QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Jinsi Ya Kuonyesha Wema Katika Biashara Yako
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Matukio > Jinsi Ya Kuonyesha Wema Katika Biashara Yako
MatukioSuccess Tips

Jinsi Ya Kuonyesha Wema Katika Biashara Yako

Last updated: 2022/02/25 at 8:49 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
Kuonyesha wema
Kuonyesha wema
SHARE


Je, ungependa kuonyesha wema katika biashara yako lakini hujui pa kuanzia? Umefika mahali pazuri. Siku hii ya Matendo ya wema, fanya bidii kua sehemu ya kujaza ulimwengu na wema kidogo kwa kuhusisha ubinadamu katika kila kitu unachofanya. Ikiwa miaka miwili iliyopita imetufundisha chochote, ni kwamba tunaweza kushinda chochote tunapokutana pamoja kama jumuiya. Weka ubinadamu na watu mbele kabla ya faida.

Contents
Kufanya Wema Katika Biashara Yako Kuwa kitu cha KawaidaJali WengineWategemee timu yakoSherehekea mafanikio madogo madogoAnza kujipenda Zaidi
Kufanya Wema Katika Biashara Yako Kuwa kitu cha Kawaida

Njia bora ya kufanya ulimwengu kuwa mahali pazuri ni kuwa mkarimu mwenyewe. Kwa kufanya wema kuwa kitu cha kawaida katika jinsi unavyofanya biashara yako, unaweza kuhamasisha wengine kutaka kuwa kama wewe. Ni vyema kuchukua hatua nyuma na kutenda wema na kuifanya kuwa sehemu ya maadili ya kazi yako.

Jali Wengine

Tambua mawazo, hisia, matendo na maneno ya watu wengine. Sikiliza kwa bidii na uone watu wengine wanasema nini. Jaribu kuelewa maoni yao na utengeneze nafasi salama ambapo wanaweza kushiriki mawazo yao na wewe. Dumisha mahusiano kwa kuwacheki mara kwa mara ili kujua wanaendeleaje. Na muhimu zaidi, kua sehemu ya RYTHM na ujitoe kwa jumuiya unakoishi.

Wategemee timu yako

Leaning On Your Team QNET Success Tips.png?compress=true&quality=80&w=1024&dpr=1

Kubali kua una hofu ya kuwa “mzigo” na jiruhusu kuegemea/kutegemea Familia yako ya QNET na marafiki. Omba ushauri kutoka kwa timu yako na viongozi wako. Usiogope kuomba msaada unapohitaji. Uongozi ni kuhusu muunganisho na ushirikiano, na timu yako itafurahi kukusaidia jinsi unavyoisaidia. Ili kuongeza ukarimu katika biashara yako, ongea na kuwa wazi kuhusu jinsi unavyohisi.

Sherehekea mafanikio madogo madogo

Maendeleo ni maendeleo, haijalishi ni madogo kiasi gani. Je, unakumbuka hundi yako ya kwanza na jinsi ilionekana kuwa jambo kubwa kwako wakati huo? Kua na hisia hizo hizo na ushangilie kila ushindi mdogo Pamoja na timu yako. Kwa kweli, kuweka kumbukumbu zako karibu na kushindwa ni wazo nzuri kwa sababu daima ni mawe ya hatua kwa mambo makubwa zaidi. Tenga muda wa matukio na uongeze wema katika biashara yako.

Anza kujipenda Zaidi

Kindness In Your Business - QNET Self-Love Calendar 2022

Fuata Kalenda ya Kujipenda ya QNET ili kufanya mazoezi ya kujipenda mwaka huu. Fanya kuwa mazoea ya kuwa mkarimu kwako mwenyewe na kuchukua wakati kwa ajili ya afya yako ya akili na kimwili. Sikiliza kitabu unachopenda, tazama kipindi unachopenda, fanya mambo unayopenda na uongeze furaha maishani mwako.

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yazindua Kampeni ya Kupambana na Ulaghai ili Kupambana na Ulaghai na Upotoshaji wa Chapa ya QNET nchini Ghana

Mpango wa QNET wa Bure wa Fingreen Umewafikia Zaidi Ya Wanawake na Vijana Elfu Moja Nchini Ghana

Nini Maana ya Kufikia Hatua ya Miaka 25 katika Biashara

Wiki ya Ustawi Ulimwenguni: Kujitunza na Athari Zake Ulimwenguni

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Kenta bidhaa Vidokezo vitano vya Maisha Marefu na yenye Afya
Next Article Lugha Nguvu ya lugha na jinsi inavyoweza kukufanikisha kwenye biashara yako

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili