QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022 Hii Hapa
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Matukio > Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022 Hii Hapa
HabariMatukio

Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022 Hii Hapa

Last updated: 2022/01/03 at 9:16 AM
QNET Official
Share
2 Min Read
Kalenda ya mauzo ya QNET
Kalenda ya mauzo ya QNET
SHARE

Panga mwaka wako na mipanho ya mbeleni kwa Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022.  Ukitazama nyuma, mwaka wa 2021, anza kupanga mipango ya mafanikio yako kwaajili ya mwaka mpya ujao.  Pata maelezo kuhusu jinsi wiki zako za mauzo zitakavyokuwa mwaka wa 2022 na uanze kufikiria jinsi ya kufanya vizuri zaidi katika safari yako ya kuuza moja kwa moja ukitumia QNET.

Contents
Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022Maana ya maneno ya Kalenda ya Mauzo Yamefafanuliwa
Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2022

2022 QNET Sales Calendar 2022

Maana ya maneno ya Kalenda ya Mauzo Yamefafanuliwa

Katika kalenda hii, unaweza kuona:

  • Wiki ya Mauzo: QNET hulipa kamisheni kila wiki, kumaanisha kwamba tumegawa mwaka katika wiki za mauzo.  Kwa kawaida, wiki ya mauzo huanza kila Jumamosi saa 00:00 HKST na kumalizika kila Ijumaa saa 23:59 HKST.
  • Mwezi wa Mauzo: Karibu sana na mwezi wa kawaida katika kalenda, mwezi wa mauzo unajumuisha wiki 4 au 5 za mauzo.  Mwaka wa QNET una miezi 12 ya mauzo.
  • Tarehe Zilizotumika za Mauzo: Hizi zinaonyesha tarehe kamili ambazo zimejumuishwa katika wiki yako ya mauzo.  Hii ni ili unapopanga kabla ya mwaka wa 2022 wenye mafanikio, uwe na tarehe kamili.

Tunatumai kuwa, ukiwa na Kalenda hii ya Mauzo ya QNET ya 2022 mapema kutakusaidia kukupa msukumo wa kufanikisha mipango yako ya mwaka mpya.  Usisahau kujenga katika kiwango cha kubadilika katika ratiba zako za mwaka mpya.  Ikiwa tumejifunza chochote kutoka 2021, ni kuwa tayari kila wakati na kutafuta masuluhisho hata iweje.  Anza kufafanua malengo yako ya mwaka mpya, yaweke rahisi, yafanye yaweze kupimika, na uyapange kwa kuzingatia kalenda hii ya mauzo.  Mwaka wako wa 2022 utakuwa mzuri sana.  Tuna hisi tayari.

You Might Also Like

Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii

QNET Yaonya Umma Kuchukua Taadhari Dhidi ya Ulaghai wa Usafirishaji Haramu wa Binadamu nchini Sierra Leone

Heri ya Miaka 26 ya Mafanikio, Familia ya QNET!

QNET Yatoa Ufafanuzi Wa Mfumo Wa Biashara: Biashara Halali Sio Mpango Wa Ponzi

QNET iliendesha maonesho ya Bidhaa huko Lagos, Ikionesha Kujitolea kwa Ubunifu na Uwezeshaji

TAGGED: Biashara ya Uuzaji wa Moja kwa moja, Bidhaa za QNET, Kalenda ya mauzo, Ujasirimali
Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article Kenyayajiungakuchangiauhifadhi Kenya yajiunga Kuchangia Katika Urithi wa Kijani wa QNET Afrika Mashariki
Next Article matarajio Maazimio 5 ya Mwaka Mpya kwa Mafanikio ya Biashara

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili