Maji magumu mara nyingi hayazuiliki kwa sababu tumeyazoea sana! Hata hivyo, maji tunayoona kuwa “safi” yanaweza kuwa maji magumu ambayo yanaweza kuathiri maisha yako ya kila siku.
Maji Ngumu ni Nini?
Ni maji ambayo yana kalsiamu nyingi, magnesiamu, madini mengine mumunyifu. Maji yanapotiririka kwenye udongo, miamba na chokaa, hukusanya vipengele hivi vidogo kabla ya kufikia mabomba yetu. Kadri ya wingi wa madini, kadri maji kuwa magumu zaidi.
Lakini madini ni nzuri, sivyo? Naam, ndiyo na hapana, kwa sababu pia wingi wa jambo jema huweza kuwa baya.
Kwa Nini Ni Mbaya Kwako?
Maji ngumu yana ladha mbaya – yana ladha ya chuma na unga unga. Mbali na hayo, hukausha nywele zako na kuzifanya kuwa kavu na ka kudhoofika baada ya kuoga. Maji ngumu hayashiki sabuni na hupunguza povu; kwa hiyo, mwili wako hubski ma alama ya sabuni hata baada ya kujisuuza. Pia huziba vinyweleo vyako na kukausha ngozi yako, hivyo kuifanya iwe rahisi kupata matatizo ya ngozi kama vile ukurutu.
Shida kubwa ya maji ngumu, ni pamoja na kusababisha vvifaa na mabomba na mifumo ya kuchuja maji kuharibika:
- Mibomba yako kubaki na mabaki meupe kwa sababu ya mkusanyiko wa chokaa.
- Vyombo vyako kupatwa na madoa ambayo huwezi kuondoa.
- Vyombo vyako vya glasi vitaonekana vichafu bila kujali utavisafisha mara ngapi.
- Vifaa vyako vinavyotokana na maji kama vile vitengeneza kahawa vitakuwa na akiba ya chokaa
- Unaweza kuingia katika ukarabati wa gharama kubwa au usakinishaji upya wa mara kwa mara.
Mapinduzi ya maji laini: Seti ya HomePure NovaSoft
Kulingana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti kuhusu ubora wa maji duniani kote, HomePure ilitengeneza NovaSoft – kifaa chako bora cha maji ambacho kinadhibiti ugumu wa maji ya bomba na kuyafanya kuwa laini kwa mchakato wa kuchuja maji, ili isisumbue vyombo vya maji. Imeoanishwa kwa ukamilifu na mfumo wa kuchuja wa HomePure Nova, HomePure NovaSoft hurahisisha maji kabla ya kuyapitisha kwenye HomePure Nova ili kukupa maji safi (Pi-Water), salama na yenye lishe nyumbani.
Seti ya HomePure NovaSoft huleta manufaa mbalimbali katika nyumba yako:
1. Hulainisha Maji Yako
Hubadilisha maji magumu kuwa maji laini, na kuondoa ladha mbaya,mwonekano wa ukungu.
2. Hulinda Vifaa vyako na Mfumo wa Kuchuja maji
Kilainishi muhimu huzuia mkusanyiko wa kalsiamu na chokaa katika vifaa vyako vya jikoni na vile vile Mfumo wako wa Kuchuja Maji wa HomePure Nova, hivyo kuongeza muda wa kudumu.
3. Huongeza Urahisi
Kwa HomePure NovaSoft, hauhitaji umeme au tank na ni rahisi sana kufunga na kubadilisha *cartridge*.
4. Huondoa Uchafuzi wa Nje
Kifaa cha killainishi huja kikiwa kimefunikwa kwa mchakato safi na salama wa kuchuja, bila kuacha nafasi ya vijidudu au wadudu kuchafua kichujio chako cha maji.
5. Huhakikisha Ubora wa Kiwango cha Kimataifa
Seti ya HomePure NovaSoft imeundwa kwa kutumia teknolojia ya Ulaya na kutengenezwa nchini Korea Kusini. Hama kutoka maji magumu hadi maji laini leo kwa sababu maji salama, safi, na yenye ladha nzuri ya kunywa ni hitaji la msingi.
Je, unakabiliwa na changamoto zozote za maji magumu nyumbani? Tuambie na unaweza kujishindia NovaSoft ya HomePure!