QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Mpango wa Elimu ya kifedha unaotolewa Bure wa QNET Unawafikia Zaidi ya Wanawake na Vijana 700 huko Accra na Ho
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Taarifa kwa Umma > Mpango wa Elimu ya kifedha unaotolewa Bure wa QNET Unawafikia Zaidi ya Wanawake na Vijana 700 huko Accra na Ho
Taarifa kwa UmmaMaendeleo

Mpango wa Elimu ya kifedha unaotolewa Bure wa QNET Unawafikia Zaidi ya Wanawake na Vijana 700 huko Accra na Ho

Last updated: 2023/11/29 at 8:25 AM
QNET Official
Share
4 Min Read
Fingreen ya QNET yatoa mafunzo kwa Vijana na wanawake 700
SHARE

FinGreen, programu ya elimu ya kifedha ya QNET, kampuni ya kimataifa ya ustawi na maisha inayolenga kuuza moja kwa moja, imefanikiwa kutoa mafunzo kwa takribani watu 700 wakiwemo wafanyabiashara wadogo, vijana na wanawake wanaoendesha biashara ndogo ndogo, mjini Accra, na pia katika mji mkuu wa kikanda wa Mkoa wa Volta, Ho.

Kutuzwa Vyeti baada ya Kufuzu elimu ya Fingreen

FinGreen ilizinduliwa na QNET mwezi Oktoba kwa ushirikiano na kampuni kuu ya uhasibu ya Ghana ya JA Abrahams, kama programu ya bure ya kunufaisha jamii ambazo hazijafikiwa vizuri nchini Ghana, ambazo mara nyingi ziko hatarini kutapeliwa kifedha na kukopeshwa kwa ulaghai, kutokana na ujuzi mdogo wa kifedha. FinGreen inaangazia vijana, wanawake, na wamiliki wa biashara ndogo ndogo, ikiwapa zana zinazohitajika kwa maamuzi ya kifedha ya kibinafsi na ya kibiashara.

Tukio la uzinduzi wa FinGreen, lililofanyika Accra mnamo Oktoba 24, 2023, lilivutia safu ya kuvutia ya waliohudhuria, ikiwa ni pamoja na wataalam wa kifedha, viongozi wa sekta ya benki, maprofesa wa vyuo vikuu, maafisa wa serikali za mitaa, wanafunzi, na wafanyabiashara wa kike, pamoja  na vyombo vya Habari muhimu. Mkutano huu uliangazia hitaji muhimu la ujuzi wa kifedha na ulionyesha mbinu ya kina ya FinGreen ya kushughulikia changamoto hizi.

Sauti kutoka Washiriki katika Mpango wa Fingreen

Washiriki katika mpango wa Fingreen

Bw.Lawrence Adjatey meneja wa mpango mdogo wa kuweka akiba na ukopeshaji fedha maarufu kwa jina la ‘Susu’, alisema amejifunza jinsi ya kusimamia vyema fedha za wachangiaji wa susu na kufanya maamuzi ya haraka na sahihi ya kifedha yatakayoboresha mpango huo.

Bi. Abass Bushira, kijana wa kike anayeongoza ubia wa kilimo alisema: “Mafunzo ya FinGreen ni kama kama yalitengenezwa kwaajili yangu. Mtaala ulijumuisha mada kama vile bajeti, mikakati ya uwekezaji, usimamizi wa madeni, benki, mipango ya kifedha na mengine. Haya ni maeneo ambayo yanafaa sana kwa biashara yangu na fedha zangu. Hakika nimejifunza mengi na niko katika harakati za kuboresha biashara yangu na maisha yangu.”

Kulingana na Robert Kwasi Asmah, kiwango cha 400 cha Chuo Kikuu cha Mafunzo ya Kitaalamu, Accra, alijifunza jinsi ya kusimamia fedha zake vyema na jinsi ya kuchanganua mambo hatarishi yanayoathiri fedha zake. Aliongeza kuwa sasa yuko katika nafasi nzuri ya kuwashauri wengine jinsi ya kusimamia fedha zao za kibinafsi.

Mtaala wa FinGreen, ulioundwa kulingana na muktadha wa Ghana, umeundwa ili kufikiwa na kufaa, kuhakikisha washiriki wanaweza kutumia maarifa yao mapya kwa ufanisi. Mpango huu unawezeshwa kupitia ushirikiano wa kimkakati na J. A. Abrahams & Co, kampuni mashuhuri yenye umri wa miaka 65 yenye utaalam wa kina katika huduma za uhakikisho, uhasibu, kodi, na huduma za ushauri wa biashara. Awamu ya kwanza ilianza Oktoba na itaendelea hadi Desemba 2023.

Elimu ya Fingreen

FinGreen inawiana kikamilifu na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa na Ajenda ya Addis Ababa, ikitambua kwamba kufikia ushirikishwaji wa kifedha ni sehemu muhimu ya maendeleo endelevu. Tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2022 nchini Nigeria na Uturuki, FinGreen ya QNET imewawezesha takriban watu 2200 kuchukua udhibiti wa mustakabali wao wa kifedha.

Kwa habari zaidi kuhusu QNET na FinGreen, tafadhali tembelea https://www.qnet.net/fingreen/

You Might Also Like

QNET Yasikitishwa na Matumizi Mabaya ya Jina la Biashara Yake Kwa Shughuli Haramu

QNET Yafafanua Dhana Potofu Kuhusu ulaghai Mtandaoni na Inalaani Matumizi Mabaya ya Jina lake

Kongamano la Kwanza la Mwaka la QNET Linahitimishwa kwa Mafanikio Makubwa nchini Malaysia

QNET yatangaza wazi dhidi ya Matumizi Mabaya ya Jina la taasisi ya Kampuni kwa Shughuli Haramu nchini Nigeria, Umma uchukue taadhari

QNET Yalaani Matumizi Mabaya Ya Chapa Yake Katika Tuhuma Za Watu Wa Ivori Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Nchini Ghana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNET 25- Waanzilishi Dato Sri Vijay Eswaran na Joseph Bismark. QNET – Miaka 25 ya Kuwawezesha Wajasiriamali
Next Article Amezcua Kuwa Bora Zaidi Amezcua: Kuwa Bora zaidi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili