QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kufungua Ulimwengu wa Kusafiri ukitumia QVI: Lango lako la vivutio Visivyosahaulika
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Bidhaa > Likizo > Kufungua Ulimwengu wa Kusafiri ukitumia QVI: Lango lako la vivutio Visivyosahaulika
Likizo

Kufungua Ulimwengu wa Kusafiri ukitumia QVI: Lango lako la vivutio Visivyosahaulika

Last updated: 2023/11/17 at 10:22 AM
QNET Official
Share
4 Min Read
QVI ufunguo wa usafiri duniani
SHARE

Contents
1. QVI Go: Ambapo urahisi Hukutana na matembezi2. Tripsavr 2.0: Pata pesa unaposafiri3. QVI Breaks: Pumzika na Unganika Upya na Ulimwengu4. QVI Club: Pasipoti yako ya kukuwezesha kusafiri bila kikomo5. Nafasi ya QVI: Ongeza Uzoefu Wako wa Kusafiri

Katika ulimwengu uliojaa utaratibu na ukiritimba, vivutio vya safiri haviwezi kupingika. Ingia katika QVI, bidhaa ya sikukuu kutoka QNET, iliyoundwa ili kubadilisha ndoto zako za likizo kutimia, changamfu, usioweza kusahau. QVI inahusu kukumbatia hali ya kipekee ya safiri, kupata mapato unapo safiri, na kuunda kumbukumbu ambazo hudumu maishani.

Hebu tuchunguze matoleo mbalimbali yanayofanya QVI kuwa chaguo bora kwa wapenda safiri.

1. QVI Go: Ambapo urahisi Hukutana na matembezi

Ingia katika ulimwengu wa urahisi ukitumia QVI Go! Iwe unapanga safari ya kuwenda kwenye ufukweni peke yako, safari ya familia, au safari ya pekee iliyojaa mamabo mazuri, QVI Go ndiye mshirika wako mkuu wa kusafiri. Pata huduma bila kikomo katika jukwaa la kipekee la kufanya booking za likizo kwa miaka mitano, yenye zaidi ya hoteli milioni moja ulimwenguni. Furahia huduma kwa wateja inayopatikana saa 24/7, bei zenye punguzo kwenye hoteli, ukodishaji magari na shughuli mbalimbali Pamoja na manufaa ya ziada ya kama kupata posho za safiri. Ni kubofya tui li kupata Likizo ya ndoto zako.

2. Tripsavr 2.0: Pata pesa unaposafiri

Hebu fikiria kujipatia mapato unaposafiri – Tripsavr 2.0 inasababisha kuwa ukweli! Jukwaa hili la kuhifadhi nafasi mtandaoni/kufanya booking husaidia kuokoa pesa unapohifadhi nafasi za hoteli, ukodishaji gari na shughuli zingine. Ikiwa na zaidi ya hoteli milioni 1.3 duniani kote, maeneo 30,000 ya kukodisha magari, na shughuli 400,000, Tripsavr 2.0 ni ndoto ya kila mpenda safari. Sio tu kwamba unaweza kuokoa pesa kwenye safari zako, lakini pia unaweza kupata posho/mapato zinazotokana na Kusafiri na kwa kuweka nafasi. Shiriki furaha kwa kushiriki akaunti za Tripsavr kwa marafiki bila kikomo na ubadilishe posho hizo za safiri kuwa pesa taslimu. Ni ushindi kwa kila mpenda safari!

3. QVI Breaks: Pumzika na Unganika Upya na Ulimwengu

Pumzika na Unganika Upya na Ulimwengu

Kimbia shughuli za kila siku an na uanze safari za ghalfa na QVI! Vifurushi vilivyoundwa kwa uangalifu kwa maeneo mahususi au maeneo mengi huru ya kutembelea duniani kote, QVI Breaks hufafanua upya sanaa ya safari fupi. Kutoka kwa fukwe nzuri hadi chakula cha jioni kwa wapendanao kinachoangazia milima ya kupendeza, QVI Breaks hutoa mapumziko mazuri kwa wanandoa. Ukiwa na wepesi wa kugawanya safari zako katika vipindi vifupi, furahia kila dakika ya mapumziko yako. Fikia zaidi ya hoteli 1000 ulimwenguni pote na uweke nafasi unayohitaji.

4. QVI Club: Pasipoti yako ya kukuwezesha kusafiri bila kikomo

Panga likizo yako kulingana na tabia yako na QVI Club! Ukiwa mwanachama, unaweza kuweka nafasi ya likizo kwa hadi miaka 10, ukichagua kutoka kwa chaguo mbalimbali za uanachama. Furahia zaidi ya hoteli elfu moja duniani kote bila ada zozote za kuweka nafasi. Kipengele cha kipekee cha kushiriki uanachama wako na familia na marafiki huifanya QVI Club kuwa ya matumizi kamili. Ikiwa utachagua Bronze, Classic, au Platinamu, QVI Club inahakikisha muongo mmoja wa likizo maalum na za kukumbukwa.

5. Nafasi ya QVI: Ongeza Uzoefu Wako wa Kusafiri

Usikubali mambo ya kawaida; chagua QVI Vacay ili kuongeza uzoefu wako wa kusafiri hadi kiwango kingine. Kwa kuwa na siku ambazo unawezeza kukomboa, bei maalum, punguzo la VIP na zawadi za kila mwaka, wanachama wa Vacay wanafurahia mengi zaidi. Viwango vitatu – Mwanzilishi, Mgunduzi na Mvumbuzi – hushughulikia mapendeleo tofauti, inayotoa vipindi tofauti vya uhalali, siku na zawadi. Tufurahie likizo na ushuhudie maajabu yakiendelea.

You Might Also Like

Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!

Sababu Kwa Nini Likizo Fupi Ni Manufaa Kwako

Kwa Nini Wajasiriamali Wenye Shughuli Wanastahili Kufurahia Siku Ya Mapumziko

Mambo 7 Unaweza Kukamilisha Kwenye Likizo Yako Inayofuata

Maeneo ya Likizo Afrika Mashariki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Sayansi nyuma ya bidhaa za Amezcua Ugunduzi wa sayansi Nyuma ya Bidhaa za Amezcua
Next Article Lishe ya Mimea na Urithi wa Kijani Kwa nini watu wengi wanahamia kwenye Lishe ya mboga mboga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili