QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QNET Yalaani Matumizi Mabaya Ya Chapa Yake Katika Tuhuma Za Watu Wa Ivori Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Nchini Ghana
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Taarifa kwa Umma > QNET Yalaani Matumizi Mabaya Ya Chapa Yake Katika Tuhuma Za Watu Wa Ivori Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Nchini Ghana
Taarifa kwa Umma

QNET Yalaani Matumizi Mabaya Ya Chapa Yake Katika Tuhuma Za Watu Wa Ivori Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Nchini Ghana

Last updated: 2024/04/05 at 12:24 PM
QNET Official
Share
3 Min Read
QNET Yatoa Ilaani kwa Matumizi mabaya ya Jina la Taasisi yake ya Ufadhili
SHARE

QNET, kampuni ya kimataifa ya ustawi na maisha inayolenga kuuza moja kwa moja, imefahamishwa kuhusu ripoti ya hivi Karibuni ya Shirika la Habari la Ghana yenye kichwa cha habari: ‘Kanda ya Magharibi GIS inawarejesha nyumbani raia 66 wa Ivory Coast” iliyochapishwa tarehe 2 Aprili 2024. . Ripoti inataja kuwa watu hawa walikuwa wakiishi kinyume cha sheria nchini Ghana na walidaiwa kujihusisha na biashara ya mtandaoni iitwayo QNET.

QNET inakanusha vikali kuhusika katika tukio hili.

Biram Fall, Meneja wa Kanda wa QNET katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, anasema: “Tunashangazwa na matumizi mabaya ya jina la chapa yetu kuhusiana na vitendo hivi haramu, vikiwemo ulaghai wa kazi na uhamiaji haramu. QNET ni chombo kinachotii sheria, na wale wanaojihusisha na biashara yetu ya kuuza moja kwa moja ili kutangaza bidhaa zetu kwa wengine, hawahitaji kusafiri kutoka nchi moja hadi nyingine. Tunachukulia madai ya uhamiaji haramu na usio wa kawaida au shughuli za ulaghai kwa uzito mkubwa na tutachukua hatua kali dhidi ya yeyote atakayebainika kupotosha QNET. Tumejitolea kufuata maadili ya biashara na tunalaani vikali vitendo kama hivyo vya kusikitisha. Ni muhimu kwa umma kuelewa kwamba QNET si wakala wa ajira na haitoi matoleo ya “mapato ya uhakika” au “fursa za kusafiri” badala ya pesa. Kama kampuni halali ya kimataifa ya uuzaji wa moja kwa moja, QNET inatoa mtindo salama na halali wa biashara ambapo Wawakilishi wa Kujitegemea hupata mapato tu kwa kuuza bidhaa zetu za ubora wa juu, zinazoboresha maisha.”

QNET imechukua baadhi ya hatua muhimu katika jitihada za kufuta taarifa potofu kuhusu kampuni, mtindo wake wa biashara na sekta ya mauzo ya moja kwa moja kwa ujumla katika ukanda wa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Hii ni pamoja na kuzindua kampeni ya “Sema Hapana” Afrika Magharibi, mtandaoni na nje ya mtandao, ili kuelimisha na kuonya umma kuhusu kuongezeka kwa shughuli za ulaghai zinazofanywa chini ya kivuli cha QNET. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kampuni ili kulinda uadilifu wa chapa yetu na kuwalinda waathiriwa watarajiwa dhidi ya kupotoshwa. Kwa maelezo zaidi kuhusu kampeni yetu ya “Sema Hapana” na kuthibitisha uhalali wa shughuli zinazohusiana na QNET, tafadhali tembelea tovuti yetu rasmi au wasiliana na timu yetu ya usaidizi kwa wateja.

Kampeni ya Sema Hapana, inapatikana kwenye www.saynocampaign.org

Ili kuimarisha dhamira hii, kampuni pia ilizindua Nambari ya Mawasiliano inayopatikana WhatsApp (+233256630005) mwaka jana, iliyoundwa mahususi kwa ajili ya shughuli zake katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, zikiwemo Ghana, Nigeria, Sierra Leone, Burkina Faso, Liberia, Cameroon, Mali, Guinea, Benin, Togo, na nyinginezo. .

QNET inashirikiana kwa karibu na mamlaka na wadau kushughulikia na kuzuia matumizi mabaya ya jina la chapa yetu. Tunawasihi wananchi kuwa waangalifu na kuripoti shughuli zozote za kutiliwa shaka zinazowakilisha vibaya QNET.

You Might Also Like

QNET Yasikitishwa na Matumizi Mabaya ya Jina la Biashara Yake Kwa Shughuli Haramu

QNET Yafafanua Dhana Potofu Kuhusu ulaghai Mtandaoni na Inalaani Matumizi Mabaya ya Jina lake

Kongamano la Kwanza la Mwaka la QNET Linahitimishwa kwa Mafanikio Makubwa nchini Malaysia

QNET yatangaza wazi dhidi ya Matumizi Mabaya ya Jina la taasisi ya Kampuni kwa Shughuli Haramu nchini Nigeria, Umma uchukue taadhari

QNET Yazindua Matokeo ya Utafiti wa Mapinduzi ya Maji ili Kuinua Afya na Ustawi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Changamoto aza Uhifadhi wa Maji Kuelewa Changamoto ya Kimataifa na Kuwawezesha Wajasiriamali kwa Uhifadhi wa Maji
Next Article QNET yaadhimisha siku ya Afya duniani QNET Inaangazia Jukumu Muhimu la Virutubisho katika Kukuza Ustawi wa Pamoja katika Siku ya Afya Duniani 2024
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili