QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Njia 3 Za ku#ChaguaWanawake Siku Hii Ya Ujasiriamali Ya Wanawake
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > RYTHM > Maendeleo > Njia 3 Za ku#ChaguaWanawake Siku Hii Ya Ujasiriamali Ya Wanawake
MaendeleoRYTHM

Njia 3 Za ku#ChaguaWanawake Siku Hii Ya Ujasiriamali Ya Wanawake

Last updated: 2023/08/31 at 9:49 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
womens entrepreneurship qnet
womens entrepreneurship qnet
SHARE

Contents
1. Tambua kazi isoonekana2. Sherehekea Mashujaa Wetu3. Kuwa Wakili

Siku ya Ujasiriamali ya Wanawake ni tarehe 19 Novemba, na fursa nzuri ya kuwawezesha, kusherehekea na kusaidia wanawake katika maisha yako, iwe ni wamiliki wa biashara ndogo ndogo au sehemu ya timu yako pendwa ya ujasiriamali. Mwaka huu, tuwainue wanawake katika Familia yetu ya QNET kuwa viongozi, wabunifu na waleta maendeleo kama ilivyo asili yao. Hizi ndizo njia tano za ku#ChaguaWanawake Siku hii ya Ujasiriamali ya Wanawake.

1. Tambua kazi isoonekana

Wanawake kote ulimwenguni hufanya zaidi ya kuchangia tu uchumi. Pia hufanya kazi nyingi zisizoonekana na zisizolipwa ambazo ni muhimu, Pamoja na kazi za ndani za nyumbani na utunzaji. Kwa wastani, wanawake hutoa masaa 4 na dakika 25 kwa siku kwa kazi zisizo za malipo tofauti na kazi zao na biashara. Hebu tuchukue muda Siku hii ya Ujasiriamali ya Wanawake, na kila siku, kuwatambua na kuwashukuru wanawake wetu kwa kila kitu wanachofanya. Na kisha, hebu tufanye mpango wa kusaidia mzigo huo.

2. Sherehekea Mashujaa Wetu

image 23

Hapa QNET, tunasherehekea wanawake wetu kwa kutoa nafasi kwao kubadilisha ulimwengu. Mkurugenzi Mtendaji wa QNET Malou Caluza aliangaziwa katika chapisho la Asia la ‘15 zaidi ya 50’ na pia alishinda Gold Globee® katika Tuzo za Mkurugenzi Mtendaji wa Dunia. Wengi wa viongozi wetu wakuu ni mashujaa wetu wakubwa na mifano ya kuigwa, ambao wanaendelea kuwaongoza wajasiriamali wengi zaidi kuelekea kwenye uhuru wa kifedha, na kuunda wawakilishi wa RYTHM  na QNET Achievers duniani kote. Hizi ni pamoja na V Partner Donna Imson-Lecaroz, V Partner V Padma, V Partner Kavita Sugandh, V Partner Sharfun Shaikh, Associate V Partner Kalaiarasi Manikam, Associate V Partner Shipra Neeraj, na wengine isitoshe. Tuendelee kuwaenzi na kuwainua wanawake wetu. Wao ndio moyo wa QNET.

3. Kuwa Wakili

image 24

Kuwa mtetezi Siku hii ya Ujasiriamali ya Wanawake ina maana zaidi ya kuandika tu chapisho kwenye mitandao ya kijamii. Tafuta njia za vitendo ambazo unaweza kuunda nafasi kwao. Wainue kwenye majukumu ya uongozi, wasaidie wanawake katika biashara inapowezekana, na utengeneze nafasi kwa ndoto zao kubwa na matamanio. Ndani ya timu yako, saidia kuunda mpango wa kuwasukuma wanawake katika majukumu ya uongozi na njia za ziada za kurahisisha safari zao za kuuza moja kwa moja. Kumbuka, ukiwa na shaka, #ChaguaWanawake

You Might Also Like

QNET inasisitiza Upatikanaji wa Maji Safi huko Johannesburg: Kuwezesha Kituo cha yatima kwa Mifumo ya hali ya Juu ya Kusafisha Maji

Mpango wa Elimu ya kifedha unaotolewa Bure wa QNET Unawafikia Zaidi ya Wanawake na Vijana 700 huko Accra na Ho

RYTHM foundation inajiunga na makampuni yanayowajibika kwa jamii kwa ajili ya mkutano wa CSR & Sustainability wa 2023 nchini Ghana

#KuaSehemuYaMabadiliko: Jinsi QNET Ilivyoathiri Mabadiliko Endelevu na Kujenga Jamii

QNET Uturuki Yatoa Msaada kwa Waathirika wa Tetemeko la Ardhi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNETDirectSellingDisinformationCentrex QNET Yazindua Kituo cha Taarifa Potofu za Uuzaji Moja kwa Moja
Next Article routine qnet morning Taratibu 3 za Asubuhi ambazo Ni Lazima Ufuate Ili kufanikiwa

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili