QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET Yapata Ushindi mara tatu Katika Tuzo za MarCom za 2021
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Tuzo > QNET Yapata Ushindi mara tatu Katika Tuzo za MarCom za 2021
HabariTuzo

QNET Yapata Ushindi mara tatu Katika Tuzo za MarCom za 2021

Last updated: 2021/11/22 at 7:54 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
TuzozaMarCom
Tuzo za MarCom 2021
SHARE


QNET ilitangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Platinum mara mbili katika Tuzo za MarCom za 2021. Tuliibuka kidedea katika kategoria za Uhusiano wa Kijamii na Programu ya Simu ya Mkononi. Pia tulishinda tuzo ya Dhahabu katika kitengo cha matangazo yaliyosambaa Zaidi mtandaoni, na tulitajwa kwa heshima ya Ahadi yetu ya QNET ya Kuunda video ya Ulimwengu Endelevu. QNET ilisimama ka upekee kutoka miongoni mwa waandikishaji 6000 kutoka Marekani, Canada na nchi nyingine 39. Hii ni mara yetu ya pili kutambuliwa katika tuzo za MarCom ambapo QNET ilikuwa imeshinda dhahabu mbili hapo awali.

Contents
Tuzo za MarCom za 2021 ni nini?Tuzo za Platinum MarCom za QNETTuzo za Dhahabu za MarCom za QNETAhadi ya QNET ya Kuunda Ulimwengu Endelevu
Tuzo za MarCom za 2021 ni nini?

Tuzo za MarCom ni shindano la ubunifu linaloheshimiwa sana ambalo linatambua mafanikio kutoka kwa makampuni kote ulimwenguni. Jopo lao la waamuzi linajumuisha wataalamu wakubwa na kwa hivyo hawana upendeleo, wakiwa na uwamuzi wa haki kwa kila mshiriki. Wanatazama kazi ambayo kiwango chake cha ubora kipo juu na hivyo kiweka hicho kama kigezo cha kutizamiwa kwenye tasnia. Miongoni mwa washindi wa 2021 MarCom ni mashirika kadhaa ya kimataifa ya ubunifu pamoja na kampuni za Fortune 500. Washindi wa mwaka huu ni pamoja na 3M, AIG, Mastercard, PepsiCo na Amazon Science, miongoni mwa wengine.

Tuzo za Platinum MarCom za QNET

QNET 2021 MarCom Awards Platinum Winner

QNET ilitunukiwa kua mshindi wa Platinum katika vipengele viwili katika Tuzo za MarCom za 2021. Platinum ndiyo tuzo ya juu zaidi katika shindano hili la ubunifu, na tunafurahi kutambuliwa kwa Programu yetu ya Simu ya QNET ambayo ilishinda chini ya kitengo cha App for Business. Utangazaji wetu wa Maadhimisho ya 22 ya mitandao ya kijamii ya QNET – QNET Inayo Nguvu Kuliko Zamani – pia ilishinda Platinum. Kampeni hii ilitambuliwa kwa ubora wake katika ushirikiano wa kijamii, na ilijumuisha dondoo kwenye historia ya miaka 22 ya QNET, Namna kamera zetu za Uhalisia Ulioboreshwa kwa ajili ya maadhimisho hayo, pamoja na sherehe zetu mtandaoni za siku ya kuzaliwa na Toleo la Maadhimisho ya Aspire.

Tuzo za Dhahabu za MarCom za QNET

QNET 2021 MarCom Awards Gold Winner

Kampeni ya QNET na HomePure kwenye Siku ya Maji Duniani ilishinda Tuzo ya Dhahabu katika Tuzo za 2021 za MarCom. Tulipewa Tuzo ya dhahabu kwa ajili ya #ChupaSelfieChallenge yetu ambayo iliongeza ufahamu juu ya masuala muhimu sana ya mazingira. Tulitambuliwa katika Kampeni ya Uuzaji iliyoshika kasi kwenye mitandao ya kijamii, sifa zifike kwa wasambazaji wetu na washawishi wa shirika ambao walifanikisha hili!

Ahadi ya QNET ya Kuunda Ulimwengu Endelevu

Pengine wakati wetu wa kujivunia ulikuja  tajwa kwa Heshima kwa juhudi zetu endelevu. Video yetu kuhusu bidhaa zinazoongozwa na kusudi ilipokelewa vyema, na ilitufanya tujivunie kuongoza juhudi kama hizo katika kuunda urithi wa kijani kibichi.

Sasa tumeshinda jumla ya Tuzo 33 za kimataifa mwaka huu. Jiunge nasi katika kusherehekea habari hii ya kufurahisha!

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yaonya Umma Kuchukua Taadhari Dhidi ya Ulaghai wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu nchini Sierra Leone

Heri ya Miaka 26 ya Mafanikio, Familia ya QNET!

QNET Yatoa Ufafanuzi Wa Mfumo Wa Biashara: Biashara Halali Sio Mpango Wa Ponzi

QNET iliendesha maonesho ya Bidhaa huko Lagos, Ikionesha Kujitolea kwa Ubunifu na Uwezeshaji

TAGGED: bottleselfiechallenge, Idadi ya tuzo 33 mwakani, Programu ya simu ya QNET, Roho ya RYTHM, RYTHM, Tuzo ya Dhahabu, Tuzo za MarCom 2021, Ulimwengu endelevu
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article mikakati ya uuzaji wa moja kwa moja Mikakati ya Mafanikio kwa Wauzaji wa Moja kwa Moja
Next Article shujaa wa mazingira Kutuonesha njia: Tunaweza kujifunza kutoka kwa Vijana wa 4 mashujaa wa kulinda mazingira

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili