Kwa karne nyingi, binadamu amejaribu kufungua siri za uzima wa milele.
Kwa bahati mbaya, isipokuwa we ni mmoja ya sinema ya Marvel’s eternal au una uhusiano na Cinema MacLeods of Scotland hakuna uwezo wa kuishi milele.
Lakini wengi wetu tunaweza taarajia kuishi maisha marefu. Asante kwa sayansi na dawa za kisasa, makadirio ya uwezo wa kuishi maisha marefu ya binaadamu yamebooreshwa kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Bado, maisha marefu sio tu kuzunguka-zunguka kwenye hii coil ya kufa kwa muda mrefu zaidi ya mababu zetu. Lakini, pia inahusu kuishi kwa furaha na afya njema.
Na kwa hilo kwenye fikra, hizi hapa njia tano sio tu kukusaidia kuishi maisha marefu , lakini pia kuisi maisha ya uwepo wa kutimiza:
Sogea sogea
Njia moja sahihi kabisa kuongeza miaka katika maisha yako nikutoka katika hilo kochi au sehemu unayo kaa na kuanza kusogea.
Wengi wetu tunajua mazoezi yanaweza kwa kiasi kikubwa kupunguza hatari ya matatizo makubwa kama kisukari, matitozo ya moyo,na saratni. Lakini je wajua kwamba dakika 11 tu za kusogea au mazoezi katika siku inaweza saidia kukulinda dhidi ya kifo cha mapema?
Kulingana na watafiti kutoka ulaya, huku kwenda sehemu za mazoezi kila siku ni nzuri, kutembea kwa haraka kwa umbali mfupi kila siku au hata tu kufanya kazi yadi/bustanini/shambani ni tosha kukuongezea umri wa kuishi.
Na kama unapenda kuongeza nguvu ya misuli na kuwa mwepesi, chukua hatua ya kujifunza Tai chi.
Acha sigara na pombe
Kuna sababu kwa nini nchi ya New Zealand inapiga marufuku sigara kwa jaili ya vizazi vijavyo na kwanini nchi ya Malaysia inapanga kufuata njia hiyo, na pia ni kwasababu uvutaji sigara unaua.
Kutokana na kiungio chake kikubwa na matatizo makubwa ya afya kwenda na kuongezeka na hatari ya kifo, sayansi iko wazi kwamba hakuna kitu kama uvutaji wa sigara ulio salama.
Kama vile,ukitaka kuishi maisha marefu na kufanikiwa, ni rahisi sana – acha kuvuta sigara!
Kuongezea, unaweza kutaka kuzingatia kukata kiwango chako cha kunywa pombe au zaidi, kuikata kabisa kwenye maisha yako.
Kunywa kwa wastani inaweza ikawa sawa. Lakini, kumbuka kuwa matumizi makubwa ya bia na pombe kali inauhusiano na ini, moyo, na ugonjwa wa kongosho.
Angalia unacho kula
Kutokana na chaguo, wengi wetu tunafanya chaguo mbaya za chakula visivyo kuwa na afya.
Bado tiketi ya kuishi maisha marefu iko katika kujifunza kudhibiti matamanio ya mtu, kujifurahisha na vitu vitamu kidogo na kubadilisha tabia ya kula.
Je unakula sana nyama nyekundu na nyama iliosindikwa? Chaguo moja ni kwenda kwa misingi ya mmea na badilisha nyama kwenye chakula chako na matunda zaidi na mboga za majani; hasa vyakula vya juu kama mboga za majani ,soya na viazi vitamu.
Kwa bahati mbaya, soya na viazi vitamu vimekuwa vikipigiwa debe na wenyeji wa Okinawa, Japan – nyumbani kwa baadhi ya watu wa zamani sana wa dunia hii – kwa uwezo wao wakuweka Grim Reaper pembeni.
Chakula cha kiasili cha watu wa Okinawa kinahusisha soya iliochachushwa (natto), soya iliochachushwa (miso), viazi vitamu kutoka japani (satsimaimo),na wali mtamu uliochachushwa(mochi).
N ukiwa unashangaa jinsi gani kutafuta vyakula hivi vyote vitamu, habari njema ni kwamba unaweza vipata vyote kwa Kenta, kinywaji bora kitamu ambacho unaweza kuweka kama chakula chako cha kila siku.
Kimsingi, miili yetu inawekwa kwenye stress nyingi za kila siku. Sasa Kenta inachofanya ni kusaidia kuweka sawa homoni na kufanya seli kuzaliwa upya pia kubooresha misuli na kuimarisha mifupa.
Endelea kushikamana
Kweli, wote tunapenda kuwa wenyewe mara kwa mara. Hata hivyo upweke wa muda mrefu sio tu mbaya kwa afya yaki akili kwa mtu, pia ina madhara makubwa yaki mwili.
Somo moja la hivi karibuni imegundua kwamba upweke ni mbaya sawa sawa kuvuta sigara 15 kumi na tano kwa siku na inaweza kukuadhiri kwa asilimia 50% kuongezeka kwa vifo vya mapema.
Suluhisho, ni kuchukua muda mara kwa mara, na pia kuwa na mahusiano mazuri na yenye maana na marafiki na familia.
Wataalamu wanasema kukaa na kushikamana hata kwa mtandao mdogo wa kijami wa watu wanne inatosha kubooresha akili na moyo uweze kufanya kazi na kupunguza hatari ya magonjwa makubwa.
Pata kulala kwa kutosha
Inaweza kuwa kama mzaha, lakini unahitaji sana kulala – au kulala kwa kutosheleza – kuishi maisha marefu.
Imetolewa, kuna mjadala wa kina kuwa binaadamu kweli wanahitaji masaa 7-8 ya kulala kila siku. Hata hivyo ambacho hakiwezi kupingwa ni kuwa kulala kunasaidia mwili kupona na kuhakikisha kuwa viungo vinafanya kazi vizuri.
Haisaidii mwili bali imesaidia, kwa kweli, imegundulika kuongeza hatari ya viharusi na mashambulio ya moyo na mifumo ya usingizi isiyo ya kawaida.
Kama vile, ukitaka kuishi maisha marefu, jaribu kuwa na mfumo wa kulala mzuri,ambao ukienda kulala na kuamka wakati sawa sawa kila siku.
Ndio, kutoweza kuwa inawezekana kuwa nje ya uwezo wetu kwa sasa. Lakini mabadiliko machcahe ya mitindo wa maisha yanaweza kuhakikisha muda mrefu , muhimu ziaidi na maisha yenye afya.