushirikiano Wetu wa QNET-Man City
Next Article HomePure Viva alkaline water Kuishi Maisha Mazuri na HomePure Viva
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili