Hebu tuchukue muda huu kusoma Hadithi zetu pendwa za Wafanikiwa wa QNET zilizochapishwa mwaka 2023 tunapofikia wiki ya tamati ya Mwezi wa Ujasiriamali Duniani. Ingawa ni muhimu kuzingatia biashara yetu, kufanya kazi kwa bidii na kuwa na mtazamo wa kutokukata tamaa, ni muhimu pia kupiga hatua nyuma na kusherehekea ushindi wetu – mfano mzuri, Hadithi za Wafanikiwa wa QNET. Iwapo ulipitwa, hizi hapa ni baadhi ya hadithi zetu tunazozipenda zaidi zilizochapishwa mwaka huu.
Nyota wa Almasi ya bluu V Partner Sachin Gupta
Sio tu kwamba V Partner Sachin Gupta ni hadithi ya mafanikio ya QNET tunayojivunia, pia amekuza timu iliyojaa waliofaulu wanaopatikana duniani kote. Ana sifa ya kuwa kiongozi mwenye mawazo chanya kila wakati na ndiye nyota wa kwanza kabisa wa Almasi ya bluu QNET. Yeye ni uthibitisho hai wa jinsi kuwa na mtazamo sahihi na nidhamu, na mafanikio ukiwa QNET haya kwepeki.
Nyota wa Almasi V Partner Sharfun Shaikh
Kuzungumza na Mshirika V Sharfun Shaikh, ni wazi mara moja kwamba mafanikio yake yanatokana na vitendo vyake vya kudumu ili kufikia matokeo mazuri. Yeye ni muumini mkubwa katika kufanya kazi kwa bidii, uthabiti na kujiamini. Pia anaamini kwamba ikiwa unaamini katika bidhaa na biashara unayofanyia kazi, shauku hiyo itatafsiriwa katika kazi yako ya kuuza moja kwa moja.
Nyota wa Almasi mshiriki V Partner Fofana Amaral
Mshirika wetu wa V ni mojawapo ya Hadithi za Mafanikio za QNET ambazo bila shaka utasikia kwa wingi utakapojiunga na QNET. Hii ni kwa sababu alichukua hatua ya imani akiwa na imani thabiti kwamba siku moja atafanikiwa. Yeye ni thibitisho hai kwamba kujenga na kulea timu dhabiti ya watu wenye nia moja ndiyo njia ya haraka sana ya kufaulu katika kukuza cheo.
Nyota wa Almasi mshiriki V Partner V Yasir Khamis
Mshirika wa V Yasir Khamis ni mwaminifu na mnyoofu kuhusu kile kinachohitajika ili kuwa mfanisi katika tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja, na haswa katika QNET. Anaamini kuwa QNET imekusudiwa kwaaajili ya watendaji wa hali ya juu ambao hawaoni aibu kuwa na malengo makubwa. Anaamini kwamba kwa kufuata mpango wa Fidia ya QNET, wewe pia unaweza kuwa mmoja wa Hadithi za Mafanikio za QNET ambazo kila mtu anazipenda.
Nyota wa Platini V Partner Ibn Abbas
Mshirika Ibn Abbas anaonekana kama mfano wa kuigwa miongoni mwa wasambazaji wengi wa QNET duniani kote kwa sababu ya hadithi yake. Japokuwa hakuna kilichokuwa rahisi alipoanza, tofauti na watu wengine waliokata tamaa, alivumilia na hakukata tamaa pale alipokutana na changamoto. Aliendelea na shughuli zake za kila siku akiwa na imani kwamba angefikia malengo yake hata iweje. Kulingana na yeye, ufunguo wa mafanikio ni kujiamini kila wakati.
Nyota wa Platini Mshirika V Partner Nasib BR
Mafanikio yalikuja kwa V Partner Nasib BR alipoamua kuwa mfuasi. Alifuata katika za njia za Mshirika Padma, akimtumia kama alama ya mafanikio. Alitafuta ushauri wake na kuufuata, akijua kwamba kwa kusikiliza, hakuwa akipoteza muda katika kubadilisha muelekeo. Siri yake ya mafanikio ni kuzingatia maendeleo yako ya walio chini yako.
Mjumbe wa Baraza la Nyota wa Platini Omar Medhat
Kulingana na Mjumbe wa Baraza Omar Medhat, ufunguo wa kuwa Mfanisi wa QNET ni umakini. Anachofanya ni kuwa na mwelekeo na kuunda mpango. Haitoshi tu kuwa na lengo, unahitaji pia kuunda mpango wa kulifanyia kazi, na kisha kufanya kazi kwa bidii hadi utimize. Sasa kwa kuwa yeye ni Nyota wa Platini, lengo lake la pili ni kuwa Nyota wa Almasi, na kisha baada ya hapo, analenga kuwa Nyota wa almasi ya Bluu.
Mjumbe wa Baraza la nyota wa Platini Omar Alhallak
Mwanachama dhabiti wa Klabu ya Wafanikiwa wa QNET, Mjumbe wa Baraza la V Omar Alhallak anaamini katika umuhimu wa kuwa na maono wazi ya maisha yako na maisha yako ya baadaye. Anaamini kuwa kua na shauku haitoshi. Unahitaji kuwa na vitendo vya kweli na uthabiti. Mafanikio ya kweli QNET hayaji tu kutokana na kupata pesa, bali kuhusu kuunda matokeo chanya katika maisha ya wengine.
Nyota wa Platini Midhulaj Paramba
Midhulaj alijipatia jina kwa kupata hadhi ya Nyoya wa Platini licha ya janga la kimataifa, na mazui yaliyowekwa kijamii. Alitoka kufanya kazi kutoka alipokuwa akiw na umri wa miaka 15 katika tasnia tofauti hadi kuchagua Fursa ya Biashara ya QNET isiyozuia kushuka kwa uchumi. Amethibitisha kwamba yuko tayari kukabiliana na hali ngumu na kupitisha mawazo chanya, na hiyo ndiyo ufunguo wa mafanikio yake.
Nyota wa Platini Mustafa Negm
Mustafa aliacha kazi kama afisa wa uhandisi wa baharini kutoka chuo kikuu cha majini na kuwa sehemu ya familia ya QNET. Motisha yake ilikuwa kupanda juu ya njia za kitamaduni za kazi ambapo alikuwa na uhakika kwamba angekwama baada ya miongo kadhaa, akijitahidi kukidhi mahitaji yake ya kimsingi. Hamasa yake ya kufanikiwa katika QNET inatokana na nia yake ya kutoa maisha bora ya baadaye kwa mwanawe na familia yake.