QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mambo Ya Kufahamu Kabla ya Kumiliki Biashara
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Vidokezo vya Mafanikio > Mambo Ya Kufahamu Kabla ya Kumiliki Biashara
MafanikioVidokezo vya Mafanikio

Mambo Ya Kufahamu Kabla ya Kumiliki Biashara

Last updated: 2023/03/08 at 9:04 AM
QNET Official
Share
5 Min Read
Young business ownership qnet
SHARE

Kufanya kazi kati ya 3 asubuhi hadi 11 ioni  huku polepole na kwa uthabiti kupanda ngazi ya kumekuwa utaratibu wa ajira ulioanzishwa kwa zama za kale.

Contents
1. Bainisha kusudi lako2. Weka malengo yako3. Ijue biashara yako4. Jiandae kujifunza5. Hakuna mafanikio ya papo hapoKazi yenye kuridhisha

Lakini wengi sasa wanapinga mtindo huo, huku wajasiriamali wachanga wakiongezeka.

Hata hivyo, japo inaridhisha sana, ujasiriamali sio rahisi. Na ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa muhimu kabla ya kuamua kujiajiri.

Hapa kuna miongozo mitano ambayo inaweza kukusaidia kukuweka kwenye njia ya maisha bora ya baadaye:

1. Bainisha kusudi lako

Kati ya rufaa kuu za kujiajiri, haswa katika uuzaji wa moja kwa moja, ni kubadilika na uhuru wa kifedha unaokuja nayo.

Lakini kila mtu ana “kwa nini” tofauti ya kwnaini anataka kuwa mjasiriamali. Kwa hivyo kufanya maamuzi ni muhimu.

Ujasiriamali maana yake ni kuufanya maamuzi mbalimbali kwa ajili yako na biashara yako. Na kuwa na ufahamu wa sababu ya wewe kujiingiza katika nafasi hiyo tangu mwanzo kwanza kutakusaidia kutambua nyakati nzuri na mbaya.

Dhumuni na maono yaliyo wazi yanaweza kusaidia kuwahamasisha na kuwatia moyo wale walio karibu nawe, ikiwa ni pamoja na wateja na wanaokufata chini yako, kujitoa kuwa bora zaidi.

2. Weka malengo yako

image 7

Kama vile ilivyo muhimu kufafanua na kueleza kusudi lako, ni kuweka malengo yako na kuamua taratibu zinazopaswa kuchukuliwa ili kukusaidia kuzifanikisha.

Je, biashara hii itakuwa ya kando au kazi ya kudumu? Je, umejitayarisha kutumia muda gani kwa siku ili kukutana na watarajiwa na wateja? Je, malengo yako ya muda mfupi, wa kati na mrefu ni yapi?

Kumbuka, hakuna wajasiriamali wawili – hata wamiliki wa biashara maarufu – wanaofanana au wana malengo sawa. Kwa hivyo, kusuluhisha malengo yako mwanzoni na jinsi utakavyofanikiwa ni muhimu.

3. Ijue biashara yako

Wajasiriamali wachanga wanaoingia kwenye uuzaji wa moja kwa moja, haswa wale ambao wamechukua fursa ya biashara ya QNET, wana faida kwa kuwa wanaweza kuanzisha biashara zao bila kuwa na wasiwasi juu ya mtaji, kamisheni au vitu vingine kama hivyo.

Hata hivyo, bado wanapaswa kufahamu biashara, mambo yote ya kufanya na kutofanye, falsafa ya kuanzisha kampuni na bidhaa na huduma zote.

Ili kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa, ijue biashara yako ndani na nje. Kwa hivyo, uliza maswali, kagua fasihi, hudhuria vikao vya mafunzo na ujifunze kila linalowezekana.

4. Jiandae kujifunza

Akizungumzia kujifunza, ujasiriamali, ikiwa ni pamoja na uuzaji wa moja kwa moja, unajumuisha  uwazi kwa mtu yeyote, bila kujali historia ya elimu, uzoefu na / au ujuzi wa awali.

Lakini ingawa ukweli huu unamaanisha kuwa mtu hahitaji digrii ili kumiliki na kuendesha biashara, ukweli pia ni kwamba umiliki wa biashara ni safari ya elimu ya maisha. Na watu bora na waliofanikiwa zaidi katika biashara ni wale ambao hutafuta mara kwa mara kujifunza na kujiboresha.

Kumbuka, kwamba elimu ya ujasiriamali inajumuisha vipengele vingi. Hii inamaanisha kuwa maarifa si lazima yatoke kwenye vitabu pekee lakini pia yanaweza kupatikana kwa urahisi kutoka kwenye programu za ustadi na mafunzo, kozi maalum zinazolenga mjasiriamali kama zile unazoweza kuchukua kupitia qLearn.

5. Hakuna mafanikio ya papo hapo

Kuwa mmiliki wa biashara inamaanisha kuwajibika kwa uhuru wako wa kifedha. Hata hivyo, si njia ya kupata utajiri haraka au njia ya uhakika ya mafanikio. Hakika, ushindi huja tu kwa wale walio tayari kufanya kazi na ni wavumilivu.

Mara nyingi tunatarajia mambo kwenda haraka na maendeleo kufuata mstari ulinyooka. Lakini biashara haifanikiwi kwa njia hiyo, haswa ikiwa mtu amejikita katika kuhakikisha mafanikio thabiti, ya muda mrefu na endelevu.

Ujanja ni kutokukata tamaa. Endelea nayo, na ukiwa na mashaka, rudi nyuma, angalia  hoja ya kwanza kwenye orodha hii – kusudi lako.

Kazi yenye kuridhisha

Hakika, kuna mambo machache yanafurahisha zaidi kuliko usimamizi wa maisha yako na mapato. Lakini ili kufafanua msemo unaonukuliwa mara kwa mara, kwa matokeo bora, ni muhimu kuangalia kabla ya kukurupuka.

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Impact driven #KuaSehemuYaMabadiliko: Jinsi QNET Ilivyoathiri Mabadiliko Endelevu na Kujenga Jamii
Next Article Technology and innovation leading inclusion of women Siku ya Kimataifa ya Wanawake: Ubunifu wa kuuza moja kwa moja na teknolojia ili kusaidia usawa wa kijinsia

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili