QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kusafiri kwa kuzingatia mazingira: Mwenendo mpya unatakiwa kuujaribu
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Likizo > Kusafiri kwa kuzingatia mazingira: Mwenendo mpya unatakiwa kuujaribu
Likizo

Kusafiri kwa kuzingatia mazingira: Mwenendo mpya unatakiwa kuujaribu

Last updated: 2021/08/06 at 6:12 AM
QNET Official
Share
3 Min Read
SafarizaKuzingatiamazingira
Safari za Kuzingatia mazingira 1
SHARE

Contents
Safari za kuzingatia mazingira ni nini?Jinsi ya Kuwa Msafiri mwenye MaadiliMaeneo ya QNET Ya Kujifunza Usafiri wa uwajibikaji

Fanya Safari za kuzingatia mazingira iwe sehemu ya mtindo wako wa kusafiri mwaka huu wa 2021 unapopanga likizo zako kwa wakati wa kiangazi. Wewe sio mtu wa kuchosha, wa kawaida, na kwa hivyo safari yako haipaswi kuwa pia. Ondoka mbali na hali ya kawaida ya kusafiri na ujizamishe katika tamaduni yoyote utakapo safiri. Hapa kuna kila kitu unachohitaji kujua kuhusu Safari za kuzingatia mazingira.

Safari za kuzingatia mazingira ni nini?

Kusafiri kwa kuzingatia mazingira ni kua na ufahamu zaidi juu ya safari na likizo zako. Badala ya kuwa sehemu ya madhara yanayosababishwa na utalii usio na akili, unaacha athari nzuri ya kudumu kwenye eneo unalotembelea – iwe kwa kutembelea sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwa njia ya urafiki, kuondoka kwenye njia iliyopigwa, kuruka mitego ya watalii au kusaidia jamii za wenyeji . Kupitia safari za kuzingatia mazingira, utasaidia kulinda mazingira ya asili, kusaidia uchumi wa eneo kustawi, kuhifadhi mila na tamaduni na kudumisha utofauti wa eneo hilo.

Jinsi ya Kuwa Msafiri mwenye Maadili

  1. Kuwa mwenye kujali jamii za asili wakati unasafiri. Zingatia mila ya kawaida, usaidie biashara ndogo ndogo, tumia masaa machache kujitolea au kuchangia katika nchi hiyo.
  2. Tunza mazingira wakati unasafiri. Achana na matumizi ya plastiki ya mara moja, jaribu kutotengeneza taka taka za aina yoyote, na uzinagtie vitu kama usafiri. Kwa kusafiri vizuri, unapunguza athari mbaya za watalii na kuacha eneo likiwa katika hali nzuri kwa vizazi vijavyo.
  3. Fikiria kijani (mazingira)linapokuja swala la kuchagua unapoishi au ziara unazochukua. Chagua maeneo yenye vibali vya kutunza mazingira au kampuni ambazo zinaondoa kaboni. Tafuta hoteli zinazotumia umeme wa jua, mifumo ya mbolea na miradi ya hisani.

Maeneo ya QNET Ya Kujifunza Usafiri wa uwajibikaji

Hoteli ya Prana, Samui, Thailand

Kufurahia likizo yako kwenye hoteli ya nyota tano bila gharama, usione Zaidi, Hoteli ya Prana huko Samui ni mahali pazuri pakutembelea na hoteli inayozingatia mazingira. Ili kupunguza athari mbaya za utalii, Prana Resort ina mipango kadhaa ya kuhifiaadhi mazingira.

Hoteli ya Doğan, Antalya, Uturuki

Q breaks budget friendly holidays Dogan Turkey 2

Mbali na likizo ya kifahari katika mji wa zamani wa kihistoria, Hoteli ya Doğan pia ina bustani inayojumuisha mimea. Unaweza kupumzika kwa urahisi ukijua kuwa hoteli hiyo ina miradi kadhaa ya uwajibikaji wa kijamii ambayo inasaidia jamii za wenyeji wanaohitaji juu ya hatua zao za uendelevu ndani ya hoteli yenyewe.

 

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

Kufungua Ulimwengu wa Kusafiri ukitumia QVI: Lango lako la vivutio Visivyosahaulika

Sababu Kwa Nini Likizo Fupi Ni Manufaa Kwako

Kwa Nini Wajasiriamali Wenye Shughuli Wanastahili Kufurahia Siku Ya Mapumziko

Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Chembe chembe za plastiki Je, umekua ukinywa chembe chembe za plastiki?
Next Article JinsiyaKushughulikiaMaoniYaWengine Jinsi ya Kushughulikia Maoni Ya Wengine
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili