QBUZZ
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • Uanamichezo
    • QNET City
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MAJIBU YA QNET
Reading: Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024
Notification
  • Africa (SW)
    • Africa (FR)
    • Africa (EN)
    • OTHER REGIONS
      • Global (EN)
      • RCIS (RU)
      • MENA (AR/FR)
      • Indonesia (ID)
      • India (EN)
      • Turkey (TR)
QBUZZ

EN | FR | SW

Font ResizerAa
  • BIDHAA
  • MAFANIKIO
  • HABARI
  • MICHEZO
  • RYTHM
  • MAJIBU YA QNET
Search
  • BIDHAA
    • Saa na Vito
    • Afya
    • Elimu
    • HomePure
    • Huduma Binafsi
    • Likizo
    • Ustawi
  • MAFANIKIO
    • Hadithi za Mafanikio
    • Mapigo ya tasnia
    • Uuzaji wa kitaalamu
    • Vidokezo vya Mafanikio
  • HABARI
    • Matukio
    • Taarifa kwa Umma
    • Tuzo
  • RYTHM
    • Maendeleo
    • Urithi wa kijani
    • Usawa wa kijinsia
  • MICHEZO
    • Muktasari
    • QNET City
    • Uanamichezo
  • VIUNGO VINAVYOHUSIANA
    • Majibu ya QNET
    • Lexicon
    • Seti ya Zana
    • Jiandikishe
    • Chapisho la sauti
    • QNET 25
    • Webilearn
    • Hifadhi
  • MIKOA MINGINE
    • Global (EN)
    • RCIS (RU)
    • MENA (AR/FR)
    • Indonesia (ID)
    • Turkey (TR)
    • India (EN)
  • English
  • French
  • Swahili
QBUZZ > Mafanikio > Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024
Mafanikio

Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024

Last updated: 2024/01/08 at 1:03 PM
QNET Official
Share
2 Min Read
QNET Kalenda ya Mauzo 2024
SHARE

Pangilia mwaka wako sasa na Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024. Unapotazama nyuma 2023, anza kupanga mipango ya mafanikio yako katika mwaka huu mpya. Jifunze jinsi wiki zako za mauzo zitakavyokuwa 2024, na anza kufikiria mawazo ya jinsi ya kufanya vyema zaidi katika safari yako ya mauzo ya moja kwa moja na QNET.

Contents
Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024Vigezo vya Kalenda ya Mauzo Yamewekwa wazi

Kalenda ya Mauzo ya QNET ya 2024

image 5

Vigezo vya Kalenda ya Mauzo Yamewekwa wazi

Katika kalenda hii, tegemea kuona:

  • Wiki ya Mauzo: QNET hulipa kamisheni kila wiki, ikimaanisha kwamba tumegawa mwaka katika wiki za mauzo. Kwa kawaida, wiki ya mauzo huanza kila Jumamosi saa 00:00 HKST na kumalizika kila Ijumaa saa 23:59 HKST.
  • Mwezi wa Mauzo: Ni sawa na mwezi wa kawaida katika kalenda, mwezi wa mauzo unajumuisha wiki 4 au 5 za mauzo. Mwaka wa QNET una miezi 12 ya mauzo.
  • Tarehe Zinazotumika za Mauzo: Hizi zinaonyesha tarehe kamili za wiki yako ya mauzo. Hii ni ili unapopanga 2024 yenye mafanikio, uwe na tarehe kamili.

Tunatumai kuwa kuwa na Kalenda hii ya Mauzo ya QNET ya 2024 mapema kutakusaidia kukuhimiza kufanya mipango yako ya mwaka mpya kufanikiwa. Usisahau kuacha nafasi ya kubadilika katika ratiba zako za mwaka mpya, na uwe tayari kila wakati kupata suluhisho. Anza kufafanua malengo yako ya mwaka mpya, yawe rahisi, yaweze kupimika, na uyapange kwa kuzingatia kalenda hii ya mauzo. Mwaka wako wa 2024 utakuwa mzuri sana.

You Might Also Like

Fikia Mafanikio katika Biashara ya QNET: Tumia Ofisi yako ya Mtandaoni kupitia Programu ya Simu ya Mkononi Leo

Kugundua Viashiria Hasi: Vidokezo Muhimu vya Kutambua Ulaghai wa Ajira

Jinsi ya Kusawazisha Kazi za Muda kwa Muda na Ajira Kamili

‘Sema HAPANA’ Kwa Hadaa za Kulipia Ada Mapema

QNET dhidi ya Ulaghai wa Hadaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link
Previous Article QNET gives a donation of clean water in Johannesburg QNET inasisitiza Upatikanaji wa Maji Safi huko Johannesburg: Kuwezesha Kituo cha yatima kwa Mifumo ya hali ya Juu ya Kusafisha Maji
Next Article Uhamasishaji nchini Nigeria QNET Yazindua Kampeni ya Uhamasishaji wa Kijamii ili Kuwawezesha Wanaijeria Dhidi ya Ulaghai
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Gundua Bidhaa za QNET

Habari mpya kabisa

QVI Vacay App
Gundua Safari Yako Ifuatayo na QVI Vacay App!
Likizo December 5, 2024
Maonyesho ya QNET
Jinsi Bidhaa ya QNET zinavyoonyesha Kuwawezesha na Kuhamasisha Watu Binafsi na Jamii
Matukio November 12, 2024
QNET Yazindua Bernhard H. Mayer Wave Rider
QNET Yazindua Toleo La Kipekee La Bernhard H. Mayer Wave Rider: Kito Cha Usahihi Na Matukio
Saa na Vito November 6, 2024
EDG3 Plus
Kuwezesha Afya Ulimwenguni: QNET wahamasisha Ubora wa Lishe katika Siku ya Chakula Duniani 2024
Afya October 29, 2024

Endelea kushikamana

17k Followers Like
3.5k Followers Follow

Endelea Kusasishwa kila wakati

Jiandikishe kwa jarida letu ili kupata nakala zetu mpya mara moja!

Jiandikishe
Facebook Instagram Telegram Twitter Youtube
MIKOA MINGINE
  • Global (EN)
  • RCIS (RU)
  • India (EN)
  • Mena (AR)
  • Turkey (TR/AR)
  • Indonesia (ID)
KANUSHO
  • Sera ya faragha
  • Kanusho
  • Masharti ya matumizi
  • Sera ya mitandao ya kijamii
  • Kanuni za maadili

© 2024 QBUZZ | Sauti ya QNET. Haki zote zimehifadhiwa.

Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?
  • Swahili