QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: QN Europe Yajiunga na Jumuiya ya Wauzaji wa Moja kwa Moja ya Kifahari ya Luxembourg
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Habari > Taarifa kwa Umma > QN Europe Yajiunga na Jumuiya ya Wauzaji wa Moja kwa Moja ya Kifahari ya Luxembourg
Taarifa kwa Umma

QN Europe Yajiunga na Jumuiya ya Wauzaji wa Moja kwa Moja ya Kifahari ya Luxembourg

Last updated: 2023/12/07 at 11:04 AM
QNET Official
Share
2 Min Read
QNET Europe yajiunga na DSA ya Kifahari ya Luxemburg
SHARE

QN Europe, kiongozi anayechipukia katika tasnia ya uuzaji ya moja kwa moja wa Uropa anayebobea katika afya, ustawi, na bidhaa za mtindo wa maisha, inafuraha kutangaza uanachama wake mpya katika Chama cha pour la Vente Directe du Luxembourg (AVDL), Chama cha Uuzaji wa moja kwa moja chenye hadhi nchini Luxemburg.

Hatua hii muhimu inaakisi kujitolea kwa udhabiti QN Europe katika mazoea ya kimaadili ya biashara na ulinzi wa watumiaji katika tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja, ikiambatani vyema na dhamira ya AVDL kudumisha viwango vya juu vya ubora na uadilifu katika mauzo ya moja kwa moja.

Bw. Kirikos Lazarou, Mkurugenzi Mkuu wa QN Europe, anasisitiza ulinganifu huu akisema: “Kujiunga na AVDL ni dalili tosha ya kujitolea kwetu kwa utendaji bora na wa kimaadili nchini Luxemburg na kote Ulaya. Tunatazamia kufanya kazi pamoja na AVDL na wanachama wake ili kuimarisha ukuaji na sifa ya tasnia ya uuzaji wa moja kwa moja huko Luxembourg.”

AVDL ni muhimu katika kuwakilisha na kutetea sekta ya uuzaji wa moja kwa moja nchini Luxemburg, ikitetea kanuni za maadili na uwazi za biashara. Uanachama wa QN Europe katika Chama unaashiria kuunganishwa kwake katika jumuiya iliyojitolea kulinda watumiaji, uendeshaji wa biashara wenye maadili, na kukuza ujasiriamali.

Bw. Lazarou anaongeza zaidi, “Kama sehemu ya AVDL, QN Europe ina shauku ya kushiriki katika mipango na programu zinazochangia mabadiliko ya eneo la mauzo ya moja kwa moja la Luxemburg. Hii ni pamoja na juhudi za pamoja na AVDL katika maeneo kama vile elimu ya watumiaji, uzingatiaji wa sheria na tasnia, Pamoja na mbinu bora. Tumejitolea kushiriki maarifa na utaalamu wetu na wa wenzetu ili kuhakikisha viwango vya juu zaidi vya maadili, taaluma, na ulinzi kwa wasambazaji na wateja wetu.”

QN Europe pia ni mwanachama wa Asociación de Empresas de Venta Directa (AVD), Chama cha Wauzaji wa Moja kwa Moja cha Uhispania, na Shirikisho la De La Vente Directe (FVD), Jumuiya ya Wauzaji wa Moja kwa Moja ya Ufaransa, tangu 2021.

You Might Also Like

QNET Yasikitishwa na Matumizi Mabaya ya Jina la Biashara Yake Kwa Shughuli Haramu

QNET Yafafanua Dhana Potofu Kuhusu ulaghai Mtandaoni na Inalaani Matumizi Mabaya ya Jina lake

Kongamano la Kwanza la Mwaka la QNET Linahitimishwa kwa Mafanikio Makubwa nchini Malaysia

QNET yatangaza wazi dhidi ya Matumizi Mabaya ya Jina la taasisi ya Kampuni kwa Shughuli Haramu nchini Nigeria, Umma uchukue taadhari

QNET Yalaani Matumizi Mabaya Ya Chapa Yake Katika Tuhuma Za Watu Wa Ivori Kufanya Kazi Kinyume Cha Sheria Nchini Ghana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNET na Hadithi za Wafanikiwa Mwezi wa Ujasiriamali wa Kimataifa: Hadithi za kuhamasisha za Wafanikiwa wa QNET
Next Article Tuzo za QNET 2023 Ushindi Mkuu wa QNET: Tuzo Tano za kubwa Kuangazia Mafanikio Yetu ya 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili